Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatushauri nini kuhusu mitaala ya elimu Tanzania?Mwenye ujuzi ndio bora
Kwahiyo mwenye veti vingi vyakutosha bila Taaluma sio msomi?Msomi in English 'Scholar'
Scholar limetokana na 'School'
School ni sehemu inayotoa elimu Fulani.
Therefore: Scholar yule alipata huduma ya kupata elimu School fulani.
Proffesional Meaning
Scholar ni mtu aliyebobea kwenye elimu fulani.
Vyeti bila taaluma How it possible...umeshushiwa kutoka mbinguni.Kwahiyo mwenye veti vingi vyakutosha bila Taaluma sio msomi?
Nimekupata mkuu naomba kuuliza, Ni kiwango gani cha elimu ambacho mtu anatambuliwa kama msomi?Msomi in English 'Scholar'
Scholar limetokana na 'School'
School ni sehemu inayotoa elimu Fulani.
Therefore: Scholar yule alipata huduma ya kupata elimu School fulani.
Proffesional Meaning
Scholar ni mtu aliyebobea kwenye elimu fulani.
Let's compete for knowledge and wisdom,not for grades. Knowledge is pilling up facts ,wisdom is simplifying it.Kwahiyo mwenye veti vingi vyakutosha bila Taaluma sio msomi?
Degree kwasababu ndio level ya elimu inayoaminika mtu ame specilize kwenye taaluma fulani (Hii ni Formal zaidi)Nimekupata mkuu naomba kuuliza, Ni kiwango gani cha elimu ambacho mtu anatambuliwa kama msomi?