Msomi Mbobevu ACCA Ahobokile Mwaitenda ajiuzulu Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chadema baada ya Mbowe kuchukua Fomu ya Kugombea uenyekiti!

Msomi Mbobevu ACCA Ahobokile Mwaitenda ajiuzulu Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chadema baada ya Mbowe kuchukua Fomu ya Kugombea uenyekiti!

Kwani kujiunga na chama cha siasa mtu anatakiwa kuwa na ACCA? Huyu msomi koko kaaibisha proffession ya ACCA

ACCA inahusikaje mtu kujiunga au kuondoka chama cha siasa?

Mbona yuko so low huyu the so called msomi?
 
Haya Ya Kawaida
Mwakani Ndani Ya CCM Issue Ya Fomu Nasema Itakuwa Kitimtim
Kimbunga Hidaya Kitaivuruga Mno Wapo Wanaotaka Fomu Ziwe Nyingi
5 kwa mama samia
Ishapita hioo
 
It doesn't matter. Ina maana yeye anapigania demokrasia na wakati huo huo haamini au hafurahishwi na kufuata misingi ya kidemokrasia ambayo inaelekeza viongozi wachaguliwe kwa kura, na anayeshinda kihalali (katika mchakato huru na wa haki) kwa wingi wa kura ndiye mshindi.
Watakaompa kazi huyo mwenye ACCA kazi za ACCA na wao watakuwa akili hawana kama yeye
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema msomi aliyetukuka kwenye maswala ya Fedha na Uhasibu ACCA Ahobokile Mwaitenda ( mheshimiwa) ametangaza Kujiuzulu nafasi ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema

Mh Mwaitenda amefikia uamuzi huo baada ya Mwenyekiti wa sasa kutangaza Kugombea uenyekiti wa Chadema

Taarifa imetolewa Ukurasani X

Kwako Mh Lucas Mwashambwa 😄
Aende tu Abdul yupo nje anamsubir
 
Kwani kujiunga na chama cha siasa mtu anatakiwa kuwa na ACCA? Huyu msomi koko kaabisha proffession ya ACCA

ACCA inahusikaje mtu kujiunga au kuondoka chama cha siasa?

Mbona yuko so low huyu the so called msomi?
Labda utufahamishe Kitaaluma na Wewe ni nani 😂😂😂
 
Anachrlewa kidogo tu kuchukua fomu wotee na akilizenuu mbovu mnajazana kwake mngehatisha kabisa

Kawasitiri sana m ningewatoa resi na ujinga wenuu loh
 
Labda utufahamishe Kitaaluma na Wewe ni nani 😂😂😂
Kukosoa mtu kama huyo kusema kaondoka chama kama msomi badala ya kusema kaondoka kutikimiza haki ya kidemokrasia hakuhitaji msomi yeyote kulielewa hilo kumkosoa mtu wa mtaani tu muokota makopo aweza mkosoa kuwa kujiunga na chama cha siasa na kuondoka huhitaji kuwa na proffession yeyote na haya ukiwa nazo hazina uhusiano na katiba ya chama chochote cha siasa Tanzania kama sharti.la kujiunga au kuondoka kwenye chama cha siasa

Huyo mwenye ACCA mwehu
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema msomi aliyetukuka kwenye maswala ya Fedha na Uhasibu ACCA Ahobokile Mwaitenda ( mheshimiwa) ametangaza Kujiuzulu nafasi ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema

Mh Mwaitenda amefikia uamuzi huo baada ya Mwenyekiti wa sasa kutangaza Kugombea uenyekiti wa Chadema

Taarifa imetolewa Ukurasani X

Kwako Mh Lucas Mwashambwa 😄
Kwa vile sina upande, nina maoni haya. Naona kama wengi wa wale wanaomuunga mkono Tundu Lissu wanaamini Mbowe angeamua kutogombea ndiyo ingekuwa demokrasia. Yaani walitaka almost Tundu Lissu apite bila kupingwa. Sasa hiyo ni demokrasia gani? Yeye mwenyewe approach aliyotumia huenda ndiyo imesababisha yote haya, na pengine hata Mbowe asingegombea. Nahisi nguvu aliyotumia kuwapaka matope upande wa pili kama Mbowe angejitoa kwenye kinyang'anyiro ingeweza kuleta taswira kwamba amekubaliana na tuhuma za Lissu na ndiyo maana ameachia ngazi. Haya ni maoni yangu tu, ingawa hata mimi nilitamani sana Lissu ashinde katika uchaguzi huu, ila sikukubaliana na approach yake maana imekigawa chama chao badala ya kukijenga/kukiimarisha.
 
ACCA imekuuma sana?

Yupo hapo Tiaraei.😂😂😂😂😂
Ungeandika tu kaondoka kutekeleza haki yake ya kidemokrasia

Hiyo ACCA uliingiza kwennye hoja kwa lengo lipi? Hakuna katiba ya chama chochote chs siasa inataja sharti la kujiunga au kutoka chama cha siasa kuwa uwe na proffession yeyote

Na wewe mleta mada umechemka kuokoteza vitu bila kutafakari na kutumia akili yako kujiuliza kama ni sawa au sio

Sasa wewe na huyo ACCA wako wote mko kapu moja la wajinga kwenye hii mada umeleta
Uwe unasoma na kutafakari kabla kupost ona sasa umechemka
 
Watakaompa kazi huyo mwenye ACCA kazi za ACCA na wao watakuwa akili hawana kama yeye
Ndiyo shida ya kuegemea upande mmoja na kutaka upande huo tu ndio ushinde. Kuna watu wameshajenga imani kwamba Tundu Lissu akishinda ni uchaguzi huru na wa haki, na akishindwa, ni nguvu ya pesa (si uchaguzi huru na wa haki). Huu ni mtazamo hasi. Huwezi kuanza kupanga matokeo ya kura wakati wa mtu kuchukua fomu ya kugombea. Kama wote hawa ni chama kimoja, then mgawanyiko wote huu umetoka wapi?
 
Ungeandika tu kaondoka kutekeleza haki yake ya kidemokrasia

Hiyo ACCA uliingiza kwennye hoja kwa lengo lipi? Hakuna katiba ya chama chochote chs siasa inataja sharti la kujiunga au kutoka chama cha siasa kuwa uwe na proffession yeyote

Na wewe mleta mada umechemka kuokoteza vitu bila kutafakari na kutumia akili yako kujiuliza kama ni sawa au sio

Sasa wewe na huyo ACCA wako wote mko.kspu moja la wajinga kwenye hii mada umeleta
Uwe unasoma na kutafakari kabla kupost ona sasa umechemka
Yani ni kama hapo Chadema yuko CPA Catherine Ruge 😂😂😂

CCM yupo CPA Makalla 😂😂😂

Muendage shule wajameni🐼
 
Mwamba ana msimamo WA HATARE Toka akiwa chuoo
 
Kama amejiuzuru kwa sababu mbowe amechukua fomu ni mpumbavu sana kwani hao ndio hawatakiwi kwenye chama .now ubunge rungwe asahau huwezi leta maigizo katika kipindi hiki ili nawe waseme unalo jambo kumbe ni unafiki
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema msomi aliyetukuka kwenye maswala ya Fedha na Uhasibu ACCA Ahobokile Mwaitenda ( mheshimiwa) ametangaza Kujiuzulu nafasi ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema

Mh Mwaitenda amefikia uamuzi huo baada ya Mwenyekiti wa sasa kutangaza Kugombea uenyekiti wa Chadema

Taarifa imetolewa Ukurasani X

Kwako Mh Lucas Mwashambwa 😄
Sawa.
 
Back
Top Bottom