Mtoto mwenye akili utasikia baba anamtambulisha kama Binti/kijana wangu, akiwa mjinga utasikia mume anamwambia mkewe muonye mtoto wako huyo...
ni binti yangu mwenye umri wa miaka 7,anasoma darasa la pili ktk shule moja ya watoto akina sie "kajamba nani" (watu wa kipato cha chini).
pichani ni mtihani wake wa somo la sayansi alio ufanya mwezi ulio pita,nimeona si vibaya kuuleta hapa ili nibadilishane mawazo na wazazi,walezi au wadau wa elimu kuhusu maendeleo yake.karibuni.
MK254 maina pita hapa useme kitu(ushauri),nimeona mara kadhaa unakosoa elimu yetu wanayo fundishwa watoto wa ktz kwamba ni duni na ya kwenyu ni bora.
Mkuu, nashukuru kwa kuweka hapa karatasi ya mtoto wako, lakini kuna mambo amabyo sielewi na huu mtihani.
Huyo Mwalimu anatoka nchi gani? Natumai si mwalimu kutoka Kenya.
Kwanini mwalimu anatumia maneno magumu ya kiingereza kwa kuwafundisha watto wadogo wa darasa la pili?
My goodness; huyu ni mwalimu kweli?
Mtoto mdogo anaelewa maana ya vaccination? Disinfectant? Hata anaweza tamka haya maneno kweli?
Sio kwa ubaya, lakini hii elimu na ya kumfanya mtoto akariri tu; cramming. Hili ndilo tatitzo la English medium. Ndio sababu unaona huyo mtoto kaanguka section D karibu yote. Unamtesa mtoto, kamtoe katika hilo shule.
Mwenyewe siwezi jibu swali number 17 na 18...
Mie hukasirishwa sana ninapoona elimu ya mtoto ikifanyiwa mzaha ili tu kuwafurahisha wazazi na kuwaonesha kuwa mtoto anaweza kusema kwa kiingereza.
mkuu
shule ina mchanganyiko wa walimu wa tz na nchi jirani ya kenya na rwanda.binafsi sina tatizo na hayo maneno (vaccination ,disinfectant) kwa mtoto wa darasa la pili,kwasababu mtindo wa ufundishaji/uwasilishaji unatofautana kati ya shule na shule japo mtaala waweza kufanana.
kwa mfano ktk hilo swali la 15 linaohusiana na AIDS,badala ya kutumia neno "vaccination" ungependelea watumie neno gani la mbadala?!
ila kuna ukweli kidogo hapo kwenye red,kwamba msisitizo mkubwa wa shule za english medium ni kumfanya mtoto aongee kingereza kuliko kumpatia maarifa/uelewa.wanalifanya hili kwa makusudi ili kuwafurahisha wazazi.
asante kwa comment yako mdau.
Watanzania huwa mmebarikiwa na jambo moja..mlikuwa na Rais ambaye alikuwa mwana-filosofia wa Elimu. Umeshawahi kukisoma kijitabu cha Mwalimu Nyerere kinachoitwa Education for Self-reliance? Haya mambo tunayoyazungumzia ndio alikuwa akiongea kuhusu.
Umeuliza kuhusu vaccination; kwanini mtoto mdogo afundishwe kuhusu vaccination? Itamsaidia na nini?
Mtoto hawezi spell "Aids" kweli sio kumtesa yule mtoto kumfundisha mambo ya vaccination? Mtoto kweli anaweza elewa maana ya Acquired Immune-Deficiency Syndrome?
Na ikiwa ni lazima basi ajifunze kuhusu jambo hili, na afundishwe kwa lugha anayoelewa..aambiwe kuhusu "Chanjo." Hilo ataelewa kwa urahisi zaidi. Na Ukimwi - Ukosefu Wa Kinga Mwilini.
Ningekuwa nchi ya TZ, mtoto wangu hangekanyaga shule ya English medium hata siku moja. Hamjui baraka mlio nayo nyie.
Huu ni wakati wa mtoto kusoma hadithi, shairi, kujifunza michezo ya kuigiza ili kupanua ubongo wake. Kujifunza hisabati kwa undani na kufanya "Word problems" nyingi. Kwa kusema ukweli, sioni haja ya kumfundisha mtoto lugha ya Kifaransa.
Kumfundisha mtoto kwa lugha asiyoelewa, ni kumfanya mtoto awe na Intellectual dependency. Inauwa creativity ya mtoto kabisa. Mwalimu anapouliza "when do we have a bath" Mtoto Kasema Morning, Afternoon, and Evening. Kweli mtoto kaelewa swali? Na mwalimu anataka jibu gani? Watu huoga wakati tofauti tofauti. Lakini, mwalimu anataka mtoto ampe jibu la kukariri. lile amablo waliimba na kukariri darasani. Hatakati mtoto ajifikirilie.
Ushawahi kujiuliza ni kwanini unampata Injinia mzima na ile elimu yake ni ya nadharia tu? Ushawahi jua kuwa 50% wa software engineers huko Apple hawana degree? Kwanini sisi waafrika na hizi degree zetu zote hatuwezi hata kuunda baiskeli bila msaada wa mchina ama mzungu?
Hebu tazama video hii...Hii ndio Elimu ningependa Wakenya tuwe nayo - sio matajiri pekee.
https://youtu.be/87qkZraVuew
Watanzania huwa mmebarikiwa na jambo moja..mlikuwa na Rais ambaye alikuwa mwana-filosofia wa Elimu. Umeshawahi kukisoma kijitabu cha Mwalimu Nyerere kinachoitwa Education for Self-reliance? Haya mambo tunayoyazungumzia ndio alikuwa akiongea kuhusu.
Umeuliza kuhusu vaccination; kwanini mtoto mdogo afundishwe kuhusu vaccination? Itamsaidia na nini?
Mtoto hawezi spell "Aids" kweli sio kumtesa yule mtoto kumfundisha mambo ya vaccination? Mtoto kweli anaweza elewa maana ya Acquired Immune-Deficiency Syndrome?
Na ikiwa ni lazima basi ajifunze kuhusu jambo hili, na afundishwe kwa lugha anayoelewa..aambiwe kuhusu "Chanjo." Hilo ataelewa kwa urahisi zaidi. Na Ukimwi - Ukosefu Wa Kinga Mwilini.
Ningekuwa nchi ya TZ, mtoto wangu hangekanyaga shule ya English medium hata siku moja. Hamjui baraka mlio nayo nyie.
Huu ni wakati wa mtoto kusoma hadithi, shairi, kujifunza michezo ya kuigiza ili kupanua ubongo wake. Kujifunza hisabati kwa undani na kufanya "Word problems" nyingi. Kwa kusema ukweli, sioni haja ya kumfundisha mtoto lugha ya Kifaransa.
Kumfundisha mtoto kwa lugha asiyoelewa, ni kumfanya mtoto awe na Intellectual dependency. Inauwa creativity ya mtoto kabisa. Mwalimu anapouliza "when do we have a bath" Mtoto Kasema Morning, Afternoon, and Evening. Kweli mtoto kaelewa swali? Na mwalimu anataka jibu gani? Watu huoga wakati tofauti tofauti. Lakini, mwalimu anataka mtoto ampe jibu la kukariri. lile ambalo waliimba na kukariri darasani. Hatakati mtoto ajifikirilie.
Ushawahi kujiuliza ni kwanini unampata Injinia mzima na ile elimu yake ni ya nadharia tu? Ushawahi jua kuwa 50% wa software engineers huko Apple hawana degree? Kwanini sisi waafrika na hizi degree zetu zote hatuwezi hata kuunda baiskeli bila msaada wa mchina ama mzungu?
Hebu tazama video hii...Hii ndio Elimu ningependa Wakenya tuwe nayo - sio matajiri pekee.
https://www.youtube.com/watch?v=87qkZraVuew&feature=youtu.be
hicho kijitabu niliwahi kukisoma ila ni siku nyingi kidogo.nyakati hizo,mwl. alijikita zaidi ktk dhana ya kuondoa UJINGA,MARADHI NA UMASIKINI.Watanzania huwa mmebarikiwa na jambo moja..mlikuwa na Rais ambaye alikuwa mwana-filosofia wa Elimu. Umeshawahi kukisoma kijitabu cha Mwalimu Nyerere kinachoitwa Education for Self-reliance? Haya mambo tunayoyazungumzia ndio alikuwa akiongea kuhusu.
.Umeuliza kuhusu vaccination; kwanini mtoto mdogo afundishwe kuhusu vaccination? Itamsaidia na nini?
Mtoto hawezi spell "Aids" kweli sio kumtesa yule mtoto kumfundisha mambo ya vaccination? Mtoto kweli anaweza elewa maana ya ?
Na ikiwa ni lazima basi ajifunze kuhusu jambo hili, na afundishwe kwa lugha anayoelewa..aambiwe kuhusu "Chanjo." Hilo ataelewa kwa urahisi zaidi. Na Ukimwi - Ukosefu Wa Kinga Mwilini
hapa mkuu bado nashindwa kukuelewa,si ni nyinyi majirani zetu mnatucheka kila siku "watanganyika" kwa kutojua kingereza?!,kwamba hatuna confidence ya kujieleza kwa kingereza?!.tumeona bora tuchukue tahadhari mapema kwa kuwapeleka watoto wetu shule za english medium ili wanenu wasije wakawacheka wenetu huko ukubwani kwao,kama nyinyi mnavyo tucheka sie wazazi wao.:becky:Ningekuwa nchi ya TZ, mtoto wangu hangekanyaga shule ya English medium hata siku moja. Hamjui baraka mlio nayo nyie.
nakubaliana nawe ktk swala hilo michezo,hadithi,ushairi nk,kwa mfano shule ambayo anasoma binti yangu,wana somo linaloitwa vocational skills(VS),ambapo mambo yote yanayohusiana na talent za watoto yamejumuishwa humo ndani.kuhusu kifaransa naomba niunge mkono point ya MK254 hapo juu.Huu ni wakati wa mtoto kusoma hadithi, shairi, kujifunza michezo ya kuigiza ili kupanua ubongo wake. Kujifunza hisabati kwa undani na kufanya "Word problems" nyingi. Kwa kusema ukweli, sioni haja ya kumfundisha mtoto lugha ya Kifaransa.
Kumfundisha mtoto kwa lugha asiyoelewa, ni kumfanya mtoto awe na Intellectual dependency. Inauwa creativity ya mtoto kabisa. Mwalimu anapouliza "when do we have a bath" Mtoto Kasema Morning, Afternoon, and Evening. Kweli mtoto kaelewa swali? Na mwalimu anataka jibu gani? Watu huoga wakati tofauti tofauti. Lakini, mwalimu anataka mtoto ampe jibu la kukariri. lile ambalo waliimba na kukariri darasani. Hatakati mtoto ajifikirilie.
huwa siamini uwezo mtu kitaaluma upo ktk vyeti vyake.Ushawahi kujiuliza ni kwanini unampata Injinia mzima na ile elimu yake ni ya nadharia tu? Ushawahi jua kuwa 50% wa software engineers huko Apple hawana degree? Kwanini sisi waafrika na hizi degree zetu zote hatuwezi hata kuunda baiskeli bila msaada wa mchina ama mzungu?
asante mkuu nitaitazama.Hebu tazama video hii...Hii ndio Elimu ningependa Wakenya tuwe nayo - sio matajiri pekee.
https://www.youtube.com/watch?v=87qkZraVuew&feature=youtu.be