Msituite kwenye Interview (Usajili) kama mshaandaa majina mtakaowapa kazi

Msituite kwenye Interview (Usajili) kama mshaandaa majina mtakaowapa kazi

Tafuta sehemu ya kujitolea Kisha onyesha uwezo, nafasi ikitokea nakuhakikishia itakuwa yako au na wewe utapewa koneksheni kuingia kundi la wateule.
Bora ukae kimya,sio ushauri WA kipumbabu kama huu,unadhani mambo ni rahisi hivyo !? Unafamilia unajitoleaje!? Mfano ni mwalimu anapata wapi connection unazosema hapa!?
 
Wengi tunatumia pesa na gharama kubwa kwenda kwenye Interview na tunaambulia patupu kwakuwa Kuna majina ya watu wenye connection zao tayari yapo

Tunaenda kwenye Interview kupigania kitu ambacho hakipo kitu ambacho tayari kilishakwisha ila ni geresha tu

Beautiful country some people Wana destroy

Mungu tuone sisi watoto wa masikini tuliyosomeshwa Kwa shida ili kuja kuzikomboa familia zetu kutoka kwenye masikini na Bado tunataabika mitaani bila sababu
Just study hard! Utumishi are so fair you will get what you deserve…just get prepare don listen to rumors…..!
 
Back
Top Bottom