Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Mna sehemu yenu peponi, tena kwenye AC!Sisi watu wa CHAMA Cha Cha Majobless tunao upendo ila hatuna Cha kutoa Sasa!
Mh. Rais wa majobless promax Intelligent businessman ni lazima wadau watambue hatuna choyo wala wivu na husda ila hatuna Cha kutoa
hakika.Mchango/kutoa ni moyo,utu na kuwiwa sio lazima wala sio utajiri
Lawama gani? Michango ni umasikini, ukiisha changisha watu umejiingiza kwenye michango endelevu, yaani huo ujinga mkubwa kwa sasa.unapotaka kuoa/kuolewa jipange, michango iwe ziada tu ili kupunguza lawama kwa watu.
Utaleftishwa haraka sanaUkiwekwa kwenye hizo group wewe andika tu KATAA NDOA, NDOA NI UTAPELI wenyewe watakuondoa🐼
Sherehe harusi ni watu , ndio maana utaona hata Wlfred tarimo, bilionea pale Moshi wana harusi ya binti yake na alikusanya michango kwa marafiki zake, harusi ilikuwa milioni 300 lakini alikusanya , so kwamba hana hela bali ni upendo.unapotaka kuoa/kuolewa jipange, michango iwe ziada tu ili kupunguza lawama kwa watu.
Sababu hasa ?Mtu asiniweke kwenye group Hadi aombe ridhaa yangu .
Sipendi napenda nipewe taarifa niambie na mchango Kwa kunipigia wakikuunga kwenye group wanatumia sms km wanadai figoSababu hasa ?
Ukiachanga ndio unaalikwaNikosa kumchangisha muhalikwa ....katika harusi kuna waalikwa na waalika tatizo mnachangisha waalikwa ...mualikwa anatakiwa kutumia bure kila kitu labda atowe zawadi tu tena bila kulazimishwa ...
ukishaungwa tu , unatuma ka a50 k kwanza, hutosumbuliwa.Sipendi napenda nipewe taarifa niambie na mchango Kwa kunipigia wakikuunga kwenye group wanatumia sms km wanadai figo
Hujawajua wewe Wana hatari sana ukikausha ziinaanza sms za kawaida😀ukishaungwa tu , unatuma ka a50 k kwanza, hutosumbuliwa.