Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Huyu jamaa toka day 1 alipochaguliwa kuwa m/kiti wa timu alishashindwa vibaya. Siku ya kwanza tu kuanza kazi aligeuka kocha kwenye vyumba vya kuvalia nguo huko Samora ambapo Yanga ilichezea kichapo cha 2:0.Zahera alieleza kila kitu kuhusu kuingiliwa kazi yake na huyu jamaa. Lakn jambo la kusikitisha zaidi ni kuacha kuwalipa wachezaji walioipigania timu msimu uliopita ktk mazingira magumu sn badala yaje akakimbilia kuwasajili wachezaji wapya tena kwa gharama kubwa. Dante hadi leo amegoma kujiunga na timu na mbaya zaidi uongozi umekua ukitoa majibu ya dharau sn kuhusu kudaiwa na Dante.
Kituko kingine,huyu M/kiti amekua akiunda kamati nyiiingi ambazo hazina maana lengo likiwa ni kuwapa ulaji washikaji zake. Hv umeona wapi duniani timu inakua na wasemaji wawili? Yaani timu haina pesa aafu unaendelea kuajiri na kurundika watu wasio na maana huo km si uzwazwa ni nini? Yanga ilichangiwa takribani Bil.1 kwahiyo ndo tuseme mzigo wote umekata baada ya mechi 8 au 9 tu?Mbaya zaidi hakuna mpango mkakati wowote wa kuinusuru timu kutoka kwenye ukata.Kila fedha inayoingia inaliwa yote. Nazani huyu anaenda kuwa M/kiti aliefeli vibaya mno ndani Yanga. Namshauri tu km maji yamezidi unga aiache timu kuliko kuendeleza ngonjera na vituko visivyo na maana kwa klabu. Kwa staili hii Simba itachukua ubingwa mara 10 mfululizo. Kazi kwenu wenye timu.