Msomali aliyerudishwa kwao kutoka Marekani alia kwa uchungu hali ilivyo ngumu Somalia

Msomali aliyerudishwa kwao kutoka Marekani alia kwa uchungu hali ilivyo ngumu Somalia

Hii itufundishe wote kwamba ukiwa mgeni mahali hata kama unahisi umeshajizatiti vipi katikati yao bado kuna umuhimu wa kufata yale wanayotaka wenyeji wetu tuyafate.

Ugenini ni ugenini tu hii haibadiliki.
 
Back
Top Bottom