Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Wengi tunatumia pesa na gharama kubwa kwenda kwenye Interview na tunaambulia patupu kwakuwa Kuna majina ya watu wenye connection zao tayari yapo
Tunaenda kwenye Interview kupigania kitu ambacho hakipo kitu ambacho tayari kilishakwisha ila ni geresha tu
Beautiful country some people Wana destroy
Mungu tuone sisi watoto wa masikini tuliyosomeshwa Kwa shida ili kuja kuzikomboa familia zetu kutoka kwenye masikini na Bado tunataabika mitaani bila sababu