Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BadoUmetosheka?
Kapandwa huyo,acha tu apambane na hali yake!".....Kiukweli hivi vitoto vinapanda mlima haswaa 25 kushuka chin mpaka 18 ni balaa ati,so tusiwalaumu ni utamu tu"
Experience yako hii nini??
hutaki kuvuliwa na watotoKwakweli ni kipenda roho, mie hata tunaelingana umri hapana....
nakumbuka ile nyuzi yako halafu narelate na huuduuhhh
Mh!sasa mbona mnatuchanganya wengine jua wengine mvua!Nikimzidi mwanaume mwaka mmoja tu najishtukia. Vitoto havijui kitu banaa....