Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Kumekuwa na tabia ya watu wamepanga kuoa na kuolewa kuomba michango. Tabia hiyo imekuwa zaidi miaka ya karibuni kama mtu ana namba yako anaunda group na kukuingiza huko.
Wanaopinga michango:
Wanaopinga michango:
- Hawa ni wale ambao hawajaolewa, umri umeenda na wamekata tamaa hivyo hawapo tayari kuona wenzao wanachukuliwa.
- Waislam wanaofanyia harusi nyumbani, tofauti na wakristo wanafanyia ukumbini,
- Watoaji, wasio na uchoyo na wenye upendo.
- Wakristo (wengi wao) wanapenda kuchanga na kushiriki