Msomali rep. Ilhan Omar wa USA ana bonge la skendo!

Kwa nini anyang'anywe ?

Trump babu zake walizaliwa wapi ?
Babu zake na Trump hawahusiki hapa. Na babu zake na Ilhan hawahusiki hapa.

Wanaohusika hapa ni Trump na huyo Msomali.

Ungrateful Woman.

Huko alikotoka hakuna chochote cha maana.

Anapewa uraia kwenye nchi za watu halafu anaanza kuiponda nchi iliyompa maisha aliyonayo sasa.

Huko kwao Somalia hawezi kubwabwaja hivyo.
 
Huyo Msomali kwa nini asirudi kwao Somalia akaifanye Somalia iwe nchi bora?

Hayo anayoyasema akiwa Marekani huko Somalia hatathubutu kuyasema.

Ungrateful Woman.
Ni kama bwana Polepole, there is no freedom of speech after the speech
 
Unataka marekani iwe kama Somalia ? Nini maana ya uhuru wa kutoa maoni,land of free na baba wa demokrasia duniani ?
 
Unataka marekani iwe kama Somalia ? Nini maana ya uhuru wa kutoa maoni,land of free na baba wa demokrasia duniani ?
Sitaki Marekani iwe kama Somalia na ndo maana sikubaliani na huyo Msomali.

Hakuna kutoa uhuru kusiko na mipaka.

Huwezi tu ukasema chochote kile utakacho bila madhara.
 
Sitaki Marekani iwe kama Somalia na ndo maana sikubaliani na huyo Msomali.

Hakuna kutoa uhuru kusiko na mipaka.

Huwezi tu ukasema chochote kile utakacho bila madhara.
Kama kuna mipaka basi hakuna uhuru wa maoni,mapacha wa marekani sasa ni China,Russia,North Korea,Tanzania

Zidumu fikra za mwenyekiti Trump zidumu.
 
Kama kuna mipaka basi hakuna uhuru wa maoni,mapacha wa marekani sasa ni China,Russia,North Korea,Tanzania

Zidumu fikra za mwenyekiti Trump zidumu.
Hayo nayo ni maoni yako tu 🤣.
 
...Ameipondaje....na Bado akapata Ubunge ? ..🤔
 
Huyo Msomali kwa nini asirudi kwao Somalia akaifanye Somalia iwe nchi bora?

Hayo anayoyasema akiwa Marekani huko Somalia hatathubutu kuyasema.

Ungrateful Woman.
Ungrateful to whom and for What ?!!!

The mere factor kwamba ni representative na watu wamemchagua basi hayo asemayo huenda ni representation ya watu waliomuweka hapo..., Mbili the fact kwamba aliamua kuondoka Somali ili kuja huku alipo huenda ni sababu anaweza kusema anayosema na hakutoka huko Somalia ili aje another defacto Somalia..

Ukizingatia wote waliopo hapo majority ni wahamiaji waliopora Mali ya Apache Indians
 
Settlers si wahamiaji!

Hata hao Indians huenda nao walitokea kwingine.
 
Ulokole umekujaa mpaka kwenye kucha mpaka umekuwa mpumbavu.

kwa nini unaniita "mpumbavu"? kipi usichokielewa hapo? USA haifwati islam sharia kama somalia bali sheria ya USA ni western Christian na huo ndio ukweli, au kipi haukielewi hapo ? ndoa baina ya kaka na dada in Christianity hairuhusiwi hiyo ni incest na kwa kawaida ni kosa kisheria ...
 
Settlers si wahamiaji!

Hata hao Indians huenda nao walitokea kwingine.

hiyo argument ya watu kusema kwamba wazungu USA siyo kwao sijawahi kuilewa, i mean wazungu wameijenga USA from ground up, hivyo kwangu mimi wazungu na black amerikans wana haki ya kuclaim kwamba USA ni kwao isitoshe kuna wazungu na black amerikans wana trace roots in USA kwa zaidi ya miaka 500 kuna watanzania hatta tu miaka 100 iliyopita hawawezi kuprove chochote kama kweli hapa bongo ni kwao..

niliangalia movies za wild west zilinifungua macho sana wakati wazungu wanahamia ktk east coast kufungua western part, kulikua na mapori tu na wanyama wakali, wengi walikufa lkn wakaja kujenga miji mizuri na uchumi uliosimama from scratch mpaka leo hii kila mtu anatamani kwenda kuishi halafu mtu leo hii anatokea somalia au sijui iraki na kusema kwamba usa ni ya kila mtu kwamba wazungu siyo kwao, how ? ...
 
Hata hao Indians huenda nao walitokea kwingine.
Kihistoria hao ndio wenye Marekani yao​
Historia iko wazi Wazungu walioko Marekani ni wahamiaji ni kama Wazungu wa Australia achana na hizo movies 🚮🚮😅​
 
Kihistoria hao ndio wenye

Historia iko wazi Wazungu walioko Marekani ni wahamiaji ni kama Wazungu wa Australia achana na hizo movies 🚮🚮😅​

hata wewe ni muhamiaji pia hapa tanzagiza au unafikiri ni watu gani waliishi hapa east afrika miaka 1000 ililyopita? hawakuwa wabantu, wabantu wote wanaoishi hapa east afrika na kusini wamekuja kutokea west afrika kushuka chini walihamia na ku replace natives waliokuwepo wawindaji kwa kuwaondoa na kuwafukuza na kusettle wengine wakashuka mpaka southern afrika na kureplace khoi san, unalijua hilo? ...
 
Kwani Trump mboni anashutumiwa kulala na Malaya na kudharirisha wanawake kingono imempeleka wapi msenge huyo aache usenge asitumie hisia za kike kwenye mambo km hayo ataonekana km shoga huku anapinga ushoga
Pole sana mkuu, ndio raisi wa Marekani. Na kipenzi cha wamarekani na dunia kwa ujumla, hasa wale wasiopenda mambo ya kiwaki kama hayo uliyotaja hapo.
Ila wale elojibitikyu wanamchukia kwelikweli nawaharibia ugali wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…