Kocha msaidizi wa Simba, Selemani Matola aliyekuwa visiwani Zanzibar kusoma kozi ya ukocha Leseni A ya CAF iliyokuwa ikifundishwa na wakufunzi kutoka nje ya nchi ametua jijini Dar akiwa amemaliza siku zake 10 za kwanza darasani na kusema anakisubiri kikosi cha timu hiyo kitoke mkoani Tanga baada ya kucheza dhidi ya Coastal Union jana ili kuendelea na majukumu yake.
Matola atakuwepo Simba kwa miezi mitatu kufanyia kazi yale aliyofundishwa kwenye masomo yake huko Zanzibar baada ya hapo atarejea tena darasani kwa siku kumi.
Taarifa: Na Shaffih Dauda
Nami Cognizant ( alias ) Adorable Angel namsihi tu Kocha wenu Msaidizi Deiwaka Musa Hassan Mgosi ajipange upya kwani Matola ni Simba SC na Simba SC ni Matola.