kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
Huu uzito wa ukoloni sijuhi ulikuwa ni mzito kiasi gani mpaka kufanya mswahili kuchukua kabisa lugha yake nzuri ya kiswahili.
MADA
Jana nilipokea taarifa za kusikitisha sana ambazo zilinipa sonona taarifa ambazo ni mbaya, msomi tena wa degree mbili amegongwa na gari na kufariki papo hapo binafsi nimejiuliza sana hii inawezekana vipi ? tena kwa msomi wa degree mbili .
Pablo