Msiwalaumu kina Zari,Wolper,Wema,Shilole,, kuhusu dogodogo

awamu ya tatu wanaokwenda jkt haijatoka. hata kibeku alikuwa kama ungo!
 
Mbona vitoto vingi tu ni vigoigoi?
Kuna wakubwa wako vizuri tu.....unawezakuja kukutana na mwenye umri mkubwa akakupa kitu hadi kesho yake ukashindwa kutembea nadhani itakubidi uombe panadol kwanza ndo ujue kuna wanaume wa kweli.
 
sio lazima penetration, hao wazee wanaweza kutumia njia mbadala (ulimi) na hapo mwanamke akafika kilele cha Kibo/Mawenzi
 
Nikimzidi mwanaume mwaka mmoja tu najishtukia. Vitoto havijui kitu banaa....
Mh!sasa mbona mnatuchanganya wengine jua wengine mvua!

Mleta mada anasifia watoto ila wewe unasema hawajui kitu,sasa tumuamini nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…