Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Hatakiii ujingaaaahobo ana matatizo gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatakiii ujingaaaahobo ana matatizo gani?
5 kwa mama samiaHaya Ya Kawaida
Mwakani Ndani Ya CCM Issue Ya Fomu Nasema Itakuwa Kitimtim
Kimbunga Hidaya Kitaivuruga Mno Wapo Wanaotaka Fomu Ziwe Nyingi
Mental case.Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe Jabali na Gwiji wa Siasa za upinzani katika ukanda huu wa Afrika mashariki ndio habari ya Mjini kwa Sasa.
Watakaompa kazi huyo mwenye ACCA kazi za ACCA na wao watakuwa akili hawana kama yeyeIt doesn't matter. Ina maana yeye anapigania demokrasia na wakati huo huo haamini au hafurahishwi na kufuata misingi ya kidemokrasia ambayo inaelekeza viongozi wachaguliwe kwa kura, na anayeshinda kihalali (katika mchakato huru na wa haki) kwa wingi wa kura ndiye mshindi.
Aende tu Abdul yupo nje anamsubirMjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema msomi aliyetukuka kwenye maswala ya Fedha na Uhasibu ACCA Ahobokile Mwaitenda ( mheshimiwa) ametangaza Kujiuzulu nafasi ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema
Mh Mwaitenda amefikia uamuzi huo baada ya Mwenyekiti wa sasa kutangaza Kugombea uenyekiti wa Chadema
Taarifa imetolewa Ukurasani X
Kwako Mh Lucas Mwashambwa 😄
Labda utufahamishe Kitaaluma na Wewe ni nani 😂😂😂Kwani kujiunga na chama cha siasa mtu anatakiwa kuwa na ACCA? Huyu msomi koko kaabisha proffession ya ACCA
ACCA inahusikaje mtu kujiunga au kuondoka chama cha siasa?
Mbona yuko so low huyu the so called msomi?
Mbogamboga na mamluki wao wanakiua chama kwa manufaa yao.Tatzo nn
ACCA imekuuma sana?Watakaompa kazi huyo mwenye ACCA kazi za ACCA na wao watakuwa akili hawana kama yeye
Kukosoa mtu kama huyo kusema kaondoka chama kama msomi badala ya kusema kaondoka kutikimiza haki ya kidemokrasia hakuhitaji msomi yeyote kulielewa hilo kumkosoa mtu wa mtaani tu muokota makopo aweza mkosoa kuwa kujiunga na chama cha siasa na kuondoka huhitaji kuwa na proffession yeyote na haya ukiwa nazo hazina uhusiano na katiba ya chama chochote cha siasa Tanzania kama sharti.la kujiunga au kuondoka kwenye chama cha siasaLabda utufahamishe Kitaaluma na Wewe ni nani 😂😂😂
Kwa vile sina upande, nina maoni haya. Naona kama wengi wa wale wanaomuunga mkono Tundu Lissu wanaamini Mbowe angeamua kutogombea ndiyo ingekuwa demokrasia. Yaani walitaka almost Tundu Lissu apite bila kupingwa. Sasa hiyo ni demokrasia gani? Yeye mwenyewe approach aliyotumia huenda ndiyo imesababisha yote haya, na pengine hata Mbowe asingegombea. Nahisi nguvu aliyotumia kuwapaka matope upande wa pili kama Mbowe angejitoa kwenye kinyang'anyiro ingeweza kuleta taswira kwamba amekubaliana na tuhuma za Lissu na ndiyo maana ameachia ngazi. Haya ni maoni yangu tu, ingawa hata mimi nilitamani sana Lissu ashinde katika uchaguzi huu, ila sikukubaliana na approach yake maana imekigawa chama chao badala ya kukijenga/kukiimarisha.Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema msomi aliyetukuka kwenye maswala ya Fedha na Uhasibu ACCA Ahobokile Mwaitenda ( mheshimiwa) ametangaza Kujiuzulu nafasi ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema
Mh Mwaitenda amefikia uamuzi huo baada ya Mwenyekiti wa sasa kutangaza Kugombea uenyekiti wa Chadema
Taarifa imetolewa Ukurasani X
Kwako Mh Lucas Mwashambwa 😄
Ungeandika tu kaondoka kutekeleza haki yake ya kidemokrasiaACCA imekuuma sana?
Yupo hapo Tiaraei.😂😂😂😂😂
Ndiyo shida ya kuegemea upande mmoja na kutaka upande huo tu ndio ushinde. Kuna watu wameshajenga imani kwamba Tundu Lissu akishinda ni uchaguzi huru na wa haki, na akishindwa, ni nguvu ya pesa (si uchaguzi huru na wa haki). Huu ni mtazamo hasi. Huwezi kuanza kupanga matokeo ya kura wakati wa mtu kuchukua fomu ya kugombea. Kama wote hawa ni chama kimoja, then mgawanyiko wote huu umetoka wapi?Watakaompa kazi huyo mwenye ACCA kazi za ACCA na wao watakuwa akili hawana kama yeye
Yani ni kama hapo Chadema yuko CPA Catherine Ruge 😂😂😂Ungeandika tu kaondoka kutekeleza haki yake ya kidemokrasia
Hiyo ACCA uliingiza kwennye hoja kwa lengo lipi? Hakuna katiba ya chama chochote chs siasa inataja sharti la kujiunga au kutoka chama cha siasa kuwa uwe na proffession yeyote
Na wewe mleta mada umechemka kuokoteza vitu bila kutafakari na kutumia akili yako kujiuliza kama ni sawa au sio
Sasa wewe na huyo ACCA wako wote mko.kspu moja la wajinga kwenye hii mada umeleta
Uwe unasoma na kutafakari kabla kupost ona sasa umechemka
Sawa.Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema msomi aliyetukuka kwenye maswala ya Fedha na Uhasibu ACCA Ahobokile Mwaitenda ( mheshimiwa) ametangaza Kujiuzulu nafasi ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema
Mh Mwaitenda amefikia uamuzi huo baada ya Mwenyekiti wa sasa kutangaza Kugombea uenyekiti wa Chadema
Taarifa imetolewa Ukurasani X
Kwako Mh Lucas Mwashambwa 😄