Msomali rep. Ilhan Omar wa USA ana bonge la skendo!

Kwani Trump mboni anashutumiwa kulala na Malaya na kudharirisha wanawake kingono imempeleka wapi kilaza huyo aache ujinga asitumie hisia za kike kwenye mambo km hayo ataonekana km shoga huku anapinga ushoga
Trump amenyooka, huwezi ukakimbia maisha magumu inchini kwako halafu uanze kuwaelekeza cha kufanya wenzio waliokuhifadhi kwenye nchi yao nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…