Msomi ni nani

Msomi ni nani

kwa maandishi hayo msomi anaweza kuwa C ei Gi tu! sie wengine tunasindikiza
 
Mmh..kwa sifa hizo basi msomi ni Mungu pekee[emoji23][emoji23]
 
Msomi akiambiwa ana madhaifu anaita waandishi wa habari kupinga...hakuna wasomi hapo Mkuu...
 
Tafadhali toa maoni yako.
Je ni kweli kuwa msomi mwenye vyeti ni bora kuliko mjuzi asiye na vyeti? Yaani elimu mtaani vs elimu ya darasani ipi bora.
Mfano wahandisi na vyeti vyao ni hodari kuliko mafundi gereji waliosomea gereji.
Karibu
 
Dunia ya sasa hatiangalii ni vyeti vingap ulivyonavyo, UNAWEZA KUFANYA NN?? Ukijibu hilo swali kutoka ndani ya moyo wako na siyo kichwani kwako hata ajira hutakuwa na muda nayo!

Hii ndo sababu asilimia kubwa ya watu wanakuwa na stress kila wakikumbuka kazi wanazofanya (Ajira zao) Mkuu fanya juu chini jitengenezee ujuzi ambao una uhakika nao kuwa unaupenda kutoka ndani na hao waajiri watakutafuta na siyo wewe kuwatafuta.
Siyo wote walionielewa.
 
Msomi in English 'Scholar'

Scholar limetokana na 'School'

School ni sehemu inayotoa elimu Fulani.

Therefore: Scholar yule alipata huduma ya kupata elimu School fulani.

Proffesional Meaning
Scholar ni mtu aliyebobea kwenye elimu fulani.
 
Msomi in English 'Scholar'

Scholar limetokana na 'School'

School ni sehemu inayotoa elimu Fulani.

Therefore: Scholar yule alipata huduma ya kupata elimu School fulani.

Proffesional Meaning
Scholar ni mtu aliyebobea kwenye elimu fulani.
Kwahiyo mwenye veti vingi vyakutosha bila Taaluma sio msomi?
 
Msomi in English 'Scholar'

Scholar limetokana na 'School'

School ni sehemu inayotoa elimu Fulani.

Therefore: Scholar yule alipata huduma ya kupata elimu School fulani.

Proffesional Meaning
Scholar ni mtu aliyebobea kwenye elimu fulani.
Nimekupata mkuu naomba kuuliza, Ni kiwango gani cha elimu ambacho mtu anatambuliwa kama msomi?
 
Educated persona are those who can choose wisely and courageously under any circumstances.
If they have the ability to choose between wisdom and foolishness,btn good and bad,btn virtuousness and vulgarities, regardless of the Academic degrees they have,Then they are educated.An expert is someone who knows all the answers if you ask the right questions.
 
Back
Top Bottom