Msondo ngoma wanadai walipwe mil 300 na WCB

Msondo ngoma wanadai walipwe mil 300 na WCB

[emoji16] [emoji16] [emoji51] [emoji119] [emoji119]

Rais wa wasafi.
 
Mtu ambaye angeenda Mahakamani akalipwa angekuwa Saida Kalori ambapo 80% ya nyimbo yake iliimbwa na Diamond, na sio Msondo ambapo kipande chao hakizidi 20%......

Ndo maana unaona wasanii hata Wakubwa huweka radha ya Wasanii wa zamani hata kipande kidogo bila shida!

Emu fikiri Joe Thomas ampeleke Diamond Mahakamani kwa kile kipande chake kwenye nyimbo ya Halleluyah! Huyo Diamond hata hiyo hela ya kumlipa Joe angekua hana!

Good enough hiyo Sheria ya kuruhusu Ku copy chini ya 20% ya wimbo wa artist mwingine ni International inatambulika Worldwide!

So Wazee wetu hawatapata kitu wakienda Mahakamani.

Tusiishi kwa mazoea.

Manu Dibango Sues Rihanna, Michael Jackson | Pitchfork
 
Bahati ya mtende, WCB wameingia wenyewe kwenye 18 Msondo vaeni njuga.

Manu Dibango wa Cameroon alimshikia MJ bango kwenye kile kionjo cha "mamase mamasa mamakusa" mpaka akapewa chake.

Sema Msondo walegeze kidogo kwa Watoto wao, wachukue thelathini wapite hivi....ili na wengine wajifunze maana ya kuheshimu hakimiliki ya ubunifu.
 
sheria ya hati miliki ilikua tayari?je familia ya moshi william ikiibuka nayo kudai wimbo ni wake?
Kuna sehemu nilisoma,TX alimpa baraka zote mwanae Hassan,kudurufu au kurudia nyimbo zake zote,je WCB wakisema waliuziwa na Hassan?
hujui usemacho... ninachokupinga ni pale unaposema wimbo ni mali ya TUCTA... Ovaaaaaaaaaaa..
 
Msondo Ngoma maisha yao yote ya muziki hakuna aliyewahi kushika milioni ya pamoja, leo hii wamepanda bei ghafla? Haya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
Kutoka amplifier ya clouds fm amesikika kiongozi wa msondo ngoma akidai wcb wawalipe 300 ml kwa kosa la kutumia kionjo cha nyimbo Yao kinyume na sheria kwenye wimbo wao wa "zilipendwa" kabla ya kwenda mahakamani.

Pamoja na kwamba kilichoandikwa kimeeleweka, lakini kwa nyaraka ya kisheria kuchanganya "R" na "L" huwa inaleta ukakasi kidogo i.e ajari=ajali, pray= play etc etc etc au ni wale ndugu zetu kutoka kule kwa wajuaji karibu na Uganda? Hahaha just kidding!
 
Pamoja na kwamba kilichoandikwa kimeeleweka, lakini kwa nyaraka ya kisheria kuchanganya "R" na "L" huwa inaleta ukakasi kidogo i.e ajari=ajali, pray= play etc etc etc au ni wale ndugu zetu kutoka kule kwa wajuaji karibu na Uganda? Hahaha just kidding!
Unaweza kunionesha nilipochanganya R badala ya L au L badala ya R?
 
Mawakili feki ni wengi siku hizi, kutojua sheria na njaa matokeo yake aibu.
 
Hivi mwanaFA na mwenzie vipi nao washapewa hela yao na tigo
Hawawezi kupata kitu pale tigo walikata rufaa maana wao wimbo waliuziwa na kampuni fulan ambayo yenyewe uo wimbo walipewa mamlaka na Sony music ambao ndo wana hakimiliki ya ule wimbo

Wasanii wa bongo shule nyoso kama sio boban
 
Back
Top Bottom