Ukisikia hila za kwapa ndo hizi...Kutoka amplifier ya clouds fm amesikika kiongozi wa msondo ngoma akidai wcb wawalipe 300 ml kwa kosa la kutumia kionjo cha nyimbo Yao kinyume na sheria kwenye wimbo wao wa "zilipendwa" kabla ya kwenda mahakamani.
Kwa sheria ya Ufilipino au ya wapi kiongozi...Kisheria inaruhusiwa Ku Copy chini ya 20% ya wimbo!
Kwa hiyo kisa jirani yako aloiba mbuzi hajashitakiwa basi we ukiiba kuku usishtakiwe pia??alikiba ajianda kulipa mabilioni kwa kuiba kionjo cha despacito
hahahaha hao wazee watulie tu na wakienda huko mahakamani watashindwa tu.
nenda ukawe wakili wao uone utakavyo aibika huko mahakamani kuiba ni kachukua/kuhamisha kitu jinsi kilivyo mwanzo mwishoKwa hiyo kisa jirani yako aloiba mbuzi hajashitakiwa basi we ukiiba kuku usishtakiwe pia??
Vyuma kweli vimekazaKutoka amplifier ya clouds fm amesikika kiongozi wa msondo ngoma akidai wcb wawalipe 300 ml kwa kosa la kutumia kionjo cha nyimbo Yao kinyume na sheria kwenye wimbo wao wa "zilipendwa" kabla ya kwenda mahakamani.
Wameuaje tufafanulie akina wcb hawana hatiaIle saxophone ndo wameuwa kabisa
Ni vile vile imepigwa kama ile ya msondo kwenye wimbo wa wananume tumeumbwa mateso wa TX MOSHI WILLIAMWameuaje tufafanulie akina wcb hawana hatia
Hahahahah apo ndo kuna shughuli Kwan nan mmiliki wa ile bandiWalisajiri hizo kazi...ama wanalopoka...tuu...unajua wengi wanadharau ile zana ya kusajiri kazi...wanakuja kutaka kuadai wakifika mahakamani swali ni moja tu ulisajiri...kuwa wewe ndie mmiliki halali?
Ile ya mwanaume mateso mbona iko slowNi vile vile imepigwa kama ile ya msondo kwenye wimbo wa wananume tumeumbwa mateso wa TX MOSHI WILLIAM
Lakini zinafananaIle ya mwanaume mateso mbona iko slow
Kwani beat kufanana ni kosa?Lakini zinafanana
Maisha bila unafiki hayaendiMaalim Gurumo alinunuliwa GARI na Almas so Almas ana hisa MSONDO!
Mange kasema watanzania wanafki! Alikufa Kanumba, nchi nzima ilikuwa upande wa Kanumba!
Kesi ilipoamka tena Mahakamani, watanzania wale wale, wapo upande wa Lulu!
Hawa ndio watanzania Hawa. Leo wanawaita MSONDO wana njaa! Kesho msanii wa MSONDO akipitisha bakuli la Matibabu Muhimbili, wataponda!