Msiwalaumu wadada kutembea na wazee

Msiwalaumu wadada kutembea na wazee

Nimepanda lift kwenye moja ya jengo maarufu na refu hapa mjinikati karibu na Ohio st. Niko ndani ya lift mzee mmoja smart anongea na simu kwa sauti ya maringo , upole na yenye kujiamini, kulikua kimya hivyo unasikia kabisa upande wa pili ni sauti ya kasichana mazungumzo yalikua hivi.

Mzee - What do you mean..I've told you before not to worry it is within my capability usichukue gari ya chini, chagua landcruiser au yoyote ya juu.

Mdada.- '............. .... ....... ..... ........ ........ .... ............

Mzee. - Ok no problem, njoo sasa hivi uchukue cheque kwa ajili ya kuwalipa NSSF niliongea na mkurugenzi wake akanipromse a nice location for your appartment.

Anyway we njoo ukifika go to reception I have already reserve a place, just wait me in the room nina kikao na waziri nikimaliza nakuja.

Niliwai kufika nikatoka liftini nikamuacha bado anaongea.

Kwa kweli niliona hamna sababu ya kuwasema wadada wanaotembea na wazee this dudes knows how to care jamani.
Hahaha
 
key point...

MONEY POWER and WEALTH.

hakuna cha zaidi hapo!

DAR ES SALAAM HII HII UPENDWE TU FROM NOWHERE?

mazungumzo yoote from A to Z ni costing tu zinazungumzwa, tena zimelalia upande mmoja tu wa mzee!
Hahaha
 
Back
Top Bottom