Msomali rep. Ilhan Omar wa USA ana bonge la skendo!

Hujaleta habari
Umeleta ushabiki na unaonyesha wazi uko biased....
Kabla kutetea upumbau wa huyo kichwa pumbu mwenzako ambaye mpaka alikuwa anang'ang;ania Obama sio US citizen, na alishindwa pabovu na conspiracy zake za kipumbavu
Kama hukutaka kushambuliwa, ulitakiwa ulete evidence ya kuwa huyu dada aliolewa na kaka yake sio unatalalila na kushabikia maneno ya huyo kichwa pumbu

evidence nilete mimi`tena? heh ...
 
evidence nilete mimi`tena? heh ...
Kwa hiyo unaleta udaku humu ?
Na unajua hii sio ishu ya leo kwa vile huyo kichwa pumbu trump kaisema ndio leo imekuwa skendo wakati huu upupu upo tokea 2020,
Na bado alirudi kugombea 2024 na akashinda tena , halafu vichwa pumbu wenzako humu mnashabikia uzwazwa wakati wote mnaosha mavi ya vizee huko,
Mnatia aibu watanzania huko mnaishi kama panya, halafu mnakuja kumuongelea mtu ambayo Congress Rep,

mbona kama umeumia sana, do you have a dog in the fight? ...
 
There you go....
Umeshindwa kutetea upupu wako?
Leta evidence hapa sio udaku au kwa vile umeelezwa na huyo dickhead potus ndio imekuwa ukweli....
 
After the end of his term something terrible will happen to DJT anaeza kuwa first president kuwa convicted.
 
Wageni wawage na kiasi, huko Uingereza kila Saturday utaona huko CNN watu na mabango ya stop genocide in gaza, sasa huyu lady nae kusherehekea kifo cha mtu for whatever reasons ni aina fulani ya tabia mbovu na lack of awareness 😑
 
Urais wa babu Trump ni VITUKO! VISASI, MIKWARA, KUJISIFU, UDIKTETA, UONEVU....
Haya anawawinda waandish wa habari wote wanaomkosoa, MJALUO OBAMA, MAMDANI, BIDEN nk nk nk!
Ghafla siasa za USA zawa kama za banana republic!
 
Wakati anaonewa na Democrats ulisema chochote?

Walimfungulia kesi uchwara kibao na zote zimebuma.

Walijaribu hadi kuliondoa jina lake kwenye karatasi za kupigia kura, wakashindwa.

Walimfungia kutumia Twitter, Facebook, na kadhalika.

Kila jitihada waliyotumia, iligonga mwamba.

Leo hii yeye ndo anaonekana mbaya kisa kawageuzia kibao?

Hahahaaaa….tuliwaonya lakini hawakutusikia.
 
Wageni wawage na kiasi, huko Uingereza kila Saturday utaona huko CNN watu na mabango ya stop genocide in gaza, sasa huyu lady nae kusherehekea kifo cha mtu for whatever reasons ni aina fulani ya tabia mbovu na lack of awareness 😑
Wewe mgeni jaribu kuhamia Somalia halafu uanze kuongea mbovu uone kitachokutokea 🤣.

Ukihamia kwa watu, kama ulivyosema, ni busara uwe na kiasi.
 
hao akina carnegie ni watu gani? si ni wazungu au walikuwa ni chinese ? isitoshe hiyo freedom unayoingelea kwa nini iwepo USA tu na labda Europe (western) na siyo kwingineko?
Nakupa ushauri wa bure penda kujifunza na kuangalia na kutafuta habari na sio kujifungia kwenye mawazo yako na hivyo kuendelea kubaki na kuongezea unayojua kwa upande wako; pia kama unapenda kuangalia vitu online kumbuka Youtube na Social Media nyingi zinakusoma unapenda vitu gani hivyo vinakutengea unavyopenda usipokuwa makini utapata one side of the story...

Historia ni kama Episodes na kila Episode kuna mabadiliko aliyepo juu leo, sio atakayekuwepo kesho n.k.; Baada / Wakati wa Vita vya Pili vya Dunia Europe na Mkandamizo wa Nazi watu walitafuta pa kukimbilia Best minds na watu wengi sana sehemu moja ya kukimbilia ilikuwa USA; na ilijijengea Sifa na Brand kwamba ni land of the free na mtu akifanya kazi basi atafaidika na analofanya (The American Dream) au Stars wengi actors waliaminishwa kwamba ukienda Hollywood basi ndio where it is at na utakuwa Star (ingawa wengine waliishia kuwa Prostitutes) Pia vitu kama Gold Rush n.k. wengi walikimbilia huko..., Ni kama kuna wakati Paris ilikuwa the Centre of Arts au Ghana (Sababu ya Kawme) na later UDM - Dar ilikuwa Centre ya minds wanaopigania Ukombozi wa Africa; Kumbuka kuna kipindi watu weusi walikuwa wanakuwa lynched USA; watu weusi walikuwa hawapati same opportunities;

Watu kama kina Marcus Garvey (Mweusi) walipigia usawa; sehemu kama Ethiopia waliitumia Rastarfarians mpaka huko Carribian kwamba ndio nyumbani walipotoka na Haille Sallasie ndio Messiah; kama wewe ulivyoaminisha na kuwa indoctrinated kwamba ni Jesus au yoyote mwingine yule; Rastafarians Jamaica walikuwa inspired kuweka Dreadlocks kutokana na Struggle ya Maumau from Kenya...

Kumbuka kuna kipindi cha Ufalme, Nobilities na Aristocracy kipindi hicho wewe ukizaliwa katika familia fulani hio ndio class yako wala usingeweza kutoka hapo ulipo (sasa ikaja sehemu kama USA ambapo kwa kipindi hicho kuna uwezekano wa A migrant au a son of migrant kuweza kuwa tajiri) hili jambo lilivutia wengi sana; it is a perfect Idea katika Pursue of Happiness - Na hilo ndio analolipigania huyu sababu sasa hivi sio tu kwamba ile dream (be it true or false) inaendelea kuwa ndoto bali Trump anataka kuibadilisha na kuifanya iwe Nightmare kwa kuiondoa kabisa...
kwa nini china hakuna hiyo freedom, kwa nini siyo afrika kwetu, arab, brazil, chile, mexico au hata russia au hata sijui argentina? kwa nini ni USA na western europe tu ndiyo kuna hyo freedom ambayo unasema watu wanaitafuta?
Again unaangalia historia na kui-define kwa kuangalia episode moja au kudhani Historia ni destination na sio journey (muendelezo) hivi unadhani mtu aliyekuwepo kipindi cha Mansa Mussa au Benin; Songhai Empires ungeweza kumwambia nini kipindi hicho au kipindi Morrocco wanawavamia mpaka Spain; Au kipindi Ulaya kuna Roman empire inayowasubjugate wengine na wanaowazunguka ni Barbarians ?

kwa sababu jibu la hilo swali ni muhimu kuelewa kwa nini wazungu wa west rules the world na kwa nini mfumo wao wa maisha ni attractive kwa kila binadamu wa dunia hii.
Mfumo wao upi and at what time ? Na mfumo wa sasa unajua umetokea wapi na wapi na kuwa interconnected vipi; Maisha sio black or white ni very complex na interconnected ; na imepitia utofauti mkubwa sana unaweza kusema French Revolution ilisaidia sana kuwaondoa Aristocracy lakini pia kuna sehemu kama Haiti ambapo watumwa pia walifanya revolult...

If anything developed countries wanaendelea kuwa-rule watu kama nyie kutokana na kwamba hamjawa emancipated na mental slavely; Mwisho kabisa takupa sababu kwanini sehemu nyingi wahamiaji / migrants they perform better...; Sababu kumbuka hadi mtu atoke huko alipo kwenda pengine kutafuta maisha mtu huyu ni hard working, hakati tamaa na ana something to prove; hivyo wakati wazawa wamelala na kutembea yeye anakimbia
 
Nakupa ushauri wa bure penda kujifunza na kuangalia na kutafuta habari na sio kujifungia kwenye mawazo yako na hivyo kuendelea kubaki na kuongezea unayojua kwa upande wako; pia kama unapenda kuangalia vitu online kumbuka Youtube na Social Media nyingi zinakusoma unapenda vitu gani hivyo vinakutengea unavyopenda usipokuwa makini utapata one side of the story...

Historia ni kama Episodes na kila Episode kuna mabadiliko aliyepo juu leo, sio atakayekuwepo kesho n.k.; Baada / Wakati wa Vita vya Pili vya Dunia Europe na Mkandamizo wa Nazi watu walitafuta pa kukimbilia Best minds na watu wengi sana sehemu moja ya kukimbilia ilikuwa USA; na ilijijengea Sifa na Brand kwamba ni land of the free na mtu akifanya kazi basi atafaidika na analofanya (The American Dream) au Stars wengi actors waliaminishwa kwamba ukienda Hollywood basi ndio where it is at na utakuwa Star (ingawa wengine waliishia kuwa Prostitutes) Pia vitu kama Gold Rush n.k. wengi walikimbilia huko..., Ni kama kuna wakati Paris ilikuwa the Centre of Arts au Ghana (Sababu ya Kawme) na later UDM - Dar ilikuwa Centre ya minds wanaopigania Ukombozi wa Africa; Kumbuka kuna kipindi watu weusi walikuwa wanakuwa lynched USA; watu weusi walikuwa hawapati same opportunities;

Watu kama kina Marcus Garvey (Mweusi) walipigia usawa; sehemu kama Ethiopia waliitumia Rastarfarians mpaka huko Carribian kwamba ndio nyumbani walipotoka na Haille Sallasie ndio Messiah; kama wewe ulivyoaminisha na kuwa indoctrinated kwamba ni Jesus au yoyote mwingine yule; Rastafarians Jamaica walikuwa inspired kuweka Dreadlocks kutokana na Struggle ya Maumau from Kenya...

Kumbuka kuna kipindi cha Ufalme, Nobilities na Aristocracy kipindi hicho wewe ukizaliwa katika familia fulani hio ndio class yako wala usingeweza kutoka hapo ulipo (sasa ikaja sehemu kama USA ambapo kwa kipindi hicho kuna uwezekano wa A migrant au a son of migrant kuweza kuwa tajiri) hili jambo lilivutia wengi sana; it is a perfect Idea katika Pursue of Happiness - Na hilo ndio analolipigania huyu sababu sasa hivi sio tu kwamba ile dream (be it true or false) inaendelea kuwa ndoto bali Trump anataka kuibadilisha na kuifanya iwe Nightmare kwa kuiondoa kabisa...

Again unaangalia historia na kui-define kwa kuangalia episode moja au kudhani Historia ni destination na sio journey (muendelezo) hivi unadhani mtu aliyekuwepo kipindi cha Mansa Mussa au Benin; Songhai Empires ungeweza kumwambia nini kipindi hicho au kipindi Morrocco wanawavamia mpaka Spain; Au kipindi Ulaya kuna Roman empire inayowasubjugate wengine na wanaowazunguka ni Barbarians ?

Mfumo wao upi and at what time ? Na mfumo wa sasa unajua umetokea wapi na wapi na kuwa interconnected vipi; Maisha sio black or white ni very complex na interconnected ; na imepitia utofauti mkubwa sana unaweza kusema French Revolution ilisaidia sana kuwaondoa Aristocracy lakini pia kuna sehemu kama Haiti ambapo watumwa pia walifanya revolult...

If anything developed countries wanaendelea kuwa-rule watu kama nyie kutokana na kwamba hamjawa emancipated na mental slavely; Mwisho kabisa takupa sababu kwanini sehemu nyingi wahamiaji / migrants they perform better...; Sababu kumbuka hadi mtu atoke huko alipo kwenda pengine kutafuta maisha mtu huyu ni hard working, hakati tamaa na ana something to prove; hivyo wakati wazawa wamelala na kutembea yeye anakimbia

na kwa nini hamuwataki waarabu waondoke afrika (north afrika) warudi kwao arabian desert? waarabu hapa afrika siyo kwao pia kama vile mnavyosema wazungu north amerika siyo kwao, walivamia (arabs) north afrika na kufukuza na kuuwa natives kuanzia misri, tunisia, moroko mpaka algeria na sudani wilivamiwa na waarabu kutoka arabian desert bara asia, arabs are not afrikans na afrika siyo kwao pia ...
 
sitenganishi Ulaya na USA wote ni western world isitoshe una overisimplify sana mambo, kwamba hakuna kitu unaweza kujifunza vyuoni kama mit, caltech au stanford? really? silicon valley yote ni producct ya hivyo vyuo
Aisee kwahio pia hakuna kitu unaweza kujifunza UDSM n.k. ? Nimekupa sababu moja kuu ya USA hususan wakati wa Vita vya Dunia Great Minds walikwenda huko; kwahio ni mkusanyiko wa Great Minds na vyuo kupewa Funds za kutosha na Makampuni kuwatoa katika Research and Development (It is a marriage made in Heaven) ila ukiangalia all the Core Ideas hata ukija kwenye Information Age zilishafanywa na kina Shannon, Turin among many others (Seen Further by Standing on the Shoulder of the Giants) jambo ambalo anataka kuliharibu huyu mtu...; Na kama unaongela University nimekwambia the Oldest University ipo Morrocco; Ila that is neither here nor there...; Great minds zitakwenda where they are welcomed ili kufanya wanachotaka kufanya ukiwawekea figisu watatafute pengine na it is your loss....

Hivi unadhani wewe kama ni doctor of medicine kujifunza zaidi utapenda uende Cambridge au angalau uje Africa ambapo utafanya practical za kutosha na unaweza kuona mgonjwa realistically na kwa wakati ? By the way Ukiangalia Madaktari wa kutosha Cuba is head over shoulders above others.... My point is sababu kuna sehemu mama ntilie anapika vizuri uji haimaanishi hata chai yake itakuwa bora kuliko wengine....;

halafu wewe unasema hakuna cha kujifunza? it companies kubwa yote zimetokana na hivyo vyuo hafafu unasema hakuna cha kujifunza? are you a communist agent ? ...
Nimekuuliza dunia ya sasa kuna chochote kipya cha kujifunza huko MIT kazi walishamaliza kina Shannon n.k, kwahio cha muhimu kuliko vyote hizo Universities zinapata funds za kutosha kwahio unakuta dunia nzima wanashare katika kuboresha reasearches tofauti; USA kuna mpaka Einstein VISA (ambayo ajabu ndio alitumia Mke wake Trump kwenda USA); ingawa hii iliwekwa kwa ajili ya kuvutia great minds; Jambo ambalo hata nyie mgekuwa bado hamna chains kwenye Minds zenu mgeweza kuiuza nchi yenu na cha kujivunia sio kuendelea kutukuza Wazungu

Aisee kwahio pia hakuna kitu unaweza kujifunza UDSM n.k. ? Nimekupa sababu moja kuu ya USA hususan wakati wa Vita vya Dunia Great Minds walikwenda huko; kwahio ni mkusanyiko wa Great Minds na vyuo kupewa Funds za kutosha na Makampuni kuwatoa katika Research and Development (It is a marriage made in Heaven) ila ukiangalia all the Core Ideas hata ukija kwenye Information Age zilishafanywa na kina Shannon, Turin among many others (Seen Further by Standing on the Shoulder of the Giants) jambo ambalo anataka kuliharibu huyu mtu...; Na kama unaongela University nimekwambia the Oldest University ipo Morrocco; Ila that is neither here nor there...; Great minds zitakwenda where they are welcomed ili kufanya wanachotaka kufanya ukiwawekea figisu watatafute pengine na it is your loss....

but moroko was Christian kabla ya islam invasion ..
 
na kwa nini hamuwataki waarabu waondoke afrika (north afrika) warudi kwao arabian desert?
Moja ni nani kaleta story za kufukuza watu na kusema hapa au kule sio kwao ? Mimi kama Globalist (Global Citizen) ninaamini mtu ni kwao pale anapoona panafaa kwake na ana-feel safe so long as anaishi kama wale waliopo after all mpaka anakwenda pale ni kwamba anavutiwa na kilichopo pale...; Ila fact is fact wewe huwezi kumfukuza mwenzake kwamba sio kwake wakati na wewe ulipora hio sehemu kutoka kwa wengine...; Na wewe kama unataka kuwafukuza waarabu huko West Africa sijui ili ufanye nini unaweza kufanya hivyo;
waarabu hapa afrika siyo kwao pia kama vile mnavyosema wazungu north amerika siyo kwao, walivamia (arabs) north afrika na kufukuza na kuuwa natives kuanzia misri, tunisia, moroko mpaka algeria na sudani wilivamiwa na waarabu kutoka arabian desert bara asia, arabs are not afrikans na afrika siyo kwao pia ...
Watu kama nyie ni mwiba kwa Dunia wala hamna tofauti na Trump na mkiachiwa mnaweza mkawafukuza hata ndugu zetu wa Kusini ili waende Afrika Kusini; Tofautisha kuweka Historical Facts sawa na kuwa a Xenophob... (Huo ni Ugonjwa)
 
but moroko was Christian kabla ya islam invasion ..
Kwahio unadhani Christianity ndio ilianza before Civilization ? au hio University ilikuwa Kanisa ?; Sitaki kwenda huko sababu ni kupotea kwenye Imani ambapo unaweza kupoteza upeo lakini kwa sentensi yako umejifunga own goal....

The first university was the University of al-Qarawiyyin, founded in Fez, Morocco, by Fatima bint Muhammad Al-Fihriya in 859 CE. Recognized by UNESCO and Guinness World Records, it is the oldest continually operating educational institution in the world, starting as a large mosque that grew into a place of higher learning.
 
Huyo Msomali kwa nini asirudi kwao Somalia akaifanye Somalia iwe nchi bora?

Hayo anayoyasema akiwa Marekani huko Somalia hatathubutu kuyasema.

Ungrateful Woman.
Wageni wengi Ulaya na US wanafurahia uhuru wa kuzungumza ambao nchi zao hakuna, ila bado wanakandia umagharibi.
 
Moja ni nani kaleta story za kufukuza watu na kusema hapa au kule sio kwao ? Mimi kama Globalist mtu ni kwao pale anapoona panafaa kwake na ana-feel safe so long as anaishi kama wale waliopo after all mpaka anakwenda pale ni kwamba anavutiwa na kilichopo pale...; Ila fact is fact wewe huwezi kumfukuza mwenzake kwamba sio kwake wakati na wewe ulipora hio sehemu kutoka kwa wengine...; Na wewe kama unataka kuwafukuza waarabu huko West Africa sijui ili ufanye nini unaweza kufanya hivyo;

Watu kama nyie ni mwiba kwa Dunia wala hamna tofauti na Trump na mkiachiwa mnaweza mkawafukuza hata ndugu zetu wa Kusini ili waende Afrika Kusini; Tofautisha kuweka Historical Facts sawa na kuwa a Xenophob... (Huo ni Ugonjwa)

aha, kumbe wewe ni globalist? ok i get it, behind globalist kuna communist na islam establishing caliphate ...
 
Back
Top Bottom