Expensive life JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 4,095 Reaction score 13,016 Jul 7, 2025 #1 Wakuu, Msoga21march21@yahoo.com, kijiji hiki tunaweza kusema ndio kijiji maarufu nchini hakuna asiye kijua. Kijiji hiki kimebeba tumaini kubwa sana kwa bi mkubwa, kila zito linalomtatiza lazima haraka sana akimbilie kijiji kile. Ukileta dharau dhidi ya kijiji kile ni ngumu sana wewe kutoboa, msoga kijiji maarufu kilichobeba tumaini kwa bi mkubwa.
Wakuu, Msoga21march21@yahoo.com, kijiji hiki tunaweza kusema ndio kijiji maarufu nchini hakuna asiye kijua. Kijiji hiki kimebeba tumaini kubwa sana kwa bi mkubwa, kila zito linalomtatiza lazima haraka sana akimbilie kijiji kile. Ukileta dharau dhidi ya kijiji kile ni ngumu sana wewe kutoboa, msoga kijiji maarufu kilichobeba tumaini kwa bi mkubwa.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,324 Reaction score 202,767 Jul 7, 2025 #2 Basi sawaa
DIVISHENI FOO JF-Expert Member Joined Jan 31, 2023 Posts 2,306 Reaction score 5,036 Jul 7, 2025 #3 cocastic said: Basi sawaa Click to expand... Mambo ya TEETH haya huwezi kuelewa shoga angu. Twenzetu kwenye uzi wa TUNDA LA KIMASHKARA na FANTASY ZA MBUNYE.
cocastic said: Basi sawaa Click to expand... Mambo ya TEETH haya huwezi kuelewa shoga angu. Twenzetu kwenye uzi wa TUNDA LA KIMASHKARA na FANTASY ZA MBUNYE.
P pet96 JF-Expert Member Joined Feb 23, 2022 Posts 1,913 Reaction score 3,271 Jul 7, 2025 #4 DIVISHENI FOO said: Mambo ya TEETH haya huwezi kuelewa shoga angu. Twenzetu kwenye uzi wa TUNDA LA KIMASHKARA na FANTASY ZA MBUNYE. Click to expand... Jinsia yako tafadhali
DIVISHENI FOO said: Mambo ya TEETH haya huwezi kuelewa shoga angu. Twenzetu kwenye uzi wa TUNDA LA KIMASHKARA na FANTASY ZA MBUNYE. Click to expand... Jinsia yako tafadhali
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Jul 7, 2025 #5 Msoga kunani?
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,846 Reaction score 16,713 Jul 7, 2025 #6 Kijiji Cha The Big Boss
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 6,316 Reaction score 9,390 Jul 7, 2025 #7 MSOGA NI NOMA NILIKUWA PALE SIKUAMINI.MSOGA KWA JK