Msitumie kivuli cha Rais kuficha udhaifu wenu, Bebeni msalaba wenyewe

Deogratias Mutungi

Senior Member
Joined
Oct 1, 2019
Posts
140
Reaction score
181
Salaam waungwana wa Jamii forum

Baada ya ripoti ya CAG kubainisha madudu kwenye Wizara na taasisi mbalimbali za kiserikali, ikiwemo ubadhirifu wa mabilioni ya walipa Kodi maskini wa nchi hii, sasa ni dhahiri wapigaji wanaanza kutumia neno Rais kama taasisi kuhalalisha uhuni na ufisadi huu.

Afrika uwajibikaji ni mtihani mgumu na pengine si ustaarabu tuliouzoea lakini Kwa ripoti ya mwaka huu sharti kila Wizara na taasisi iliyobainika kuboronga na kupora pesa ya umma ni lazima wawajibike kwa kuwajibishwa na mamlaka husika baada ya kukaidi kufanya hivyo tangu watajwe na CAG.

Rai yangu ni kuwa ama wewe ni Waziri, Katibu Mkuu, Mkurugenzi au Mkuu wa idara yoyote kama umetajwa Kwa namna yoyote tafadhari wajibika, Cheo ni dhamana ya muda sawa na Koti linapokupwaya unalivua na kuliweka pembeni, tusipotoshe Kwa kutumia taasisi na nembo ya urais kuficha ufisadi unaoendelea ndani ya taifa hili linaloendelea kiuchumi na linalotegemea mikopo ya nje kuendesha bajeti yake, kuweni waungwana wajibikeni Kabla ya bunge kukunjua makucha yake, Nawasilisha! Asante.
 
Wewe unatoa amri kama nani?

Ufisadi wote uliofanyika awamu ya nne zigo alibebeshwa Kikwete , Awamu ya 5 Zigo alibebeshwa Maghufuli , sa hv mnataka mmbebeshe mwigulu, nahsi mtakuwa na makamasi kichwani, uzuri kawachana ukweli kuwa pesa zote huizinishwa kwa mamlaka ya Raisi , ni ajabu yeye kujitoa
 
Masisiem ndo yapo hivyo ukiona mtu anachangia huko bungen anaanza kumsifia mama halafu baadae lawama wanabebeshwa wasaidizi wake
 
Ufisadi wote uliofanyika awamu ya nne zigo alibebeshwa Kikwete , Awamu ya 5 Zigo alibebeshwa Maghufuli , sa hv mnataka mmbebeshe mwigulu, nahsi mtakuwa na makamasi kichwani, uzuri kawachana ukweli kuwa pesa zote huizinishwa kwa mamlaka ya Raisi , ni ajabu yeye kujitoa
Inashangaza eti!
Sifa apewe mama, lawama kwa mawaziri....aaah, jamani! Si sawa!
Kivuli kinaishi!
 
Salaam waungwana wa Jamii forum

Baada ya ripoti ya CAG kubainisha madudu kwenye Wizara na taasisi mbalimbali za kiserikali, ikiwemo ubadhirifu wa mabilioni ya walipa Kodi maskini wa nchi hii, sasa ni dhahiri wapigaji wanaanza kutumia neno Rais kama taasisi kuhalalisha uhuni na ufisadi huu.

Afrika uwajibikaji ni mtihani mgumu na pengine si ustaarabu tuliouzoea lakini Kwa ripoti ya mwaka huu sharti kila Wizara na taasisi iliyobainika kuboronga na kupora pesa ya umma ni lazima wawajibike kwa kuwajibishwa na mamlaka husika baada ya kukaidi kufanya hivyo tangu watajwe na CAG.

Rai yangu ni kuwa ama wewe ni Waziri, Katibu Mkuu, Mkurugenzi au Mkuu wa idara yoyote kama umetajwa Kwa namna yoyote tafadhari wajibika, Cheo ni dhamana ya muda sawa na Koti linapokupwaya unalivua na kuliweka pembeni, tusipotoshe Kwa kutumia taasisi na nembo ya urais kuficha ufisadi unaoendelea ndani ya taifa hili linaloendelea kiuchumi na linalotegemea mikopo ya nje kuendesha bajeti yake, kuweni waungwana wajibikeni Kabla ya bunge kukunjua makucha yake, Nawasilisha! Asante.
Uwakazie hapo hapo.
Utawaona wale wote waliodai madudu yote yaliyofanyika chini ya hayati raisi wakinyosha vidole kule na meeengi yaliyotoka katika ripoti hiyo, ila sasa wanaumuka na kujipiga vifuani wakiona vidole hivyo vimenyooshwa kwa walio kwenye awamu hii kana kwamba wanaonewa na kuzodolewa. Mmeku!

Aisee!
 
Wewe unatoa amri kama nani?
Hilo Bunge gani unalongojea likunjue makucha yake? Bunge likikunjua makucha yake basi ujue Spika atakuwa NDUGAINIZED kwani atakuwa amekwenda kinyume na matakwa ya mafisadi wa ccm!!
 
Ifikie muda tuache unafiki na uzandiki usio na faida kwa taifa letu,juu ya ufisadi ndani ya nchi rais mwenyewe lazima awajibike maana ndio kiongozi mkuu wa serikali kitendo Cha kumuondoa rais katika uwajibikaji ni ufinyu wa akili,kitendo Cha watu kumuamini sana rais Samia ni tatizo lingine kubwa sana.

"Taifa limeoza hili "
 
Back
Top Bottom