kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
samahani mkuu utaelewa uzi mwingineNahisi kutokuwa kwangu na degree hata moja kumenifanya nisielewe kilichoandikwa hapo.
Anzia chini kusoma mkuu. Anamaanisha kama mwehu tu magari anayaona na anayakwepa inakuwaje msomi akae barabarani mpaka yamgonge?Nahisi kutokuwa kwangu na degree hata moja kumenifanya nisielewe kilichoandikwa hapo.
ulipa degree ngapi ulivyokuwa CUBa,🤣🤣🤣Anzia chini kusoma mkuu. Anamaanisha kama mwehu tu magari anayaona na anayakwepa inakuwaje msomi akae barabarani mpaka yamgonge?
sio kweli mkuuShida ni waendesha hivyo vyombo
Basisio kweli mkuu
Ngoja kwanza Kwani wasomi ndo awawehuki?Anzia chini kusoma mkuu. Anamaanisha kama mwehu tu magari anayaona na anayakwepa inakuwaje msomi akae barabarani mpaka yamgonge?
ni yapi maoni yako juu ya suala mada hiiSijui hata aisee
Ulitaki degree imsaidie nini kwenye ajalimsomi wa degree unagongwa na gari inamaana elimu yetu haina msaada wowote
hujui degree inasaidia nini kwenye maisha ya mtu ?Ulitaki degree imsaidie nini kwenye ajali
mimi sina degree ila nahisi unakuwa mtu makini sanaKwamba wenye digrii wao Wana vifo spesho vya kisomi?
kifo ni ibada,kila mtu ataswali