Msolwa alishashindwa Yanga mapemaaaa!!.

Msolwa alishashindwa Yanga mapemaaaa!!.

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Huyu jamaa toka day 1 alipochaguliwa kuwa m/kiti wa timu alishashindwa vibaya. Siku ya kwanza tu kuanza kazi aligeuka kocha kwenye vyumba vya kuvalia nguo huko Samora ambapo Yanga ilichezea kichapo cha 2:0.Zahera alieleza kila kitu kuhusu kuingiliwa kazi yake na huyu jamaa. Lakn jambo la kusikitisha zaidi ni kuacha kuwalipa wachezaji walioipigania timu msimu uliopita ktk mazingira magumu sn badala yaje akakimbilia kuwasajili wachezaji wapya tena kwa gharama kubwa. Dante hadi leo amegoma kujiunga na timu na mbaya zaidi uongozi umekua ukitoa majibu ya dharau sn kuhusu kudaiwa na Dante.

Kituko kingine,huyu M/kiti amekua akiunda kamati nyiiingi ambazo hazina maana lengo likiwa ni kuwapa ulaji washikaji zake. Hv umeona wapi duniani timu inakua na wasemaji wawili? Yaani timu haina pesa aafu unaendelea kuajiri na kurundika watu wasio na maana huo km si uzwazwa ni nini? Yanga ilichangiwa takribani Bil.1 kwahiyo ndo tuseme mzigo wote umekata baada ya mechi 8 au 9 tu?Mbaya zaidi hakuna mpango mkakati wowote wa kuinusuru timu kutoka kwenye ukata.Kila fedha inayoingia inaliwa yote. Nazani huyu anaenda kuwa M/kiti aliefeli vibaya mno ndani Yanga. Namshauri tu km maji yamezidi unga aiache timu kuliko kuendeleza ngonjera na vituko visivyo na maana kwa klabu. Kwa staili hii Simba itachukua ubingwa mara 10 mfululizo. Kazi kwenu wenye timu.
 
Tuachie mwenyekiti wetu msomi
Alisika chura mmoja akimtetea M/kiti
 
Timu inaendeshwa kwa mfumo wa kichama. Nafikiri tumebakisha kamati ya siasa ndani ya timu.
Huyu jamaa toka day 1 alipochaguliwa kuwa m/kiti wa timu alishashindwa vibaya. Siku ya kwanza tu kuanza kazi aligeuka kocha kwenye vyumba vya kuvalia nguo huko Samora ambapo Yanga ilichezea kichapo cha 2:0.Zahera alieleza kila kitu kuhusu kuingiliwa kazi yake na huyu jamaa. Lakn jambo la kusikitisha zaidi ni kuacha kuwalipa wachezaji walioipigania timu msimu uliopita ktk mazingira magumu sn badala yaje akakimbilia kuwasajili wachezaji wapya tena kwa gharama kubwa. Dante hadi leo amegoma kujiunga na timu na mbaya zaidi uongozi umekua ukitoa majibu ya dharau sn kuhusu kudaiwa na Dante.

Kituko kingine,huyu M/kiti amekua akiunda kamati nyiiingi ambazo hazina maana lengo likiwa ni kuwapa ulaji washikaji zake. Hv umeona wapi duniani timu inakua na wasemaji wawili? Yaani timu haina pesa aafu unaendelea kuajiri na kurundika watu wasio na maana huo km si uzwazwa ni nini? Yanga ilichangiwa takribani Bil.1 kwahiyo ndo tuseme mzigo wote umekata baada ya mechi 8 au 9 tu?Mbaya zaidi hakuna mpango mkakati wowote wa kuinusuru timu kutoka kwenye ukata.Kila fedha inayoingia inaliwa yote. Nazani huyu anaenda kuwa M/kiti aliefeli vibaya mno ndani Yanga. Namshauri tu km maji yamezidi unga aiache timu kuliko kuendeleza ngonjera na vituko visivyo na maana kwa klabu. Kwa staili hii Simba itachukua ubingwa mara 10 mfululizo. Kazi kwenu wenye timu.
 
Hapo nyuma kidogo niliwahi kusikia sehemu wanasema ni Mamluki huenda ni kweli eee. 🤔🤔🤔🤔
 
ndio maana kocha ausems alietimuliwa alisema mpira wa tanzania kuendelea ni ngumu sana, viongozi ndio wanapanga wachezaji gani wacheze, viongozi wana umaarufu kuliko wachezaji
 
Huyu jamaa toka day 1 alipochaguliwa kuwa m/kiti wa timu alishashindwa vibaya. Siku ya kwanza tu kuanza kazi aligeuka kocha kwenye vyumba vya kuvalia nguo huko Samora ambapo Yanga ilichezea kichapo cha 2:0.Zahera alieleza kila kitu kuhusu kuingiliwa kazi yake na huyu jamaa. Lakn jambo la kusikitisha zaidi ni kuacha kuwalipa wachezaji walioipigania timu msimu uliopita ktk mazingira magumu sn badala yaje akakimbilia kuwasajili wachezaji wapya tena kwa gharama kubwa. Dante hadi leo amegoma kujiunga na timu na mbaya zaidi uongozi umekua ukitoa majibu ya dharau sn kuhusu kudaiwa na Dante.

Kituko kingine,huyu M/kiti amekua akiunda kamati nyiiingi ambazo hazina maana lengo likiwa ni kuwapa ulaji washikaji zake. Hv umeona wapi duniani timu inakua na wasemaji wawili? Yaani timu haina pesa aafu unaendelea kuajiri na kurundika watu wasio na maana huo km si uzwazwa ni nini? Yanga ilichangiwa takribani Bil.1 kwahiyo ndo tuseme mzigo wote umekata baada ya mechi 8 au 9 tu?Mbaya zaidi hakuna mpango mkakati wowote wa kuinusuru timu kutoka kwenye ukata.Kila fedha inayoingia inaliwa yote. Nazani huyu anaenda kuwa M/kiti aliefeli vibaya mno ndani Yanga. Namshauri tu km maji yamezidi unga aiache timu kuliko kuendeleza ngonjera na vituko visivyo na maana kwa klabu. Kwa staili hii Simba itachukua ubingwa mara 10 mfululizo. Kazi kwenu wenye timu.
Yanga kama TLP
 
Yanga wanasiasa wanawapoteza...eti timu ya wanainchi!!.... kweli dunia hii uendeshe timu kwa michango! ....hizo zilikuwa enzi za ujamaa....sasa hivi mpira ni pesa na unaendeshwa kitaaluma....mbaya zaidi hakuna hata utaratibu wa kujua matumizi sahihi ya michango....na wajanja ndio wanapigia humo humo...tafuteni mwekezaji mumpe timu kwa makubaliano maalumu...wapi uliona duniani timu ya michango yenye mafanikio?....ongeeni hata na GSM
 
sasahivi kaja na idea mbovu ya kuchosha wachezaji...kwa kuwapeleka kucheza na timu za vijijin..[emoji23][emoji23]..ndiyo maana mkwasa haweziondoka ....hakuna kocha professional atakayekubal upumbavu huo...angalau ingekuwa preseason labda ingeeleweka
Huyu jamaa toka day 1 alipochaguliwa kuwa m/kiti wa timu alishashindwa vibaya. Siku ya kwanza tu kuanza kazi aligeuka kocha kwenye vyumba vya kuvalia nguo huko Samora ambapo Yanga ilichezea kichapo cha 2:0.Zahera alieleza kila kitu kuhusu kuingiliwa kazi yake na huyu jamaa. Lakn jambo la kusikitisha zaidi ni kuacha kuwalipa wachezaji walioipigania timu msimu uliopita ktk mazingira magumu sn badala yaje akakimbilia kuwasajili wachezaji wapya tena kwa gharama kubwa. Dante hadi leo amegoma kujiunga na timu na mbaya zaidi uongozi umekua ukitoa majibu ya dharau sn kuhusu kudaiwa na Dante.

Kituko kingine,huyu M/kiti amekua akiunda kamati nyiiingi ambazo hazina maana lengo likiwa ni kuwapa ulaji washikaji zake. Hv umeona wapi duniani timu inakua na wasemaji wawili? Yaani timu haina pesa aafu unaendelea kuajiri na kurundika watu wasio na maana huo km si uzwazwa ni nini? Yanga ilichangiwa takribani Bil.1 kwahiyo ndo tuseme mzigo wote umekata baada ya mechi 8 au 9 tu?Mbaya zaidi hakuna mpango mkakati wowote wa kuinusuru timu kutoka kwenye ukata.Kila fedha inayoingia inaliwa yote. Nazani huyu anaenda kuwa M/kiti aliefeli vibaya mno ndani Yanga. Namshauri tu km maji yamezidi unga aiache timu kuliko kuendeleza ngonjera na vituko visivyo na maana kwa klabu. Kwa staili hii Simba itachukua ubingwa mara 10 mfululizo. Kazi kwenu wenye timu.
 
sasahivi kaja na idea mbovu ya kuchosha wachezaji...kwa kuwapeleka kucheza na timu za vijijin..[emoji23][emoji23]..ndiyo maana mkwasa haweziondoka ....hakuna kocha professional atakayekubal upumbavu huo...angalau ingekuwa preseason labda ingeeleweka
hapo wanatafuta pesa za kuwalipa wachezaji mishahara
 
Back
Top Bottom