Msiwalaumu wadada kutembea na wazee

Msiwalaumu wadada kutembea na wazee

KIRIKIOU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
241
Reaction score
57
Nimepanda lift kwenye moja ya jengo maarufu na refu hapa mjinikati karibu na Ohio st. Niko ndani ya lift mzee mmoja smart anongea na simu kwa sauti ya maringo , upole na yenye kujiamini, kulikua kimya hivyo unasikia kabisa upande wa pili ni sauti ya kasichana mazungumzo yalikua hivi.

Mzee - What do you mean..I've told you before not to worry it is within my capability usichukue gari ya chini, chagua landcruiser au yoyote ya juu.

Mdada.- '............. .... ....... ..... ........ ........ .... ............

Mzee. - Ok no problem, njoo sasa hivi uchukue cheque kwa ajili ya kuwalipa NSSF niliongea na mkurugenzi wake akanipromse a nice location for your appartment.

Anyway we njoo ukifika go to reception I have already reserve a place, just wait me in the room nina kikao na waziri nikimaliza nakuja.

Niliwai kufika nikatoka liftini nikamuacha bado anaongea.

Kwa kweli niliona hamna sababu ya kuwasema wadada wanaotembea na wazee this dudes knows how to care jamani.
 
key point...

MONEY POWER and WEALTH.

hakuna cha zaidi hapo!

DAR ES SALAAM HII HII UPENDWE TU FROM NOWHERE?

mazungumzo yoote from A to Z ni costing tu zinazungumzwa, tena zimelalia upande mmoja tu wa mzee!

Hahahaaaa.... Umeongea kwa msisitizo sana, red color and bold!

Ukorrebhuya.....
 
Hahahaaaa.... Umeongea kwa msisitizo sana, red color and bold!

Ukorrebhuya.....

eti dada we waonaje, uitwe tu honey from nowhere wakati umempiga gepu manzi miaka 30?

inaingia akilini kweli hiyo? pesa pesa pesa jamani!

mi mwaka juzi tu nilipendwa ghafla from nowhere na mdada kutoka UDSM, kisa tu binti kagundua nimepata boom!

wakati mwanzo alikuwa ananipita kama gari la uchafu! dadeki nkamwambia cna appetite na wewe!

PESA SI MCHEZO.. FROM NOWHERE TU UNAPENDWA NA KUITWA HONEY!
 
Nimepanda lift kwenye moja ya jengo maarufu na refu hapa mjinikati karibu na Ohio st.
Niko ndani ya lift mzee mmoja smart anongea na simu kwa sauti ya maringo , upole na yenye kujiamini, kulikua kimya hivyo unasikia kabisa upande wa pili ni sauti ya kasichana... mazungumzo yalikua hivi.
Mzee.- What do you mean..i've told you before not to worry it is within my capability.
usichukue gari ya chini, chagu landcruiser au yoyote ya juu.
Mdada.- '............. .... ....... ..... ........ ........ .... ............
Mzee. - Ok no problem, njoo sasa ivi uchukue cheque kwa ajili ya kuwalipa NSSF .. niliongea namkurugenzi wake akanipromse a nice location for your appartment.... anyway we njoo ukifika go to reception i have already reserve a place....just wait me in the room nina kikao na waziri nikimaliza nakuja....
Niliwai kufika nikatoka liftini nikamuacha bado anaongea..... kwa kweli niliona hamna sababu ya kuwasema wadada wanaotembea na wazee... this dudes knows how to care jamani.

Khantwe njoo huku uisome hii hadithi. japokuwa ni ya kutunga lakini itakupa moyo wa kuwa mchepuko wangu mi babu kizee.
 
Last edited by a moderator:
kitu pesa .si vinginevyo Excel.....
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi sio pesa.


Mtu akiamua kuja kwako kwaajili ya chako kitu, basi huyo atakuwa kafuata pesa sio mapenzi..!
 
Back
Top Bottom