Msitu wa ajabu wenye Maelfu ya Mbuzi wa maajabu wasio na mwenyewe

Hapa sio mahakamani kwamba lazima nikuletee wewe ushahidi kama hujaamini unapita kimya
Sasa usilete habari za vijiweni wanazosimulia wenzio... Ukiishi maisha hayo utapata shida sana. Wanaume ukisikia jambo unachunguza unapata ushahidi ndo unaeleza wengine. Ukiwa mbea wanawake huwa nasikia wanasutana. Sisi huku tunakwambia tu... WEKA USHAHIDI.
 
Siku nikifika hapo nachinja mmoja tumbanike ndafu na pilipili
 
Wapi Mshana jr ? Utajiri umejificha huko sisi tunalia lia na tozo hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ