Wanaume msiogope kuzaa nje, pengine huyo umezaa nje ndio atakusaidia. Msaidie huyo mtoto. Hawa watoto umezaa nyumbani wanaweza kukugeuka lakini ule ulizaa nje akusaidie.
Chanzo: Global TV Kenya
Na nyie Wanawake ( hasa mlioolewa ) acheni Nongwa zenu pale Mabwana zenu wakizaa Nje kwani ni Jambo jema tu.