Msoga Gang & Opposition Leaders, you guys should stop the demonization of our Late beloved President John Pombe Magufuli

Tulidanganyika wote tukamwamini alituhadaa na kutukejeli katuona sisi wajinga lakini mungu husimamia haki za wajinga kama sisi tuliomuamini na mbwembwe zote anashughulikia mafisadi kumbe anatengeneza njia mpya ya mafisadi wake alafu anakua mali kweli kweli ukithubutu kusema mbona hiki sio sawa???
Mie sio Miongoni mwa wanaoweza kudanganywa maana Huwa napenda kusoma na kutafuta habari.
 
I hereby declare my interest, mimi ni muumini wa damu kabisa wa Magufulification of Tanzania.

JPM was a kind of President tulomuhitaji kwa miaka mingi, he was a man of his words, a Man who made things happen.

Lets speak the truth, Tanzania's current economic shambles, Social, Cultural and political calamities are largely due to leadership failure by past governments.

Nani asiyejua kuwa mtangulizi wake ndio aliyevuta Mpunga na mikataba ambayo leo hii imetuletea ushoga?

Nani asiyejua Ufisadi mkubwa mkubwa wakutisha uliofanywa na huyu mtangulizi wake?

Kuna ipindi kilichokuwa na Ufisadi, wizi, umasikini mkubwa, Wapinzani mpaka Viongozi wa Dini kula Rushwa waziwazi kama ilivyokua kwa Uongozi wa mtangulizi wake?

Nani asiyejua JPM alikuja kuwa Mkombozi aliyekinusuru Chama Cha Mapinduzi na kukifichia aibu machoni mwa Watanzania?

Nani asiyejua kuwa JPM alirithi Nchi iloharibika kwelikweli, huku hazina kukiwa hamna kila kitu?

Nani asiyejua JPM alirithi nchi ambayo Watumishi wa Umma, hawakuwa na tena na maadili, nidhamu, na walijawa dharau?

Nani asiyejua kuwa JPM alirithi Nchi ambayo haikuwa na strategical projects yoyote?

Nani asiyejua JPM alirithi nchi ambayo ilijawa Rushwa, Masikini akazidi kuwa Masikini, huku wachache wakuendelea kujikimbikizia Mali na watoto wao?

Late President JPM should not be demonized and we as Tanzanians na vile mnatuita (Sukuma Gang) we shall stand by to condemn any humiliation and any bad mouthing directed against our Late beloved Magufuli.

Watanzania ni lazima tusimame nyuma ya Misingi aliyoiacha Hayati JPM kuhakikisha kwamba Serikali hii iliyorithi mikoba yake inatafuta appropriate solutions to the country's problems na Serikali inawajibika kama ilivyokuwa kwa JPM. JPM alitatua tatizo hapohapo, yaliyohitaji muda aliyapa muda.

JPM akisema, naondoka ila nitarudi Mwezi wa Saba, nikija nikute pamekamilika, na kweli Mwezi wa Saba alirudi, na ole wako akute maneno na sio kazi iliyokwisha, utamjua!

Leo Nchi imerudi hatua za miaka kumi nyuma, mtu anaboronga anahamishwa, watu wanakula pesa tu za nchi, nchi haina hata bei elekezi. Sasa hizi watuingizia Michele na vyakula vya GMO, havipimwi wala nini!

Taasisi nyingi zimelala, watu wamelala, wakiamka ni kupiga hela, kila mahali ni vilio, Viongozi vilio, Wananchi vilio, hivi hii Nchi ya wapi? Tunaenda wapi kama Nchi?

Tanzania Must move forward and this requires all people in this country to support the Legacy left by Late JPM.

Mtu anapofurahia kifo cha JPM, Baba aliyojitoa maisha yake, Baba aliyeamua kutufanya tuamini na sisi Watanzania tunaweza is just unpatriotic, disingenuous and intellectually dishonest.

Kiongozi wa Nchi unajinadi eti "Hata mimi sipendi kutengua, kumtengua mtu ni fedheha!" Kweli? Unamwambia nani?

Unatafuta kupendwa? Ndio imefikia hatua unawaruhusu wale kwa kamba zao? Hatima yake kila kukicha wanagombaniana kupiga hela za Wananchi, Miradi inasimama, akionekana mmoja hapendi Rushwa, mnamuwashia moto, mara vile, mara hivi, kama Taifa tunaenda wapi?

I want you (Msoga and the Fake opposition leaders) to know that, the lies and malicious propaganda peddled against our Late Beloved President JPM will not work anywhere in the country, will not work anywhere and this is simply because Tanzanians knows their real enemy!

Magufulinists
believes in peace, development and well being of Tanzania na hivyo mashetani wote mnaofanya Siasa za Kumchafua Hayati JPM na kuwagawa Watanzania on the basis of tribal and regional politics, muache mara moja.

Muwe na aibu hata kidogo, mtalaaniwa na vizaazi vyenu, mambo makubwa alitufanyia huyu Mjoli wa Mungu JPM kwa miaka yake mitano tulipaswa hata tumjengee sanamu. Kwa kuhesabu mazuri makubwa aloyafanya, siwezi kuyamaliza.

Maajabu sasa kila kukicha mnapamba na kufuta popote ambapo kuna chembechembe za Magufuli.

Na nyie Vyombo vya Dola, nyote ni mashahidi na wenye macho kwa mchango wa miaka mitano ya JPM katika nchi hii, inakuaje mnachekacheka na hawa wahuni? Wahuni ambao mashariti ya zile 4R zao, ni kumchafua JPM na kumsifia aliyopo? Kwanini mnaacha haya?

Ndugu zangu Watanzania fahamuni, hatuna wapinzani, tuna kikundi cha wahuni ambao wanapambania;
  • Matumbo yao.
  • Pesa za Wazungu.
  • Ushoga ili taifa lilaaniwe, na huu ushoga unaongoza kupambaniwa na wapinzani huku ukifungiwa macho na uongozi uliopo.
Rai yangu

Watanzania msikae kimya, amkeni. Pingeni huku mkimwomba Mungu aingilie kati. Najua uongozi wa sasa umeamua kututoa kwa Mungu, kwa sasa hamna yale maombi makubwa ya kitaifa aliyoanzisha JPM, najua ni makusudi tu wanafanya, ila ni Mungu ndio alitupitisha kwenye Covid-19, Mungu alitupunguzia ajali, Mungu alituepushia Uchumi kushuka, Mungu aliyetupa JPM aliyetuhimiza tufanye kazi kwa bidii.

Na hivyo basi sisi kama wananchi tusiache kumwambia Mungu afanye jambo. Tuombe Vyombo vya Dola Mungu avipe weledi ili badala ya kuendelea kusimamia na kikundi wasimamie masualamapana yenye maslahi ya nchi.
Magufuli kaji demonize mwenyewe, wala hahitaji mtu yeyote kum demonize, he did that very well himself.

Mimi si Msoga wala sina kundi katika huu ujinga unaoitwa siasa Tanzania.

Lakini, kutoka kwa mtu asiye na upande hata mimi naona Magufuli was a country bumpkin who had no business being head of state.

Ni vile tu wabongo wengi bado hawajui systemic thinking.

Wanatumia sana emotion badala ya logic na data.

Ndiyo maana hata wewe post yako yote hujaweka hata namba kuonesha ubora wa Magufuli umeupima vipi tangibly, ukiondoa hadithi za abracadabra ambazo kichaa yeyote anaweza kupiga.
 
kama mpo wengi kwanini munashindwa kuanzisha chama chenu mpaka sasa? ni wanafiki tu
 
Legacy ya Nyerere inatetewa na nani?
Wacha Legacy yenyewe ijitetee.

Ila kumbuka unapokuwa kiongozi wa Taifa jua unaongoza watu na sio Mbuzi.
Unahitaji uingie kwenye mioyo ya watu.

Je? Akifanya maendeleo ya vitu au watu?
Kwa Sasa hayo hayafanyiki?
Wizi uliisha? Kama uliisha tuelezee pesa z pre bargaining zilikwenda wapi?

Zile Trillion 1.5 zilipoteaga wapi?

Kumbukeni hii ni nchi yetu inamilikiwa kwa umoja
 
I hereby declare my interest, mimi ni muumini wa damu kabisa wa Magufulification of Tanzania.

JPM was a kind of President tulomuhitaji kwa miaka mingi, he was a man of his words, a Man who made things happen.

Lets speak the truth, Tanzania's current economic shambles, Social, Cultural and political calamities are largely due to leadership failure by past governments.

Nani asiyejua kuwa mtangulizi wake ndio aliyevuta Mpunga na mikataba ambayo leo hii imetuletea ushoga?

Nani asiyejua Ufisadi mkubwa mkubwa wakutisha uliofanywa na huyu mtangulizi wake?

Kuna ipindi kilichokuwa na Ufisadi, wizi, umasikini mkubwa, Wapinzani mpaka Viongozi wa Dini kula Rushwa waziwazi kama ilivyokua kwa Uongozi wa mtangulizi wake?

Nani asiyejua JPM alikuja kuwa Mkombozi aliyekinusuru Chama Cha Mapinduzi na kukifichia aibu machoni mwa Watanzania?

Nani asiyejua kuwa JPM alirithi Nchi iloharibika kwelikweli, huku hazina kukiwa hamna kila kitu?

Nani asiyejua JPM alirithi nchi ambayo Watumishi wa Umma, hawakuwa na tena na maadili, nidhamu, na walijawa dharau?

Nani asiyejua kuwa JPM alirithi Nchi ambayo haikuwa na strategical projects yoyote?

Nani asiyejua JPM alirithi nchi ambayo ilijawa Rushwa, Masikini akazidi kuwa Masikini, huku wachache wakuendelea kujikimbikizia Mali na watoto wao?

Late President JPM should not be demonized and we as Tanzanians na vile mnatuita (Sukuma Gang) we shall stand by to condemn any humiliation and any bad mouthing directed against our Late beloved Magufuli.

Watanzania ni lazima tusimame nyuma ya Misingi aliyoiacha Hayati JPM kuhakikisha kwamba Serikali hii iliyorithi mikoba yake inatafuta appropriate solutions to the country's problems na Serikali inawajibika kama ilivyokuwa kwa JPM. JPM alitatua tatizo hapohapo, yaliyohitaji muda aliyapa muda.

JPM akisema, naondoka ila nitarudi Mwezi wa Saba, nikija nikute pamekamilika, na kweli Mwezi wa Saba alirudi, na ole wako akute maneno na sio kazi iliyokwisha, utamjua!

Leo Nchi imerudi hatua za miaka kumi nyuma, mtu anaboronga anahamishwa, watu wanakula pesa tu za nchi, nchi haina hata bei elekezi. Sasa hizi watuingizia Michele na vyakula vya GMO, havipimwi wala nini!

Taasisi nyingi zimelala, watu wamelala, wakiamka ni kupiga hela, kila mahali ni vilio, Viongozi vilio, Wananchi vilio, hivi hii Nchi ya wapi? Tunaenda wapi kama Nchi?

Tanzania Must move forward and this requires all people in this country to support the Legacy left by Late JPM.

Mtu anapofurahia kifo cha JPM, Baba aliyojitoa maisha yake, Baba aliyeamua kutufanya tuamini na sisi Watanzania tunaweza is just unpatriotic, disingenuous and intellectually dishonest.

Kiongozi wa Nchi unajinadi eti "Hata mimi sipendi kutengua, kumtengua mtu ni fedheha!" Kweli? Unamwambia nani?

Unatafuta kupendwa? Ndio imefikia hatua unawaruhusu wale kwa kamba zao? Hatima yake kila kukicha wanagombaniana kupiga hela za Wananchi, Miradi inasimama, akionekana mmoja hapendi Rushwa, mnamuwashia moto, mara vile, mara hivi, kama Taifa tunaenda wapi?

I want you (Msoga and the Fake opposition leaders) to know that, the lies and malicious propaganda peddled against our Late Beloved President JPM will not work anywhere in the country, will not work anywhere and this is simply because Tanzanians knows their real enemy!

Magufulinists
believes in peace, development and well being of Tanzania na hivyo mashetani wote mnaofanya Siasa za Kumchafua Hayati JPM na kuwagawa Watanzania on the basis of tribal and regional politics, muache mara moja.

Muwe na aibu hata kidogo, mtalaaniwa na vizaazi vyenu, mambo makubwa alitufanyia huyu Mjoli wa Mungu JPM kwa miaka yake mitano tulipaswa hata tumjengee sanamu. Kwa kuhesabu mazuri makubwa aloyafanya, siwezi kuyamaliza.

Maajabu sasa kila kukicha mnapamba na kufuta popote ambapo kuna chembechembe za Magufuli.

Na nyie Vyombo vya Dola, nyote ni mashahidi na wenye macho kwa mchango wa miaka mitano ya JPM katika nchi hii, inakuaje mnachekacheka na hawa wahuni? Wahuni ambao mashariti ya zile 4R zao, ni kumchafua JPM na kumsifia aliyopo? Kwanini mnaacha haya?

Ndugu zangu Watanzania fahamuni, hatuna wapinzani, tuna kikundi cha wahuni ambao wanapambania;
  • Matumbo yao.
  • Pesa za Wazungu.
  • Ushoga ili taifa lilaaniwe, na huu ushoga unaongoza kupambaniwa na wapinzani huku ukifungiwa macho na uongozi uliopo.
Rai yangu

Watanzania msikae kimya, amkeni. Pingeni huku mkimwomba Mungu aingilie kati. Najua uongozi wa sasa umeamua kututoa kwa Mungu, kwa sasa hamna yale maombi makubwa ya kitaifa aliyoanzisha JPM, najua ni makusudi tu wanafanya, ila ni Mungu ndio alitupitisha kwenye Covid-19, Mungu alitupunguzia ajali, Mungu alituepushia Uchumi kushuka, Mungu aliyetupa JPM aliyetuhimiza tufanye kazi kwa bidii.

Na hivyo basi sisi kama wananchi tusiache kumwambia Mungu afanye jambo. Tuombe Vyombo vya Dola Mungu avipe weledi ili badala ya kuendelea kusimamia na kikundi wasimamie masualamapana yenye maslahi ya nchi.
sisi tumefurahi alipokufa kwasababu alikuwa kiongozi mshenzi, juha na muovu . asiyejua lolote kuhusu haki za binaadamu na utawala wa sheria. tulifurahi usiku ule
kama unaweza kamfufue uzikwe wewe. hatutaki viongozi manyapara hapa nchini
 
Legacy ya Nyerere inatetewa na nani?
Wacha Legacy yenyewe ijitetee.

Ila kumbuka unapokuwa kiongozi wa Taifa jua unaongoza watu na sio Mbuzi.
Unahitaji uingie kwenye mioyo ya watu.

Je? Akifanya maendeleo ya vitu au watu?
Kwa Sasa hayo hayafanyiki?
Wizi uliisha? Kama uliisha tuelezee pesa z pre bargaining zilikwenda wapi?

Zile Trillion 1.5 zilipoteaga wapi?

Kumbukeni hii ni nchi yetu inamilikiwa kwa umoja
Sasa JPM aingie mioyoni Mara ngapi?

JPM hakupendwa na KIKUNDI Cha watu wachache WAHUNI ambao Masilahi Yao yaliguswa Moja Kwa Moja.
 
Aliyevaa kiatu ndo anajua msumali unachomea wapi.. wewe huwezi kuelewa Mkuu.
 
I hereby declare my interest, mimi ni muumini wa damu kabisa wa Magufulification of Tanzania.

JPM was a kind of President tulomuhitaji kwa miaka mingi, he was a man of his words, a Man who made things happen.

Lets speak the truth, Tanzania's current economic shambles, Social, Cultural and political calamities are largely due to leadership failure by past governments.

Nani asiyejua kuwa mtangulizi wake ndio aliyevuta Mpunga na mikataba ambayo leo hii imetuletea ushoga?

Nani asiyejua Ufisadi mkubwa mkubwa wakutisha uliofanywa na huyu mtangulizi wake?

Kuna ipindi kilichokuwa na Ufisadi, wizi, umasikini mkubwa, Wapinzani mpaka Viongozi wa Dini kula Rushwa waziwazi kama ilivyokua kwa Uongozi wa mtangulizi wake?

Nani asiyejua JPM alikuja kuwa Mkombozi aliyekinusuru Chama Cha Mapinduzi na kukifichia aibu machoni mwa Watanzania?

Nani asiyejua kuwa JPM alirithi Nchi iloharibika kwelikweli, huku hazina kukiwa hamna kila kitu?

Nani asiyejua JPM alirithi nchi ambayo Watumishi wa Umma, hawakuwa na tena na maadili, nidhamu, na walijawa dharau?

Nani asiyejua kuwa JPM alirithi Nchi ambayo haikuwa na strategical projects yoyote?

Nani asiyejua JPM alirithi nchi ambayo ilijawa Rushwa, Masikini akazidi kuwa Masikini, huku wachache wakuendelea kujikimbikizia Mali na watoto wao?

Late President JPM should not be demonized and we as Tanzanians na vile mnatuita (Sukuma Gang) we shall stand by to condemn any humiliation and any bad mouthing directed against our Late beloved Magufuli.

Watanzania ni lazima tusimame nyuma ya Misingi aliyoiacha Hayati JPM kuhakikisha kwamba Serikali hii iliyorithi mikoba yake inatafuta appropriate solutions to the country's problems na Serikali inawajibika kama ilivyokuwa kwa JPM. JPM alitatua tatizo hapohapo, yaliyohitaji muda aliyapa muda.

JPM akisema, naondoka ila nitarudi Mwezi wa Saba, nikija nikute pamekamilika, na kweli Mwezi wa Saba alirudi, na ole wako akute maneno na sio kazi iliyokwisha, utamjua!

Leo Nchi imerudi hatua za miaka kumi nyuma, mtu anaboronga anahamishwa, watu wanakula pesa tu za nchi, nchi haina hata bei elekezi. Sasa hizi watuingizia Michele na vyakula vya GMO, havipimwi wala nini!

Taasisi nyingi zimelala, watu wamelala, wakiamka ni kupiga hela, kila mahali ni vilio, Viongozi vilio, Wananchi vilio, hivi hii Nchi ya wapi? Tunaenda wapi kama Nchi?

Tanzania Must move forward and this requires all people in this country to support the Legacy left by Late JPM.

Mtu anapofurahia kifo cha JPM, Baba aliyojitoa maisha yake, Baba aliyeamua kutufanya tuamini na sisi Watanzania tunaweza is just unpatriotic, disingenuous and intellectually dishonest.

Kiongozi wa Nchi unajinadi eti "Hata mimi sipendi kutengua, kumtengua mtu ni fedheha!" Kweli? Unamwambia nani?

Unatafuta kupendwa? Ndio imefikia hatua unawaruhusu wale kwa kamba zao? Hatima yake kila kukicha wanagombaniana kupiga hela za Wananchi, Miradi inasimama, akionekana mmoja hapendi Rushwa, mnamuwashia moto, mara vile, mara hivi, kama Taifa tunaenda wapi?

I want you (Msoga and the Fake opposition leaders) to know that, the lies and malicious propaganda peddled against our Late Beloved President JPM will not work anywhere in the country, will not work anywhere and this is simply because Tanzanians knows their real enemy!

Magufulinists
believes in peace, development and well being of Tanzania na hivyo mashetani wote mnaofanya Siasa za Kumchafua Hayati JPM na kuwagawa Watanzania on the basis of tribal and regional politics, muache mara moja.

Muwe na aibu hata kidogo, mtalaaniwa na vizaazi vyenu, mambo makubwa alitufanyia huyu Mjoli wa Mungu JPM kwa miaka yake mitano tulipaswa hata tumjengee sanamu. Kwa kuhesabu mazuri makubwa aloyafanya, siwezi kuyamaliza.

Maajabu sasa kila kukicha mnapamba na kufuta popote ambapo kuna chembechembe za Magufuli.

Na nyie Vyombo vya Dola, nyote ni mashahidi na wenye macho kwa mchango wa miaka mitano ya JPM katika nchi hii, inakuaje mnachekacheka na hawa wahuni? Wahuni ambao mashariti ya zile 4R zao, ni kumchafua JPM na kumsifia aliyopo? Kwanini mnaacha haya?

Ndugu zangu Watanzania fahamuni, hatuna wapinzani, tuna kikundi cha wahuni ambao wanapambania;
  • Matumbo yao.
  • Pesa za Wazungu.
  • Ushoga ili taifa lilaaniwe, na huu ushoga unaongoza kupambaniwa na wapinzani huku ukifungiwa macho na uongozi uliopo.
Rai yangu

Watanzania msikae kimya, amkeni. Pingeni huku mkimwomba Mungu aingilie kati. Najua uongozi wa sasa umeamua kututoa kwa Mungu, kwa sasa hamna yale maombi makubwa ya kitaifa aliyoanzisha JPM, najua ni makusudi tu wanafanya, ila ni Mungu ndio alitupitisha kwenye Covid-19, Mungu alitupunguzia ajali, Mungu alituepushia Uchumi kushuka, Mungu aliyetupa JPM aliyetuhimiza tufanye kazi kwa bidii.

Na hivyo basi sisi kama wananchi tusiache kumwambia Mungu afanye jambo. Tuombe Vyombo vya Dola Mungu avipe weledi ili badala ya kuendelea kusimamia na kikundi wasimamie masualamapana yenye maslahi ya nchi.
The death of that tyrant ruler saved the nation, ile siku aliyokufa ndipo nchi ilipookolewa kwa maana uadui na uhasama alioujenga baina ya watu wenye mitazamo tofauti ya kisiasa na namna ya kuiongoza nchi haujawahi kutokea tangu multiparty system ianze.
Yule mbweha bora alikufa mapema manake angemaliza miaka kumi au angetawala zaidi ya hiyo miaka kumi(campaigning za chinichini zilishaanza kuwekwa wazi na chawa wake of course yeye akiwa ndiye engineer) wangetekwa, wangeuawa, wangeporwa na wangeteswa wengi sana kisa tu wana mitazamo tofauti na utawala.
Nchi ingezidi kuwa na ongezeko la wakimbizi wa kisiasa.
Just imagine Sabaya, Musiba, Makonda, Polepole, Ndugai na vichaa wengine wa caliber hiyo wangekuwa bado wanachezesha raia 'segere', God has really saved the nation.
Pain ni kwa wale waliofaidika na uharamia uliokuwa ukifanyika na wale subcontractors(Sukuma gang affiliates) waliokuwa wakitupiga kupitia makampuni ya Jiwe na ya ndugu zake, hao ndiyo nyinyi mnaolialia kizuzu wakati watu walipoteza ndugu zao, watu waliporwa mali na fedha zao, watu walitekwa na kuteswa pia watu walijeruhiwa kwa risasi na vipigo.
Lile jibwa tutalisema, tutalinanga na tutalitukana na ningeshauri liingizwe kwe syllabus za shule kufundisha jinsi nchi ilivyotawaliwa na nduli aliyeua na kutesa raia wake katika awamu ya tano na akafa kwa Coronavirus simply ni kuwa alikuwa mbishi akikataa ushauri wa kitaalamu akitegemea kupona kwa kutumia pilipili, tangawizi, malimao na vitunguu, taifa lilipona baada ya kifo chake kilichosabaishwa na uzembe wake.
 
Only fools will buy this! Magufuli and his legacy? Which one?! Unaccounted disappearance of his opponents, tribal hatred, unlawful undertakings, lies, the crushing of freedom of speech and political parties, public funds embezzlement in the name of ambitious projects, nepotistic award of state tenders to Mayanga Construction, dictatorship and assassinations are among countless atrocities committed by your purported hero! This is the legacy left behind by the most unprofessional president ever in Tanzania and probably elsewhere in Africa.

He’s is lucky to be among the dead now, otherwise he was supposed to be answering many charges including the whereabouts of mammoth public funds which we’re beginning to learn he deposited to the banks of what he passionately referred to as mabeberu, and the many people who disappeared on account of his brutal orders.

Don’t you know that we’re only gaining huge loses from the many projects he hid behind like ATCL aircrafts which are parked on stones as we speak?

Even the most notorious personalities like Idd Amin had ardent followers because of different reasons including foolishness. I would like to know what makes you think Magufuli deserves any heroic attributes. Mtawadanganya sana wajinga.
Thank you, those types of stupid goons will only manage to deceive fools.
Hawa Sukuma gang wanauchungu sana kwa kuwa nchi ina amani na raia wanaishi kwa furaha, economic challenges zilikuwepo na zitakuwepo kila mtu akaze buti apambanie mkate wake na wa dependants wake na kuua na kutesa si suluhisho japo kwa hao Sukuma gang kuteseka kwa raia ndiyo ilikuwa furaha yao.
 
I hereby declare my interest, mimi ni muumini wa damu kabisa wa Magufulification of Tanzania.

JPM was a kind of President tulomuhitaji kwa miaka mingi, he was a man of his words, a Man who made things happen.

Lets speak the truth, Tanzania's current economic shambles, Social, Cultural and political calamities are largely due to leadership failure by past governments.

Nani asiyejua kuwa mtangulizi wake ndio aliyevuta Mpunga na mikataba ambayo leo hii imetuletea ushoga?

Nani asiyejua Ufisadi mkubwa mkubwa wakutisha uliofanywa na huyu mtangulizi wake?

Kuna ipindi kilichokuwa na Ufisadi, wizi, umasikini mkubwa, Wapinzani mpaka Viongozi wa Dini kula Rushwa waziwazi kama ilivyokua kwa Uongozi wa mtangulizi wake?

Nani asiyejua JPM alikuja kuwa Mkombozi aliyekinusuru Chama Cha Mapinduzi na kukifichia aibu machoni mwa Watanzania?

Nani asiyejua kuwa JPM alirithi Nchi iloharibika kwelikweli, huku hazina kukiwa hamna kila kitu?

Nani asiyejua JPM alirithi nchi ambayo Watumishi wa Umma, hawakuwa na tena na maadili, nidhamu, na walijawa dharau?

Nani asiyejua kuwa JPM alirithi Nchi ambayo haikuwa na strategical projects yoyote?

Nani asiyejua JPM alirithi nchi ambayo ilijawa Rushwa, Masikini akazidi kuwa Masikini, huku wachache wakuendelea kujikimbikizia Mali na watoto wao?

Late President JPM should not be demonized and we as Tanzanians na vile mnatuita (Sukuma Gang) we shall stand by to condemn any humiliation and any bad mouthing directed against our Late beloved Magufuli.

Watanzania ni lazima tusimame nyuma ya Misingi aliyoiacha Hayati JPM kuhakikisha kwamba Serikali hii iliyorithi mikoba yake inatafuta appropriate solutions to the country's problems na Serikali inawajibika kama ilivyokuwa kwa JPM. JPM alitatua tatizo hapohapo, yaliyohitaji muda aliyapa muda.

JPM akisema, naondoka ila nitarudi Mwezi wa Saba, nikija nikute pamekamilika, na kweli Mwezi wa Saba alirudi, na ole wako akute maneno na sio kazi iliyokwisha, utamjua!

Leo Nchi imerudi hatua za miaka kumi nyuma, mtu anaboronga anahamishwa, watu wanakula pesa tu za nchi, nchi haina hata bei elekezi. Sasa hizi watuingizia Michele na vyakula vya GMO, havipimwi wala nini!

Taasisi nyingi zimelala, watu wamelala, wakiamka ni kupiga hela, kila mahali ni vilio, Viongozi vilio, Wananchi vilio, hivi hii Nchi ya wapi? Tunaenda wapi kama Nchi?

Tanzania Must move forward and this requires all people in this country to support the Legacy left by Late JPM.

Mtu anapofurahia kifo cha JPM, Baba aliyojitoa maisha yake, Baba aliyeamua kutufanya tuamini na sisi Watanzania tunaweza is just unpatriotic, disingenuous and intellectually dishonest.

Kiongozi wa Nchi unajinadi eti "Hata mimi sipendi kutengua, kumtengua mtu ni fedheha!" Kweli? Unamwambia nani?

Unatafuta kupendwa? Ndio imefikia hatua unawaruhusu wale kwa kamba zao? Hatima yake kila kukicha wanagombaniana kupiga hela za Wananchi, Miradi inasimama, akionekana mmoja hapendi Rushwa, mnamuwashia moto, mara vile, mara hivi, kama Taifa tunaenda wapi?

I want you (Msoga and the Fake opposition leaders) to know that, the lies and malicious propaganda peddled against our Late Beloved President JPM will not work anywhere in the country, will not work anywhere and this is simply because Tanzanians knows their real enemy!

Magufulinists
believes in peace, development and well being of Tanzania na hivyo mashetani wote mnaofanya Siasa za Kumchafua Hayati JPM na kuwagawa Watanzania on the basis of tribal and regional politics, muache mara moja.

Muwe na aibu hata kidogo, mtalaaniwa na vizaazi vyenu, mambo makubwa alitufanyia huyu Mjoli wa Mungu JPM kwa miaka yake mitano tulipaswa hata tumjengee sanamu. Kwa kuhesabu mazuri makubwa aloyafanya, siwezi kuyamaliza.

Maajabu sasa kila kukicha mnapamba na kufuta popote ambapo kuna chembechembe za Magufuli.

Na nyie Vyombo vya Dola, nyote ni mashahidi na wenye macho kwa mchango wa miaka mitano ya JPM katika nchi hii, inakuaje mnachekacheka na hawa wahuni? Wahuni ambao mashariti ya zile 4R zao, ni kumchafua JPM na kumsifia aliyopo? Kwanini mnaacha haya?

Ndugu zangu Watanzania fahamuni, hatuna wapinzani, tuna kikundi cha wahuni ambao wanapambania;
  • Matumbo yao.
  • Pesa za Wazungu.
  • Ushoga ili taifa lilaaniwe, na huu ushoga unaongoza kupambaniwa na wapinzani huku ukifungiwa macho na uongozi uliopo.
Rai yangu

Watanzania msikae kimya, amkeni. Pingeni huku mkimwomba Mungu aingilie kati. Najua uongozi wa sasa umeamua kututoa kwa Mungu, kwa sasa hamna yale maombi makubwa ya kitaifa aliyoanzisha JPM, najua ni makusudi tu wanafanya, ila ni Mungu ndio alitupitisha kwenye Covid-19, Mungu alitupunguzia ajali, Mungu alituepushia Uchumi kushuka, Mungu aliyetupa JPM aliyetuhimiza tufanye kazi kwa bidii.

Na hivyo basi sisi kama wananchi tusiache kumwambia Mungu afanye jambo. Tuombe Vyombo vya Dola Mungu avipe weledi ili badala ya kuendelea kusimamia na kikundi wasimamie masualamapana yenye maslahi ya nchi.
Sukuma Gang mnalo mwaka huu,tutamsema mpaka huo mzoga ugeuke huko kaburini

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Na hivyo basi sisi kama wananchi tusiache kumwambia Mungu afanye jambo. Tuombe Vyombo vya Dola Mungu avipe weledi ili badala ya kuendelea kusimamia na kikundi wasimamie masualamapana yenye masl

Vp kuhusu pesa alizoenda kuficha China?..kweli sukuma Gang yamewafika Kwa shingo.
 
Hakuna kitu mtafanya maana zama za ukatili zimeshapita. Huko CCM hata fomu hamtoruhusiwa kuchukua na mgombea wenu ni Samia!!!

Mpina si mlimjaza upepo mbona kakatwa ujumbe wa NEC mkoa na kitaifa na hamna kitu mmefanya!!
Hujui lolote kibaka wewe. We weka bando uendelee kupiga kelele humu. Muda ukifika mumeo hata ubelgiji ataona hapafai, atataka akimbilie kuzimu kabisa
 
I hereby declare my interest, mimi ni muumini wa damu kabisa wa Magufulification of Tanzania.

JPM was a kind of President tulomuhitaji kwa miaka mingi, he was a man of his words, a Man who made things happen.

Lets speak the truth, Tanzania's current economic shambles, Social, Cultural and political calamities are largely due to leadership failure by past governments.

Nani asiyejua kuwa mtangulizi wake ndio aliyevuta Mpunga na mikataba ambayo leo hii imetuletea ushoga?

Nani asiyejua Ufisadi mkubwa mkubwa wakutisha uliofanywa na huyu mtangulizi wake?

Kuna ipindi kilichokuwa na Ufisadi, wizi, umasikini mkubwa, Wapinzani mpaka Viongozi wa Dini kula Rushwa waziwazi kama ilivyokua kwa Uongozi wa mtangulizi wake?

Nani asiyejua JPM alikuja kuwa Mkombozi aliyekinusuru Chama Cha Mapinduzi na kukifichia aibu machoni mwa Watanzania?

Nani asiyejua kuwa JPM alirithi Nchi iloharibika kwelikweli, huku hazina kukiwa hamna kila kitu?

Nani asiyejua JPM alirithi nchi ambayo Watumishi wa Umma, hawakuwa na tena na maadili, nidhamu, na walijawa dharau?

Nani asiyejua kuwa JPM alirithi Nchi ambayo haikuwa na strategical projects yoyote?

Nani asiyejua JPM alirithi nchi ambayo ilijawa Rushwa, Masikini akazidi kuwa Masikini, huku wachache wakuendelea kujikimbikizia Mali na watoto wao?

Late President JPM should not be demonized and we as Tanzanians na vile mnatuita (Sukuma Gang) we shall stand by to condemn any humiliation and any bad mouthing directed against our Late beloved Magufuli.

Watanzania ni lazima tusimame nyuma ya Misingi aliyoiacha Hayati JPM kuhakikisha kwamba Serikali hii iliyorithi mikoba yake inatafuta appropriate solutions to the country's problems na Serikali inawajibika kama ilivyokuwa kwa JPM. JPM alitatua tatizo hapohapo, yaliyohitaji muda aliyapa muda.

JPM akisema, naondoka ila nitarudi Mwezi wa Saba, nikija nikute pamekamilika, na kweli Mwezi wa Saba alirudi, na ole wako akute maneno na sio kazi iliyokwisha, utamjua!

Leo Nchi imerudi hatua za miaka kumi nyuma, mtu anaboronga anahamishwa, watu wanakula pesa tu za nchi, nchi haina hata bei elekezi. Sasa hizi watuingizia Michele na vyakula vya GMO, havipimwi wala nini!

Taasisi nyingi zimelala, watu wamelala, wakiamka ni kupiga hela, kila mahali ni vilio, Viongozi vilio, Wananchi vilio, hivi hii Nchi ya wapi? Tunaenda wapi kama Nchi?

Tanzania Must move forward and this requires all people in this country to support the Legacy left by Late JPM.

Mtu anapofurahia kifo cha JPM, Baba aliyojitoa maisha yake, Baba aliyeamua kutufanya tuamini na sisi Watanzania tunaweza is just unpatriotic, disingenuous and intellectually dishonest.

Kiongozi wa Nchi unajinadi eti "Hata mimi sipendi kutengua, kumtengua mtu ni fedheha!" Kweli? Unamwambia nani?

Unatafuta kupendwa? Ndio imefikia hatua unawaruhusu wale kwa kamba zao? Hatima yake kila kukicha wanagombaniana kupiga hela za Wananchi, Miradi inasimama, akionekana mmoja hapendi Rushwa, mnamuwashia moto, mara vile, mara hivi, kama Taifa tunaenda wapi?

I want you (Msoga and the Fake opposition leaders) to know that, the lies and malicious propaganda peddled against our Late Beloved President JPM will not work anywhere in the country, will not work anywhere and this is simply because Tanzanians knows their real enemy!

Magufulinists
believes in peace, development and well being of Tanzania na hivyo mashetani wote mnaofanya Siasa za Kumchafua Hayati JPM na kuwagawa Watanzania on the basis of tribal and regional politics, muache mara moja.

Muwe na aibu hata kidogo, mtalaaniwa na vizaazi vyenu, mambo makubwa alitufanyia huyu Mjoli wa Mungu JPM kwa miaka yake mitano tulipaswa hata tumjengee sanamu. Kwa kuhesabu mazuri makubwa aloyafanya, siwezi kuyamaliza.

Maajabu sasa kila kukicha mnapamba na kufuta popote ambapo kuna chembechembe za Magufuli.

Na nyie Vyombo vya Dola, nyote ni mashahidi na wenye macho kwa mchango wa miaka mitano ya JPM katika nchi hii, inakuaje mnachekacheka na hawa wahuni? Wahuni ambao mashariti ya zile 4R zao, ni kumchafua JPM na kumsifia aliyopo? Kwanini mnaacha haya?

Ndugu zangu Watanzania fahamuni, hatuna wapinzani, tuna kikundi cha wahuni ambao wanapambania;
  • Matumbo yao.
  • Pesa za Wazungu.
  • Ushoga ili taifa lilaaniwe, na huu ushoga unaongoza kupambaniwa na wapinzani huku ukifungiwa macho na uongozi uliopo.
Rai yangu

Watanzania msikae kimya, amkeni. Pingeni huku mkimwomba Mungu aingilie kati. Najua uongozi wa sasa umeamua kututoa kwa Mungu, kwa sasa hamna yale maombi makubwa ya kitaifa aliyoanzisha JPM, najua ni makusudi tu wanafanya, ila ni Mungu ndio alitupitisha kwenye Covid-19, Mungu alitupunguzia ajali, Mungu alituepushia Uchumi kushuka, Mungu aliyetupa JPM aliyetuhimiza tufanye kazi kwa bidii.

Na hivyo basi sisi kama wananchi tusiache kumwambia Mungu afanye jambo. Tuombe Vyombo vya Dola Mungu avipe weledi ili badala ya kuendelea kusimamia na kikundi wasimamie masualamapana yenye maslahi ya nchi.
Nataman kiandika kitu kizito ni kikumbuka tu makam mwenyekiti chama cha m ni kanali ambae ndo mwizi mkubwa na mratibu mkibwa wa wizi akishirikiana na gang ulilolitaja naishia kusema t RIP JPM
 
Back
Top Bottom