Msituweke kwenye Magroup ya Mchango wa Harusi na Sendoff bila ridhaa yetu!

Msituweke kwenye Magroup ya Mchango wa Harusi na Sendoff bila ridhaa yetu!

hufikiri labda ni roho ya uchoyo na umaskini?
hufikiri kuwa Mungu ametufweka tufaidiane?

USA angegomea condom zake mngeweza kumudu bei ya soko
USA angegome p2 mngeweza kuzaa hao watoto mnaoua kila uchao kwa kutoa mimba?
Mheshimiwa jaji punguza hasira, hii inasaidia kupunguza usumbufu ila ukitaka kuniunga niulize kama niko tayari nitumie link nijiunge mwenyewe
 
% m ni kubwa sana .
Vikaoa vingi nilivyoshiriki ndugu na wazzi wakichanga wanafika 2 m na mchango wa mwisho alipata 42 milion.
Kama huna roho ya kutoa wengine wana roho ya utoaji
Unaona ni sawa 42M halafu familia itoe 2M..?
Huko ni kuingiza wanandoa kwenye chain ya michango ya harusi.
 
Wabongo wanapenda shuguli
Kila siki shuguli haziishi
Kukata uno 24/7

Ova
 
kutoa mchango
  • Ni moyo na kuwiwa
  • Ni uungwana na ujamaa
...
Kutoa mchango
  • Sio utajiri unaweza kuwa nacho na usitoe
  • Sio deni hutadaiwa usipotoa
  • Sio lazima hulazimishwi ila unasisitizwa/kuombwa mchango
NB: Sipendi kuungwa kwenye magroup bila taarifa/ridhaa yangu
Kwahiyo kwa kifupi, wanaopinga wana vinyongo na husda.
 
Back
Top Bottom