Msiwalaumu wadada kutembea na wazee

akija kukufia kiunoni Ndio utajua ....
Kiongozi wengine wanakua wagonjwa tayari visukari, presha n.k

Wanatafuta sababu ya kupewa kesi ya mauaji na hapa kwetu bongo linapokuja swala la uchunguzi tuko nyuma sana lazima usote sana lupango,

tena kama mwenye damu ya kunguni unaweza pakaziwa ulimuua sababu ya pesa zake
 
Naam wazee wanajua ku care kwa gharama za familia zao.Unakuta wake mke kachakaa kwa maisha magumu.
 
hela inayopatikana bila ya jasho ndiyo maana haionei chungu ...
 
Yani mi nitoke kwenye interview ya watu elfu 11 halafu bado unipigie unataka laki 2 ya saluni? aisee patachimbika...

hao wazee mnaowakumbatia kwa sifa za mgongo wa chupa kumbuka nao walikuwa vijana kama sie..

Tumia ujana wako vzr ufaidi uzee wako bdae.
 
Atakuwa alikuwa anaongea na lara 1

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kwa kwelii kwa halii hiyo wazeee watawanyang'anyeni videmu vyenu
 
Wazee twawapenda atii,kabao kamoja mzee hoi anaangukia pembeni ka bata na mshiko anatoa wa maana!sijaandika mm,ni hili dole gumba lina kiherehere lol!

Hahahaha.... ngoja nitafute mmoja
 

Atakuwa alikuwa anaongea na Evelyn Salt maana huyu binti Kwa kupenda pesa ni balaa uta dhana alizaliwa mwezi wa bajeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…