Msomali rep. Ilhan Omar wa USA ana bonge la skendo!

Msomali rep. Ilhan Omar wa USA ana bonge la skendo!

Kwahio unadhani Christianity ndio ilianza before Civilization ? au hio University ilikuwa Kanisa ?; Sitaki kwenda huko sababu ni kupotea kwenye Imani ambapo unaweza kupoteza upeo lakini kwa sentensi yako umejifunga own goal....

The first university was the University of al-Qarawiyyin, founded in Fez, Morocco, by Fatima bint Muhammad Al-Fihriya in 859 CE. Recognized by UNESCO and Guinness World Records, it is the oldest continually operating educational institution in the world, starting as a large mosque that grew into a place of higher learning.

sawa lets give the devil its due, kuna nobel laureates au nobel prizes ngapi hiyo university ya moroko imeshatoa tangia kuanzishwa kwake? au innovations gani imeleta hapa duniani ambayo leo hii inasaidia dunia ? isitoshe 800 a.d mbona siyo zamani sana na tayari kulikuwa na civilizations nyingi way way older than that? ...
 
Moja ni nani kaleta story za kufukuza watu na kusema hapa au kule sio kwao ? Mimi kama Globalist mtu ni kwao pale anapoona panafaa kwake na ana-feel safe so long as anaishi kama wale waliopo after all mpaka anakwenda pale ni kwamba anavutiwa na kilichopo pale...; Ila fact is fact wewe huwezi kumfukuza mwenzake kwamba sio kwake wakati na wewe ulipora hio sehemu kutoka kwa wengine...; Na wewe kama unataka kuwafukuza waarabu huko West Africa sijui ili ufanye nini unaweza kufanya hivyo;

Watu kama nyie ni mwiba kwa Dunia wala hamna tofauti na Trump na mkiachiwa mnaweza mkawafukuza hata ndugu zetu wa Kusini ili waende Afrika Kusini; Tofautisha kuweka Historical Facts sawa na kuwa a Xenophob... (Huo ni Ugonjwa)
Huna akili
 
sawa lets give the devil its due, kuna nobel laureates au nobel prizes ngapi
Nobel Prizes ?!!!!
Aisee kwahio Nobel Prize ndio umahili wa kitu fulani; Kwahio sababu Farraday na Newton hawana Nobel au hata Farraday hakwenda Univeristy yoyote basi walikuwa hawana mchango wowote ?

hiyo university ya moroko imeshatoa tangia kuanzishwa kwake? au innovations gani imeleta hapa duniani ambayo leo hii inasaidia dunia ? isitoshe 800 a.d mbona siyo zamani sana na tayari kulikuwa na civilizations nyingi way way older than that? ...
Ndio maana nakwambia hivi vitu unavyoviona vyote leo misingi yake ilijengwa kitambo sababu watu wa kipindi cha zamani walikuwa wanaangalia vitu with open minds na walikuwa wanabishana kwamba sababu Newton au Einstein kasema hili mimi nina make it my life duty kumprove wrong leo hii mentality ya watu sababu Newton alisema basi ni msahafu....

Na unaongelea Western takupa mfano mmoja kuhusu India wakati kina NASA space programs na funds za kutoka au ChatGPT na funds za kufa mtu pamoja na kumzuia China kupata Chips lakini aliweza kuja na DeepSeek at a fraction of a price

 
Nobel Prizes ?!!!!
Aisee kwahio Nobel Prize ndio umahili wa kitu fulani; Kwahio sababu Farraday na Newton hawana Nobel au hata Farraday hakwenda Univeristy yoyote basi walikuwa hawana mchango wowote ?


Ndio maana nakwambia hivi vitu unavyoviona vyote leo misingi yake ilijengwa kitambo sababu watu wa kipindi cha zamani walikuwa wanaangalia vitu with open minds na walikuwa wanabishana kwamba sababu Newton au Einstein kasema hili mimi nina make it my life duty kumprove wrong leo hii mentality ya watu sababu Newton alisema basi ni msahafu....

Na unaongelea Western takupa mfano mmoja kuhusu India wakati kina NASA space programs na funds za kutoka au ChatGPT na funds za kufa mtu pamoja na kumzuia China kupata Chips lakini aliweza kuja na DeepSeek at a fraction of a price


michael faraday wakati wake hakukuwa na nobel prize lkn kazi zake zipo, sasa nitajie kazi za hiyo university ya moroko ...
 
Na unaongelea Western takupa mfano mmoja kuhusu India wakati kina NASA space programs na funds za kutoka au ChatGPT na funds za kufa mtu pamoja na kumzuia China kupata Chips lakini aliweza kuja na DeepSeek at a fraction of a price


sawa good for them chinese angalau wameweza (wachina) kujinasua na kuendelea sisi bado, plus china ni kama hakuna muslims usisahahu hilo pia na wachache walioko hawaruhusiwi kuondoka hilo eneo lao kusambaza islam unalijua hilo lkn? unafikiri ni kwa nini? ...
 
michael faraday wakati wake hakukuwa na nobel prize lkn kazi zake zipo, sasa nitajie kazi za hiyo university ya motoko ...
Achana na University tu Farraday ni Self taught ndio maana nakushangaa wewe unahusudu institutions kuliko kinachofanyika moja umeongelea University nikakwambia which is the oldest University ? Mbili nimekuelewa kabisa kutokana na kwamba great minds wanakwenda sehemu fulani na hio sehemu kuna funds basi obviously kitakachotokea ni kikubwa...; Unaona umuhimu wa University as an Institution alafu unaishusha the first and oldest standing university in the world ?

Unaongelea wazungu na kuona wengine ni mamburula wakati hata number system (arabic which is in fact indian) ni superior kuliko upuuzi uliokuwepo wa roman numbers ? Ingawa hata before that am sure huko Egypt na sehemu nyingine they had their own systems...

Narudia if I have seen further is by standing on the shoulders of the giants; Na kama dunia tunanufaika kwa kushirikiana na kuchukua huku na kule ili tuweze kupambana na mazingira yetu (Adui yako sio your fellow specie bali ni Ujinga, Umasikini na Magonjwa)
 
sawa good for them chinese angalau wameweza (wachina) kujinasua na kuendelea sisi bado, plus china ni kama hakuna muslims usisahahu hilo pia na wachache walioko hawaruhusiwi kuondoka hilo eneo lao kusambaza islam unalijua hilo lkn? unafikiri ni kwa nini? ...
Wewe na wao kama na yoyote yule anayejikita sana kwenye Imani nyote mnahitaji ku-break your chains; huwezi ukawa mvumbuzi na kugundua vitu kama una jibu kabla ya swali.... Ushauri - Break your Chains sababu inafunga Fikra Zako...
1758359347550.png
 
Kwanza kabisa USA haina mwenyewe karibia raia wake wote ni mazalia ya watumwa na wahamiaji.
Halafu Trump kumshambulia Ilhan kwa mambo binafsi kama haya ni ishara ya kushindwa kwa hoja.
 
Trump,Elon Musk ndio wanatuonesha tabia halisi za wazungu wale wengine huwa wanatuigizia.

Trump anachofanya ndio walichofanya kina Bush miaka ile kwa Iraq shutma bila ushahidi.

Trump sio kama anawachukia waafrica na waarabu ila anachukia namna tulivyo wapumbavu wakati rasilimali tunazo.

Anachukia namna tunavyochonganishwa kwa tamaa na tunagombana nchi hazikaliki.

Anatuchukia kwasababu anatuona sisi ndio limbukeni wa hizi dini duniani wakati wao wazungu ndio wanajua ukweli wake.

Anatuchukia kwasababu anaona viongozi wetu wanaibia nchi zetu wanaficha mapesa kwao halafu wa huku Africa wanaenda kuomba tena.

Ukweli ni kuwa wazungu hawatupi msaada ila wanatupatia kile walichotuibia halafu wanaiba na vingine.
 
Trump huwa ananifurahisha sana,yani anapata hadi mda wa kufuatilia asili ya maisha ya mtu aliye chini yake.Nahisi ana account tik tok.
 
Hmm! Trump aliomba tunda akakataliwa ama? Maana kuwa rais wa nchi kubwa kama hiyo kuna heshima yake sio kila kitu ni lazima ajibu kama maza wa hap bongo!
 
Hmm! Trump aliomba tunda akakataliwa ama? Maana kuwa rais wa nchi kubwa kama hiyo kuna heshima yake sio kila kitu ni lazima ajibu kama maza wa hap bongo!

huyo demu siyo kabisa alimdump mume wake wa kisomali akaolewa na mzungu kampeni mejena wake, ana mdomo mchafu kama choo ...
 
Babu zake na Trump hawahusiki hapa. Na babu zake na Ilhan hawahusiki hapa.

Wanaohusika hapa ni Trump na huyo Msomali.

Ungrateful Woman.

Huko alikotoka hakuna chochote cha maana.

Anapewa uraia kwenye nchi za watu halafu anaanza kuiponda nchi iliyompa maisha aliyonayo sasa.

Huko kwao Somalia hawezi kubwabwaja hivyo.
Utakuwa na matatizo

Yeye yupo Democrats na hio ni sias
Babu zake na Trump hawahusiki hapa. Na babu zake na Ilhan hawahusiki hapa.

Wanaohusika hapa ni Trump na huyo Msomali.

Ungrateful Woman.

Huko alikotoka hakuna chochote cha maana.

Anapewa uraia kwenye nchi za watu halafu anaanza kuiponda nchi iliyompa maisha aliyonayo sasa.

Huko kwao Somalia hawezi kubwabwaja hivyo.
Utakuwa una matatizo ww


Anamponda Trump hapo kama ni hivyo hao wakubwa wa Democrats wasingemtetea na kuwa nyuma yake..


Mwamba unateseka ww ukiwa bongo lakini wana Democrats wanamkubali na wapo nyuma yake bi dada Ilhan
 

Attachments

  • Screenshot_20250927_155326_Chrome.jpg
    Screenshot_20250927_155326_Chrome.jpg
    77.9 KB · Views: 18

Hawa radical islamist wasione nchi ina practice none secular wakajioan wajanja,wazungu wakiwachoka hawataamini yatakayo kuja kuwatokea.

Walivyowajinga wanajitoa ufahamu.
 
hiyo argument ya watu kusema kwamba wazungu USA siyo kwao sijawahi kuilewa, i mean wazungu wameijenga USA from ground up, hivyo kwangu mimi wazungu na black amerikans wana haki ya kuclaim kwamba USA ni kwao isitoshe kuna wazungu na black amerikans wana trace roots in USA kwa zaidi ya miaka 500 kuna watanzania hatta tu miaka 100 iliyopita hawawezi kuprove chochote kama kweli hapa bongo ni kwao..

niliangalia movies za wild west zilinifungua macho sana wakati wazungu wanahamia ktk east coast kufungua western part, kulikua na mapori tu na wanyama wakali, wengi walikufa lkn wakaja kujenga miji mizuri na uchumi uliosimama from scratch mpaka leo hii kila mtu anatamani kwenda kuishi halafu mtu leo hii anatokea somalia au sijui iraki na kusema kwamba usa ni ya kila mtu kwamba wazungu siyo kwao, how ? ...
Yaani ulitumia movie ya Hollywood kugundua kuwa wazungu Wana haki na Amerika. Huoni kwamba wake act hiyo movie kwa lengo kama hilo.
Ni sawa na Jews na mam movie Yao ya Holocaust yaani ni mengi ili kujustify hiki tunachokiona kila leo.
I think you are better than this.
 
Watu wengi hasa wa humu wanamponda huyo msomali kwakuwa ni msomali na hatakiwi kutoa maoni yake.
Cha ajabu watu hao hao wanatumia mtandao JF kwa vpn. Mtandao uliofungiwa kwa kutokuruhusu maoni baadhi. Watu hao wakaponda kuwa Wana uhuru wa maoni hata kama watawala hawataki maoni yao. Leo wanasema uhuru una mipaka. Kwanini hii mipaka iwe huko USA tu na isiwe hapa Tanzania? Kwamba kuna watu wanaoenda mipaka ya maoni nchini marekani Ina umuhimu kuliko Tanzania?
Uhuru ni uhuru. Haijalishi uko Fiji, Lesotho, Somalia, Papua New Guinea au Sahara Magharibi. No double standard.
 
Mawazo yanatofautiana. Wengine hawataki hiyo America at all. Ukisema mfumo wa maisha una maanisha nini?
 
Back
Top Bottom