imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Harudi huyo akirudi nitag.Wewe kunguni wa mama Abduli risiti zako tunazo hakuna namna utafanya kubadili upepo labda uombe msaada wa mods wafute hizi toilet paper zako ulizoweka humu tangu 2022.
Tueleze lini Mbowe ulimtoa kwenye list ya matapeli hadi kumuita mwamba wa siasa za upinzani. View attachment 3182473