Msoga Gang & Opposition Leaders, you guys should stop the demonization of our Late beloved President John Pombe Magufuli

JPM aliacha mark
Uko Tanzania au Burundi? Zile Tsh 2.4 Trillion kwenye CAG report ya 2016-18 hizijui?
Haya fedha za Plea bargain walizopeleka China na akina Biswalo?
Hizo ni hoja mkuu. Sio verified.
 
Acha kuandika takataka hapa!! Kwani wewe una Baba wangapi nyumbani kwako? Au mama yako hajui baba yako halisi ni nani?

Tanzania ina Baba wa taifa mmoja tu. Huyo Magufuli kamchongee sanamu weka sebuleni kwako.
 
JPM aliacha mark

Hizo ni hoja mkuu. Sio verified.
Kwa nini Magufuli hakuleta majibu ya audit queries hizo mpaka anakufa? Worst case akaoshia kuhitimisha mkataba wa CAG Prof Assad.

Hujui kusoma sawa, hata picha huoni?????
 
Kuna ulazima gani? We ukijenga reli na bwawa la umeme si wananchi watakupa kura? Why tena uteke watu? Kuna mambo ni unnecessary sana ndio maana system ikaona "enough is enough ".
 
Acha kuandika takataka hapa!! Kwani wewe una Baba wangapi nyumbani kwako? Au mama yako hajui baba yako halisi ni nani?

Tanzania ina Baba wa taifa mmoja tu. Huyo Magufuli kamchongee sanamu weka sebuleni kwako.
Ujuha ni kufananisha Taifa na Familia, hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Y
Yupo wapi Ben sanane?
Yupo wapi Anzory gwanda?
Nani alizulumu korosho za wakulima kule kusini?
Yale mandege yalinunuliwa kupitia kikao gani cha bunge?
Kikotoo je kaleta nani?
Ni katika utawala wake tulishuhudia mabenk yakifungwa na bureau de change zikiporwa
Ni majuha tu wanamsifia yule mwehu.
 
Kuna ulazima gani? We ukijenga reli na bwawa la umeme si wananchi watakupa kura? Why tena uteke watu? Kuna mambo ni unnecessary sana ndio maana system ikaona "enough is enough ".
Hiyo "system" naona ilikuwa macho tu enzi hizo.
Kwa sasa imelala tena fofofo!
 
Mkuu hii point ilipaswa itengenezewe uzi wake kabisa!
Yaani yamejaa madini ya thamani tupu.
 
Nyie chato gang akili zenu mnazitambua wenyewe.
Hii serikali haiaminiki kabisa, ndio mana wazungu wanawaona ngedere, hii inchi ilipaswa kuwa kama Korea kusini lakini viongozi walafi wenye akili duni za kuiba mali za inchi ndio wametufikisha hapa tulipo. Shetani katushika pabaya kiasi kwamba serikali ya wezi wanaona ni nzuri
 
We mbwa mfuate huyo mshamba mwenzio
 
Well said
 
You can fool some people for some time.
You can even fool some people all the time.
But you can't fool all the people all the time.
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…