Msoga Gang & Opposition Leaders, you guys should stop the demonization of our Late beloved President John Pombe Magufuli

Msoga Gang & Opposition Leaders, you guys should stop the demonization of our Late beloved President John Pombe Magufuli

Binadamu hakosi madhaifu cha msingi ni kumwomba M/Mungu ampe hekima na maarifa kiongozi wetu kuliko kuendelea kulaumu,huyu akimaliza mda wake tutaanza kumkumbuka na kumsifia na atakae kuwepo tutaanza kumlaumu,ubinadamu kazi
 
Mbona SSH akiwa Vp alipokua kwenye vikao vizito Nairobi alitoroka kwenda kumuona Lissu hospitalini?
Wacha weee! Lipi ni Lipi? Alitumwa kama VP? Au Alitoroka kama Samia?
So Did Mwinyi na uzee ule ila alipanda ndege kumjulia hali Lissu.
Irrelevant, trivial and unrelated
So kama hujazoea huo moyo (Obviously coz JPM hakuna na ubinadamu) ndio mjifunze Sasa kwamba wapo watu wanaona utu ni mkuu kuliko Urais (SSH na Mwinyi).
Unalazimisha kitu hapa, the scenario mliyotengeneza, kuonyesha ndii ukatili, hayawezekani. Hoja ni batili. kwamba alikuwa katili kwa sababu hakwenda hospitali? haina maana. Haikubaliki kwa ukweli wowote.

Mengine hayo ni porojo, ni pazia tu.
 
Sasa JPM aingie mioyoni Mara ngapi?

JPM hakupendwa na KIKUNDI Cha watu wachache WAHUNI ambao Masilahi Yao yaliguswa Moja Kwa Moja.
Alipendwa na kikundi Cha wachache wenye husda, fitna, majungu, majungu, majambazi, roho mbaya, elimu ndogo na ujinga wa asili.

Kwa nini kundi kubwa la wasomi halikumuunga mkono?

Watu wachache waliokuwa wanaamini umasikini wao umesababishwa na matajiri wachache.
 
Alipendwa na kikundi Cha wachache wenye husda, fitna, majungu, majungu, majambazi, roho mbaya, elimu ndogo na ujinga wa asili.

Kwa nini kundi kubwa la wasomi halikumuunga mkono?

Watu wachache waliokuwa wanaamini umasikini wao umesababishwa na matajiri wachache.
Wasomi walomchukia JPM ni wale Vijana wale wasokua na ajira na hawataki kufanya kazi za kawaida lkn zenue Maisha.


jPM alikubalika na wasomi
 
Well said comrade, the propagation of any kind results into a true replica and goes through generations of the propagators. We wish them a happy receiving in their bid for social imperialism transformation and reforms.
Bangi tupu
 
Wasomi walomchukia JPM ni wale Vijana wale wasokua na ajira na hawataki kufanya kazi za kawaida lkn zenue Maisha.


jPM alikubalika na wasomi
Wasomi wapi?
Au alio waokota jalalani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yule alikuwa mtu katili embu kumbuka Mdude alichofanywa. Ilikuwa haki?

Hakuna kundi la watu wenye upeo walio muelewa labda Sukuma gang.

Kifupi hakufaa kuwa Raisi wa nchi, achilia mbali kuongoza Malaika
 
Magufulinists believes in peace, development and well being of Tanzania na hivyo mashetani wote mnaofanya Siasa za Kumchafua Hayati JPM na kuwagawa Watanzania on the basis of tribal and regional politics, muache mara moja.
Jitahidi kutumia lugha moja unapotaka kufikisha ujumbe kwenye jamii. Kwenye hili andiko kuna watakao elewa nusu nusu. Umechanganya lugha sana.

Pamoja na watu kuto kuelewa vizuri pia Mtu anaechanganya lugha mara nyingi anachukuliwa kuwa hakuwa sawa( alikuwa amejawa hasira) wakati wa kuandika au hana umahiri kwenye lugha zote mbili.
 
Bado anaishi, ndiyo maana vita dhidi yake haitawahi kuisha.
Kwa akili yako basi hata Idd Amin, Hitler, Mussolini and other dictators pia bado wanaishi kwani vita dhidi haitoisha mpaka na vitabu vinavyozungumzia madhila waliyoyafanya vipo na vitaendelea kuwepo.
Nduli Magu wakati amebaki mifupa huko Chato sisi tutaendelea kutema nyongo zetu kwa kumnanga ili kila mtawala atakaye ongoza TZ basi atakuwa akifahamu ya kuwa atakuja kukumbukwa kwa jinsi atakavyokuwa akiwatendea wananchi. Akiwa mwema atakumbukwa kwa wema na akiwa mnyama na baradhuli basi atakumbukwa kwa unyama na ubaradhuli wake.
 
Hakuna sababu yeyote ile, hakuna mantiki yeyote ile, zaidi ya visasi binafsi vya kumdemonize Hayati Raisi. Zaidi ya hapo, ni kumezeshwa siasa za mabepari wa kikaburu ambao kiuhalisia ndio walioporomoka Kiuchumi. Visasi vyao ndivyo navyo wamebebeshwa CHADEMA as a get out of jail condition!

Najua wanaumia rohoni, ila hawana jinsi. A price to pay for freedom and 'Baraka'.
Hivi the time Magu authoritarian government was terrorizing people, talking nonsense shit(sijaleta tetemeko), kupora fedha za watu waliosota miaka lukuki kukuza mitaji yao, kuteka na kutesa watu wenye mitazamo ya kisiasa/kiuchumi/kiutawala tofauti na yake yalikuwa ni kwa ajili ya 'kuwa-demonize' raia kama visasi kwa wale wanaopambana na kufanikiwa?
-Hapa simply Jiwe anavuna alichopanda ila wale waliokuwa chawa wake na wanufaika wengine(kama zile timu za taskforce zilivyokuwa zikipiga pesa) wa udhalimu wake ndiyo wanaendelea kulialia kwa kuwa wamekuwa wajane na mirija yao ya upigaji imefungwa.
 
Wasomi walomchukia JPM ni wale Vijana wale wasokua na ajira na hawataki kufanya kazi za kawaida lkn zenue Maisha.


jPM alikubalika na wasomi
Kichaa yule aliyekuwa akipambana kuiua private sector? Kwenye private sector alikuwa mnyama mbwa.
Unajidanganya kwamba wasomi waliomchukia ni wasiokuwa na ajira(probably unamaanisha wasiokuwa na ajira kwa upumbavu wao wenyewe kwani ajira zimejaa na hawataki kufanya kazi) so all of sudden kuingia Samia madarakani hao wasomi wasio na ajira wamebadilika na kumpenda rais huyu? Nini kimebadilika katika maisha yao hadi wampende wa sasa ilhali bado hawana ajira?
 
Kwa akili yako basi hata Idd Amin, Hitler, Mussolini and other dictators pia bado wanaishi kwani vita dhidi haitoisha mpaka na vitabu vinavyozungumzia madhila waliyoyafanya vipo na vitaendelea kuwepo.
Nduli Magu wakati amebaki mifupa huko Chato sisi tutaendelea kutema nyongo zetu kwa kumnanga ili kila mtawala atakaye ongoza TZ basi atakuwa akifahamu ya kuwa atakuja kukumbukwa kwa jinsi atakavyokuwa akiwatendea wananchi. Akiwa mwema atakumbukwa kwa wema na akiwa mnyama na baradhuli basi atakumbukwa kwa unyama na ubaradhuli wake.

Huo ni mtazamo wako ambao unaongozwa na fikra za unyonge. The bottom line is, "we lost the animal that the country badly needed".
 
Hivi the time Magu authoritarian government was terrorizing people, talking nonsense shit
Nilikuwepo, watu walikuwepo na hayo unayodai alifanya, sio kweli!
'talking nonsense' ndio kusema nini?? Hayati ali hitimisha yale aliyodai atafanya! hizo 'nonsense' hazikuwepo. Na kila ukitafuta mitandaoni, unakuta wanasema [ A non nonsense President] wewe hiyo kusema alikuwa akiongea yasiyoeleweka umetoa wapi? kama sio hisia lako;kisasi binafsi? -Una demonise
 
waliosota miaka lukuki kukuza mitaji
Kwanza tukubaliane kuwa huo ni mtazamo wa kibepari na fikra ya Kibeberu
, kupora fedha za watu waliosota miaka lukuki kukuza mitaji yao,
Ipo wazi kuwa hakupora! Hayo maneno ya 'kupora' ndio hayo, ku demonise. Hayati hajawai kutoka ofisisni mwake afanye hayo. Kupora ni tendo ambalo linahusishwa na majambazi wa mtaaani- wapora cheni, wapora simu n.k Hayati hakufanya hayo!
watu waliosota miaka lukuki kukuza mitaji yao
Hata bodaboda wanasota, lakini wao ndio wenye laana? Unafikiri kwa nini hiyo ni hivyo? Ni wazi wakisota Mabepari na mabeberu, ndio wanaokuja juu na kukurupuka na visasi. Lieleweke hilo, kwamba wao'wazungu' wakiitafuta wanaita 'hard work' ila mtu mweusi akifanya 'hard work' yeye ana laana. Kitaeleweka
 
Hapa simply Jiwe anavuna alichopanda ila wale waliokuwa chawa wake na wanufaika wengine
Hayo ndio nayo yaita "Ugaidi" anavunaje mtu yu mfu?
Mnachokifanya ni kudemonise wale wote wenye walio na "Fikra" za kumkomboa mwafrika. Au unataka kusema sio hivyo?

Basi weka maana ya Chawa wake na 'wanufaika' wengine.
 
Kichaa yule aliyekuwa akipambana kuiua private sector? Kwenye private sector alikuwa mnyama mbwa.
Hapo tena, ati alikuwa kichaa! Kweli hayo? Madai yako ni ya uwongo. Una demonise.
Imekuja kueleweka kuwa "Wazungu" au "Mabepari ya kibeberu" ndio wanayotumia lugha kama hizo; Kuwaita watu wa Afrika 'Aina ya wanyama' fulani- Mbwa, Nyani, Ngedere n.k kana kwamba hawana ubinadamu, kana kwamba hawana akili, wajinga n.k that they are'unintelligeble'.

Vilevile,hiyo lugha, au maneno neno 'Private Sector' vile vile inahusishwa na 'Ubebebru' 'Ubepari' au? Private sector ndio kina nani? it is a fancy saying!


Kwa hayo, nitasimama kidete na kusema, You are Demonising! Nasimama kidete kusema, mna Visasi binafsi kwamba [private sector] ndio yenye visasi na ndio waliowanunua kina Lissu, CHADEMA na sasa Lema to continue the Society of Propagation of Gospel yaani SPG kueneza sumu zilizojaaa katika ilani yao!
 
Huu uzi ndio nimeuona leo. Kifupi tu, kwa % nyingi kifo cha JPM hakikuwa cha kuwatowa watu machozi. Wengi wa waliolia ni walamba viatu kama kina Sabaya na wasukuma wenzake.
 
Nyie chato gang akili zenu mnazitambua wenyewe.
mm siyo chato gang lkn tumsome vzr halafu tuyapime bila ushabiki wowote.tuwe wakweli na tukubali kusimama ktk kweli ili tuwe huru.
 
Only fools will buy this! Magufuli and his legacy? Which one?! Unaccounted disappearance of his opponents, tribal hatred, unlawful undertakings, lies, the crushing of freedom of speech and political parties, public funds embezzlement in the name of ambitious projects, nepotistic award of state tenders to Mayanga Construction, dictatorship and assassinations are among countless atrocities committed by your purported hero! This is the legacy left behind by the most unprofessional president ever in Tanzania and probably elsewhere in Africa.

He’s is lucky to be among the dead now, otherwise he was supposed to be answering many charges including the whereabouts of mammoth public funds which we’re beginning to learn he deposited to the banks of what he passionately referred to as mabeberu, and the many people who disappeared on account of his brutal orders.

Don’t you know that we’re only gaining huge loses from the many projects he hid behind like ATCL aircrafts which are parked on stones as we speak?

Even the most notorious personalities like Idd Amin had ardent followers because of different reasons including foolishness. I would like to know what makes you think Magufuli deserves any heroic attributes. Mtawadanganya sana wajinga.
vita vya uchumi ni vigumu sana.
 
Back
Top Bottom