Msomali aliyerudishwa kwao kutoka Marekani alia kwa uchungu hali ilivyo ngumu Somalia

Msomali aliyerudishwa kwao kutoka Marekani alia kwa uchungu hali ilivyo ngumu Somalia

Typical Tanzanian man kufurahiya mateso ya wenzio haishangazi kuona ccm wanavo enjoy mateso wanayompa Lisu. aina hii ya jamiii tulionayo.
Atengeneze kasili lake la somalia, kwa nini alilie nyumba aliyojenga mwenzie.......
 
USA zaidi ya bikra 72 wanazodai watu wa imani.
 
Accent yake inaonesha amezaliwa huko au alienda akiwa mtoto sana sasa Somalia yeye haijui na walioiharibu ni hao Amerca.
Duh Marekani ameiharibu Somalia?

Nchi gani sasa halijaharibiwa na Marekani?
 
Accent yake inaonesha amezaliwa huko au alienda akiwa mtoto sana sasa Somalia yeye haijui na walioiharibu ni hao Amerca.
Mawazo potofu, America iliharibu vipi somalia??? 🤔 🤔
 
Duh Marekani ameiharibu Somalia?

Nchi gani sasa halijaharibiwa na Marekani?
Unafikiri wasomali walivo waelevu wangekosa kuharibiwa nchiyao kungekuwa na wakuwashika Africa?? Angalia hapo bongo Nairobi matajiri wakubwa ni wao,iangalie kariakoo.
 
Unafikiri wasomali walivo waelevu wangekosa kuharibiwa nchiyao kungekuwa na wakuwashika Africa?? Angalia hapo bongo Nairobi matajiri wakubwa ni wao,iangalie kariakoo.
Kuna hapo juu amekuuliza Marekani ameharibu vipi Somalia?
 
Dah jamaa anatia huruma....wasingechokoa Wamarekani, wangekubali kuishi na wenzao kwa amani bila kuanza kuchokonoa kwa kuagiza sharia, pia wizi mwingi.
 
Back
Top Bottom