Kwahio unadhani dunia imeanza jana sababu wewe umezaliwa leo ?!! Unajua kwamba happenstances ya jana ni causative ya kitu kitakachotokea kesho ?
Unajua hatua waliyokuwa wamepiga China kabla ya Opium wars; unajua hatua waliyokuwa wamepiga Ulaya kabla ya Vita vya Dunia na advatange aliyopata USA kwa kutokuwemo kwenye vita hivyo moja kwa moja na baada ya hapo makubaliano ya Bretton Woods
Niambia ni Invention gani iliyogunduliwa miaka ya hivi karibuni 21st Century zaidi ya kurudia zile zile theories labda na sasa uwezo wa materials na ku-perfect yaliyokwisha fanywa na fore fathers; la vyuo ndio yale yale marketability mtu akisema amesoma Havard akirudi nchini kwao anaonekana mtu wa maana zaidi na sio Havard tu hata Cambridge, Oxford n.k. (hilo ni pamoja mizizi ya colonial mentality) as well as hivyo Vyuo kuweza kujimarket; By the way tukitaka kuongelea Elimu hivi unajua hata University ya Kwanza ilikuwa wapi ?
Unajifunza nini au unadhani huko kwenye Vyuo wanafundisha kupaa na ungo kwamba ukiwa Bongo ni mjinga ukirudi unaweza kubadilisha maji kuwa asali ? If anything tunahitaji emancipation from mental slavely kwa wewe kudhani kwamba ukienda nje kujifunza ndio utaelimika kupambana na mazingira yako no wonder economically kwa hizi karne za karibuni utaendelea kuwa second best...
Mchina ni industry of the world hizo pikipiki zisingekuja huenda ungetembelea Swala (sababu hata Phoenix ni yake) kwa kukosa pesa ya kuweza kununua Yamaha au Suzuki mchina ameweza kutengeneza vitu ambavyo ni affordable na kukusaidia wewe hapo ambaye hauna disposable income sio kutokana na kwamba nchi yako haiwezi kutengeneza pikipiki hizo bali kuchukua pesa zako zote na kutokukuachia disposable income ya mahitaji; Kwahio badala ya kumlaumu mchina ambaye ameleta maviatu ya bei za kutupwa ili usitembee peku laumu Serikali yako na Matozo yake...
Maadui wetu hawajawahi Kubadilika Umasikini, Ujinga na Maradhi..., Vilevile Mahitahi Muhimu ya Binadamu hayabadilika (Chakula Malazi na Mavazi); Karne ya sasa ambayo sio kila mtu anaweza kuchukua Jembe na kwenda kulima mihogo na kupata kitoweo Pesa inahitajika. Hii ndio itakupatia mahitaji...
www.jamiiforums.com