Msomali rep. Ilhan Omar wa USA ana bonge la skendo!

hata wewe ni muhamiaji pia hapa tanzagiza au unafikiri ni watu gani waliishi hapa east afrika miaka 1000 ililyopita? hawakuwa wabantu, wabantu wote wanaoishi hapa east afrika na kusini wamekuja kutokea west afrika kushuka chini walihamia na ku replace natives waliokuwepo wawindaji kwa kuwaondoa na kuwafukuza na kusettle wengine wakashuka mpaka southern afrika na kureplace khoi san, unalijua hilo? ...
Achana na story zisizo na uthibitisho kuhusu Afrika Mashariki

Tuzungumzie America, ambapo iko wazi kuwa wenyeji wa asili ni American Indians.

Bado vizazi vyao vipo katika majimbo ya Arizona, California, Arizona, Texas, New Mexico
​
 
Kazaliwa Somalia nchi isiyo na serikali ya kueleweka,kweli kabisa,lakini mwenzako yeye ni senator je wewe uliezaliwa kwenye nchi yenye serikali una nn?
Ni senator wa wapi? 🤣🤣🤣
 
Kwani Trump mboni anashutumiwa kulala na Malaya na kudharirisha wanawake kingono imempeleka wapi msenge huyo aache usenge asitumie hisia za kike kwenye mambo km hayo ataonekana km shoga huku anapinga ushoga
Analala hadi na pornostars, na lile file la Epstein inasemekana alikuwa analala na vitoto ndio maana hataki kabisa file la Epstein liwe wazi​
 
Achana na story zisizo na uthibitisho kuhusu Afrika Mashariki

Tuzungumzie America, ambapo iko wazi kuwa wenyeji wa asili ni American Indians.

Bado vizazi vyao vipo katika majimbo ya Arizona, California, Arizona, Texas, New Mexico
​

kwa hiyo point yako ni nini hasa? sijakuelewa, wazungu wameijenga USA na nchi yao na wana haki ya kuchagua nani aje USA na yupi asije kama vile tanzania au china ilivyo na haki ya kuchagua ndani ya china nani awe mchina na yupii asiwe mchina, nani aje china na yupi afukuzwe kutoka nchini china, kipi kigumu kuelewa hapo?
 
Suala tunalozungumzia nani wenyeji wa asili wa America na hicho ndicho nilikuwa nataka nikuelekeze maana ulishaanza kuleta story zako za kwenye movies ​
 
wapo wanaitwa red indians na ni raia wa USA wana passport ya USA kama wakihitaji, so bado sielewi point yako ni ipi hasa? kulikwa hakuna cities wala uchumi wowote ule wa maana kama tujuavyo leo hii USA kabla ya wazungu kwenda USA, hivyo kila kilichopo leo hii ambapo kila mtu yuko pround na USA wamekjinga ...
 
Watanzania hawaruhusiwi kuwa na uraia pacha; hujui hilo? Hawawezi kuwa raia wa Marekani kwa vile watapoteza uraia wa Tanzania. Wasomali, Wakenya, Waganda, Wanyarwanda, Warundi, Wasudani na Wakongo wa dispora wana uraia pacha, ndiyo maana wanapaya mikopo ya serikali na kuchaguliwa kwenye vyeo vya kiserikali.
Si wakifika huko wanaukana uraia wa Tanzania mkuu
 
Kihistoria hao ndio wenye Marekani yao

Historia iko wazi Wazungu walioko Marekani ni wahamiaji ni kama Wazungu wa Australia achana na hizo movies 🚮🚮😅
​
Wao ndo walioijenga Marekani?

Hata wao yawesekana walitokea kwingine.

Hata hivyo, sasa ni sasa na si karne ya 17!
 
Hoja sio kuijenga Marekani, hoja ni nani wenyeji wa asili wa inayoitwa Marekani. Hapo ndipo mjadala ulipo​
 
hiyo argument ya watu kusema kwamba wazungu USA siyo kwao sijawahi kuilewa, i mean wazungu wameijenga USA from ground up, hivyo kwangu mimi wazungu na black amerikans wana haki ya kuclaim kwamba USA ni kwao isitoshe kuna wazungu na black amerikans wana trace roots in USA kwa zaidi ya miaka 500 kuna watanzania hatta tu miaka 100 iliyopita hawawezi kuprove chochote kama kweli hapa bongo ni kwao..
What do you mean wameijenga ? hao waliowakuta wanaishi kwa sustainability waliwaomba waweke wanavyoweka sasa hivi ? Kwahio na Wakenya wawashukuru Waingereza walivyokuja na kujitwalia ardhi yenye rutuba na kuwa-sagrigate waliopo ? Unajua jinsi ya hao wavamizi walivyokuja na magonjwa yao na kuwauguza Red Indians na pamoja na kuhakikisha wanamaliza chakula chao as well as kuondoa kabisa culture yao... Niki-qoute George Carlin....
“It’s called the American dream because you have to be asleep to believe it”.
It just seems to me seems to me, that only a really low IQ population could have taken this beautiful continent, this magnificent American landscape that we inherited… Well, actually, we stole it from the Mexicans and the Indians but. Hey, it was nice when we stole it. It looked pretty good. It was pristine. Paradise. Have you seen it lately? Have you taken a good look at it lately? It’s fucking embarrassing.

Only a nation of unenlightened half-wits could have taken this beautiful place and turned it into what it is today, a shopping mall. A big, fucking shopping mall. You know that. That’s all you got. That’s all you got here, folks. Mile after mile of mall after mall. Many, many malls. Major malls and mini malls. They put the mini malls in between the major malls. And in between the mini malls they put the mini marts. And in between the mini marts. You’ve got the car lots, gas stations, muffler shops, Laundromats, cheap hotels, fast food joints, strip clubs and dirty bookstores. America the beautiful. One big transcontinental commercial cesspool.
And how do the people feel about all this? How do the people feel about living in a coast-to-coast shopping mall? Well, they think it’s JUST FUCKING DANDY! They think it is as cool as can be.
​
Ofcource Carlin ni Comedian na anaongea with a tongue in cheek lakini ukweli ni kwamba waliokuwepo hawakutaka kilichopo sasa kiwepo they had their own ways of life kama Msemo wao mmoja unavyodepict....

Only when the last tree has been cut down, the last fish been caught, and the last stream poisoned, will we realize we cannot eat money.

Kwahio hio miji waliyojenga na unayoipenda kwanini wasingeiweka huko huko Ulaya ? Au kwanini waliwafukuza waliokuwepo na kuwetendea dehuminizing things ?!!!​
niliangalia movies za wild west zilinifungua macho sana wakati wazungu wanahamia ktk east coast kufungua western part, kulikua na mapori tu na wanyama wakali,
1758307000536.png

wengi walikufa lkn wakaja kujenga miji mizuri na uchumi uliosimama from scratch mpaka leo hii kila mtu anatamani kwenda kuishi halafu mtu leo hii anatokea somalia au sijui iraki na kusema kwamba usa ni ya kila mtu kwamba wazungu siyo kwao, how ? ...
Kwahio hao Indians walikuwa hawana their way of life ? Nachoweza kukupa labda uniambie Las Vegas was an Ingenuity; wala watu wasingesema kitu kama watengeneza miji huko middle of Sahara lakini sio ku-displace community moja na maisha yao eti kujenga maisha ya kivingine hata waliokuwepo hawakuyatamani.
 
What do you mean wameijenga ? hao waliowakuta wanaishi kwa sustainability waliwaomba waweke wanavyoweka sasa hivi ? Kwahio na Wakenya wawashukuru Waingereza walivyokuja na kujitwalia ardhi yenye rutuba na kuwa-sagrigate waliopo ? Unajua jinsi ya hao wavamizi walivyokuja na magonjwa yao na kuwauguza Red Indians na pamoja na kuhakikisha wanamaliza chakula chao as well as kuondoa kabisa culture yao... Niki-qoute George Carlin....
“It’s called the American dream because you have to be asleep to believe it”.
It just seems to me seems to me, that only a really low IQ population could have taken this beautiful continent, this magnificent American landscape that we inherited… Well, actually, we stole it from the Mexicans and the Indians but. Hey, it was nice when we stole it. It looked pretty good. It was pristine. Paradise. Have you seen it lately? Have you taken a good look at it lately? It’s fucking embarrassing.

Only a nation of unenlightened half-wits could have taken this beautiful place and turned it into what it is today, a shopping mall. A big, fucking shopping mall. You know that. That’s all you got. That’s all you got here, folks. Mile after mile of mall after mall. Many, many malls. Major malls and mini malls. They put the mini malls in between the major malls. And in between the mini malls they put the mini marts. And in between the mini marts. You’ve got the car lots, gas stations, muffler shops, Laundromats, cheap hotels, fast food joints, strip clubs and dirty bookstores. America the beautiful. One big transcontinental commercial cesspool.
And how do the people feel about all this? How do the people feel about living in a coast-to-coast shopping mall? Well, they think it’s JUST FUCKING DANDY! They think it is as cool as can be.
​
Ofcource Carlin ni Comedian na anaongea with a tongue in cheek lakini ukweli ni kwamba waliokuwepo hawakutaka kilichopo sasa kiwepo they had their own ways of life kama Msemo wao mmoja unavyodepict....

Only when the last tree has been cut down, the last fish been caught, and the last stream poisoned, will we realize we cannot eat money.

Kwahio hio miji waliyojenga na unayoipenda kwanini wasingeiweka huko huko Ulaya ? Au kwanini waliwafukuza waliokuwepo na kuwetendea dehuminizing things ?!!!​

View attachment 3476036

Kwahio hao Indians walikuwa hawana their way of life ? Nachoweza kukupa labda uniambie Las Vegas was an Ingenuity; wala watu wasingesema kitu kama watengeneza miji huko middle of Sahara lakini sio ku-displace community moja na maisha yao eti kujenga maisha ya kivingine hata waliokuwepo hawakuyatamani.

ndiyo! na siyo wakenya tu hata sisi pia tulipaswa kushukuru Christians walivyokuja ...
 
Back
Top Bottom