Msomi Mbobevu ACCA Ahobokile Mwaitenda ajiuzulu Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chadema baada ya Mbowe kuchukua Fomu ya Kugombea uenyekiti!

Harudi huyo akirudi nitag.
 
Haya Ya Kawaida
Mwakani Ndani Ya CCM Issue Ya Fomu Nasema Itakuwa Kitimtim
Kimbunga Hidaya Kitaivuruga Mno Wapo Wanaotaka Fomu Ziwe Nyingi
CCM ni 2030 bwashee

Huyo Mbowe wenu kavutwa Ili kupunguza Kasi ya First lady Wawili wa Kijitonyama Kwaya πŸ˜‚

Sidhani kama utaelewa 🐼
 
Wanakimbilia wapi sasa? Mbona mapema sana πŸ˜‚!! Wanalikimbia boksi la kura sio πŸ˜‚
 
Safari njema huko aendako.....kwenye MAPAMBANO wenye roho za kikekike watakimbia NO REFORM NO ELECTION
Haha hawa watu wanachekesha sana!! Walitaka Mbowe ampe uenyekiti Lissu kwenye sahani badala ya kushindana kidemokrasia?? Kumbe ndo maana Lissu alikuja kishari namna ile ili Mbowe ateme bungo?
 
Reactions: Tui
Kashampunguzia Lissu kura huyu mwanaharakati uchwara!!
 
Na namba yake ipo hapo chini 0742676627
 
Haya Ya Kawaida
Mwakani Ndani Ya CCM Issue Ya Fomu Nasema Itakuwa Kitimtim
Kimbunga Hidaya Kitaivuruga Mno Wapo Wanaotaka Fomu Ziwe Nyingi
Endelea kuota.Angalizo usinyee tu.
 
..waliondoka kina Lowasa na kina mashinji na Chadema bado ipo, hata wewe unayeandika huu ujinga unaelewa unachoandika au ni vuvuzela tu..
 
..waliondoka kina Lowasa na kina mashinji na Chadema bado ipo, hata wewe unayeandika huu ujinga unaelewa unachoandika au ni vuvuzela tu..
Makasiriko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸΌπŸΌ

Lowasa aliwahi hata kuingia office za ufipa? 🐼
 
Mi nafikiri kaonesha utoto maana kampunguzia kipenzi chake kura moja tayari.
Uko sahihi hiyo ACCA hajuii hesabu hata za kujumlisha na kutoa tu kuwa akijitoa anapunguza kura

Kichwaji kwake mweupe kabisa ni aibu kwenye ACCA au CPA mliomo humu mnsomuunga mkono kujitoa kwake mna vyeti feki wote vya ACCA na CPA mamlaka husika zihakiki hivyo vyeti vyao ikiwemo cha huyu aliyejitoa.uhalali wa cheti cheti chake
 
Hawa watu wana kichaa!!
 
It doesn't matter. Ina maana yeye anapigania demokrasia na wakati huo huo haamini au hafurahishwi na kufuata misingi ya kidemokrasia ambayo inaelekeza viongozi wachaguliwe kwa kura, na anayeshinda kihalali (katika mchakato huru na wa haki) kwa wingi wa kura ndiye mshindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…