Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi kuna mtu (mwanamke) alikua analalamika jinsi mume wake alivyosababisha mpaka akabadilika na kua tofauti kabisa na alivyokua mwanzo....wapo waliounga mkono...waliotoa pole pia kushauri.Tatizo ni kwamba ile mada ilikua inatetea wanawake na kuponda wanaume.Sasa je wanaume wao ndo hawakutwi na situation kama hizo!?!Wangapi wanakua walevi baada ya muda ndani ya ndoa?! Wangapi wanakua na hasira za haraka ambazo hazikuwako mwanzo?! Wangapi wanakimbia nyumba zao walizozipenda mwanzo!!?!Mwangapi wanakua wachachu (bitter) tofauti na kabla ya ndoa??!!Na nyie wadada/wamama hua mnawafanya nini mpaka wababa/kaka zetu wanabadilika na kua hivi?!Na inapotokea hua mnafanya jitihada gani kuwasaidia warudie hali zao za kawaida kabla ya kuanza kulalamika fulana kawa mlevi mara sijui mkorofi?!Samahanini kwa maswali mengi ila jamani kuweni waungwana kwa wenzi wenu.Kama hutaki abadilike katika hali ambayo ni chanya kuelekea hasi jitahidi usiwe kisababishi cha yeye kua hivi!!Na ikitokea kua responsible na tafuta suluhisho badala ya kulalamika!!!
Kama ambavyo pilipili inaweza kuongeza ladha kwenye chakula na kukupendezesha au kukifanya kiwe kichungu kiasi cha mlaji kushindwa kula ndivyo hivyo hivyo inavyokua majumbani!!!Kweli mwanammke anaweza kusababisha mtu apaone nyumbani pachungu? Au kitakuwa ni kisingizio tu..?
Ndoa ni mtihani mkubwa sana lizzy ukishaingia ndio utaweza kujibu maswali yako yote uliyouliza, usiwe na haraka na hata siku moja huwezi kujua mo matter what mpaka likukute, tumeona madada walio kwenye ndoa na still majibu hatunaJuzi kuna mtu (mwanamke) alikua analalamika jinsi mume wake alivyosababisha mpaka akabadilika na kua tofauti kabisa na alivyokua mwanzo....wapo waliounga mkono...waliotoa pole pia kushauri.Tatizo ni kwamba ile mada ilikua inatetea wanawake na kuponda wanaume.Sasa je wanaume wao ndo hawakutwi na situation kama hizo!?!Wangapi wanakua walevi baada ya muda ndani ya ndoa?! Wangapi wanakua na hasira za haraka ambazo hazikuwako mwanzo?! Wangapi wanakimbia nyumba zao walizozipenda mwanzo!!?!Mwangapi wanakua wachachu (bitter) tofauti na kabla ya ndoa??!!Na nyie wadada/wamama hua mnawafanya nini mpaka wababa/kaka zetu wanabadilika na kua hivi?!Na inapotokea hua mnafanya jitihada gani kuwasaidia warudie hali zao za kawaida kabla ya kuanza kulalamika fulana kawa mlevi mara sijui mkorofi?!Samahanini kwa maswali mengi ila jamani kuweni waungwana kwa wenzi wenu.Kama hutaki abadilike katika hali ambayo ni chanya kuelekea hasi jitahidi usiwe kisababishi cha yeye kua hivi!!Na ikitokea kua responsible na tafuta suluhisho badala ya kulalamika!!!
Mi nakwambia hajui ndoa inafananaje, inaweza kuwa tamu kama asali na chungu kama shubiri, ila asilimia kubwa ni wanaume wanaowaangushaKweli mwanammke anaweza kusababisha mtu apaone nyumbani pachungu? Au kitakuwa ni kisingizio tu..?