Msizuge! mmeumia sana Ngoma kuja Simba SC na Mayele anataka Kuondoka acheni Kumpigia Magoti yenu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Alipokuwa ana kila dalili za Kutua Kwenu huyu Fabrice Ngoma mlikuwa mkimsifia sana katika Kurasa zenu, Watangazaji na Wachambuzi wenu leo hii mmemkosa kwa Kunyang'anywa Tonge Mdomoni Kimafia na Wakali wa Umafia Tanzania Simba SC na atachezea Simba SC mmebadilika na mnaanza Kumkandia.

Wanafiki wakubwa nyie na nina Taarifa kuwa Fiston Mayele hawataki na anataka Kuondoka zake ila mnampigia Magoti Kutwa huku mkimlamba Miguu asiondoke mpaka Kawachoka na kawazimieni kabisa na Simu sasa.

Wapuuzi Wakubwa nyie. Na bado.
 
Hizi drama zilikuwepo hata kabla ya msimu ulioisha kuanza.

Lakini wewe mwenyewe kwa kinywa chako ukakiri kua viongozi wa Yanga wapo smart sana.

Pia uzuri wake huu ndio unakua muda wa nyie kua na furaha lakini baadae ligi na mashindano mengine kuanza huwa mnatukana viongozi wenu na kuanza kusema yanga wananunua mechi na n.k

Sisi yetu macho.[emoji28]
 
Kabla ya msimu wa ligi kuanza, kelele za aina hii hutawala sana kwa mashabiki wa mbumbumbu Fc.

Halafu msimu ukianza kuchanganya sasa! Malalamiko ya kila aina nayo huanza kutawala. Utawasikia Yanga wananunua mechi! Mchezaji fulani hafai! Viongozi wamesajili wachezaji magarasa, nk.

Na kwa anaye wafahamu vizuri mashabiki wengi wa simba jinsi walivyo mbumbumbu, kasuku na bendera fuata upepo! Wala hawezi kushangaa. Sisi wengine tumeamua kutulia tu ili kuwaangalia wanavyo jimwambafai kama kawaida yao.
 
Wewe Popoma mimi nachangia mada humu jukwaani. Sasa wewe ni nani mpaka unipangie? Umefikia hatua unaniogopa sana eeeh!!!

Au unafikiri hili jukwaa ni la yule mbabe wako muuza mihogo maarufu wa soko la Kawe (Cherehani) aliyekufyeka sikio na vidole vya mkono wako wa kushoto?
Dah kumbe ile story ni yeye mwenyewe?[emoji1787][emoji1787]
 
Alipokuwa ana kila dalili za Kutua Kwenu huyu Fabrice Ngoma mlikuwa mkimsifia sana katika Kurasa zenu, Watangazaji na Wachambuzi wenu leo hii mmemkosa kwa Kunyang'anywa Tonge Mdomoni Kimafia na Wakali wa Umafia Tanzania Simba SC na atachezea Simba SC mmebadilika na mnaanza Kumkandia.

Wanafiki wakubwa nyie na nina Taarifa kuwa Fiston Mayele hawataki na anataka Kuondoka zake ila mnampigia Magoti Kutwa huku mkimlamba Miguu asiondoke mpaka Kawachoka na kawazimieni kabisa na Simu sasa.

Wapuuzi Wakubwa nyie. Na bado..!!
Vipi mwamba mbona mayowe mengi😂
 
Mwana mbumbumbu FC, a.k.a kolo, ak.a Ngada FC at his best
 
Alipokuwa ana kila dalili za Kutua Kwenu huyu Fabrice Ngoma mlikuwa mkimsifia sana katika Kurasa zenu, Watangazaji na Wachambuzi wenu leo hii mmemkosa kwa Kunyang'anywa Tonge Mdomoni Kimafia na Wakali wa Umafia Tanzania Simba SC na atachezea Simba SC mmebadilika na mnaanza Kumkandia.

Wanafiki wakubwa nyie na nina Taarifa kuwa Fiston Mayele hawataki na anataka Kuondoka zake ila mnampigia Magoti Kutwa huku mkimlamba Miguu asiondoke mpaka Kawachoka na kawazimieni kabisa na Simu sasa.

Wapuuzi Wakubwa nyie. Na bado..!!
Naona Ngoma Kawa kombe lenu,hongera
 
hii issue imenipita na sijui chochote ni bora niwe kimya tu
 
Wewe Popoma mimi nachangia mada humu jukwaani. Sasa wewe ni nani mpaka unipangie? Umefikia hatua unaniogopa sana eeeh!!!

Au unafikiri hili jukwaa ni la yule mbabe wako muuza mihogo maarufu wa soko la Kawe (Cherehani) aliyekufyeka sikio na vidole vya mkono wako wa kushoto?
Nasikia 'alishakuweka' sana 'Unyabengani' Kwako na 'Unamhusudu' kweli kweli.
 
za ndani nilizoziskia kuhusu Ngoma na kutekwa kwake airport,nimeamini Makolo ni kama braza K a.k.a WAKUKULUPUKA,wanafosi kufanya vitu kuwafurahisha mashabiki zao baada ya aka mbili kupita bila hata kikombe cha chai,lkn msimu huu wanalia tena.
 
Liangalie na hili Juha nalo.
 
Back
Top Bottom