Msituweke kwenye Magroup ya Mchango wa Harusi na Sendoff bila ridhaa yetu!

hufikiri labda ni roho ya uchoyo na umaskini?
hufikiri kuwa Mungu ametufweka tufaidiane?

USA angegomea condom zake mngeweza kumudu bei ya soko
USA angegome p2 mngeweza kuzaa hao watoto mnaoua kila uchao kwa kutoa mimba?
Mheshimiwa jaji punguza hasira, hii inasaidia kupunguza usumbufu ila ukitaka kuniunga niulize kama niko tayari nitumie link nijiunge mwenyewe
 
% m ni kubwa sana .
Vikaoa vingi nilivyoshiriki ndugu na wazzi wakichanga wanafika 2 m na mchango wa mwisho alipata 42 milion.
Kama huna roho ya kutoa wengine wana roho ya utoaji
Unaona ni sawa 42M halafu familia itoe 2M..?
Huko ni kuingiza wanandoa kwenye chain ya michango ya harusi.
 
Mimi nikiungwa kwenye group la birthday nikasema hapa hata 100 sitoi. Mimi mwenyewe birthday yangu huwa nakumbushwa na 1xbet na tigopesa.
 
Wabongo wanapenda shuguli
Kila siki shuguli haziishi
Kukata uno 24/7

Ova
 
Kwahiyo kwa kifupi, wanaopinga wana vinyongo na husda.
 
Shangazii nawee hutaki kutoa mchango. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aunt mm natoa sana tu lakin watu wanadai balaa utasema ni deni 😂😂hiyo ndo sitaki sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…