ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Usomaji wa vitabu sana unasaidia uandikaji wa misamiati kwa usahihi ukiachilia mbali Kiswahili si lugha mama kwako.Rejea kwa mwalimu Nyerere.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwa Dizain ya kizazi hiki kisichotaka kuchapwa wala usishangae1. Nikki wa Pili amejinadi kuwa hajawahi kufeli toka aanze kusoma
2. Nikki wa Pili anasema yeye anasoma sana vitabu
SASA
-Alikuwa anafaulu vipi mtu ambaye hajui hata kuandika spelling za neno jua pia spelling za mvua. Ukiangalia picha niliyoambatanisha utaona, kuna makosa ya kawaida katika uandishi lakini hilo kosa ni kwamba hajui kuandika. Je, mfumo wetu wa elimu ni kweli unashida kama yeye ambavyo huwa anasema?
-Mtu anayesoma sana vitabu huwa anajua sana misamiati na spelling, sasa kama yeye huwa anasoma anasoma nini hicho ambacho kiasi kwamba anashindwa kuandika maneno ya darasa la kwanza.
NIKKI PUNGUZA UJUAJI, UTAKUPONZA.
(Kaandika huko Instagram)
Jua kaandika Juwa
Mvua kaandika mvuwa
Makosa ya kawaida ni yale ya typing error ila hayo makosa ni yanaonesha in jinsi gani msomi huyo haijui lugha yake ya kiswahili na hili ni tatizo kwa watu wengi sana hasa hasa waswahili wa dar wanamakosa mengi kama hayo kiasi kwamba kuna mtu mmoja alinishangaa nilipomrekebisha yaan mtu anakosea mpaka anaona yuko sawa na anaona ni kawaida kama wewe unavyojaribu kutetea makosa.Mada yako haina maana hata. Kidogo mkuu kajipange hayo ni makosa ni kawaida tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tuhuma hizi!Achana na sanaa ya Bongo we kabachori, nenda kaendelee na biashara yako ya utapeli na wizi wa Magari hapo kariakoo
hapo kwenye bold, ulikuwa unamaanisha NUNUA NJIA?Buy the way
Anasema <<mabalabala>>Tumejenga balabala za rami km erufu ine Mia tano na selasini na saba,
Hata erufu 5 za kiwi mnawasema eeeh bhagoshaa,