Msoga Gang & Opposition Leaders, you guys should stop the demonization of our Late beloved President John Pombe Magufuli

nimelike baada ya kusoma mistari miwili tu ya juu sasa naenda kuchukua maji ya kunywa nirudi niisome yote

asante mtoa post
 
A lot of shit you try to revealing Binadamu Ni Nyama tu
Anakufa
Anaumwa
Anasahulika
So kumtengemea Binadamu mwenzako ni upumbavu mkubwa Sana you need to get rid from such behavior .

Nchi imara inaongozwa na mfumo na sio matamko ya wanasiasa wapumbavu Kama Mwendazake na so called Sisiemu members &leaders
 
Kwa hujaweka namba yako ya simu ?. Unataka tupate shida ya kukutafuta wakati tunaandaa mkeka wa ma DC.
 
Kafukueni hilo zoga lenu lije liwaongoze tena. Tunaishukuru corona iliyolifyekelea mbali hilo zimwi la chato
 
Nilianzisha Makala hapa nikasema kutokana na aliyoyatenda na kutufungua macho hivyo kupanda mbegu ambayo nina hakika imehamasisha wengi kuipigania nchi kwa uzalendo wa hali ya juu, hivyo Magufuli anastahili kuitwa Baba wa Pili wa Taifa, nilionekana nimezingua wakati ndio uhalisia.
 
Mfanye wewe kuwa baba yako wa kufikia sawa sawa?
 
Kama ilivyo kwingineko kwetu huku Afrika, hawa jamaa "ELITE BUSINESS POLITICIANS" ni WAKOLONI kama wale wengine wa kizungu. Mfanano wao naambiwa ni pamoja na kuhamisha "MITAJI" ambayo ndo ingekua chachu ya maendeleo ya bara hili. Wakoloni weupe walifanya hayo hayo. Leo hii mijitu ilokulia zizi moja na mbuzi, kondoo, kunguni na wenzao sawa yao ni accounts kule Credit Suisse bank et al. Sina uhakika wa data hizi, ila hata kama ni propaganda inasemekana kwamba asilimia 60 ya capital hiyo imehamishiwa kwenye mabenki ya nje. Sasa hawa elitist cabal ya business politicians ndani yao wapo kwa asilimia kubwa hao unaowaita wahuni.
Lakini pamoja na yoye, piga ua, kwa kiasi kikubwa tunajitalia wenyewe. Most of us are spineless cowards pia. Ilikua hivyo enzi za yule juha Mangungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…