KIMAROO
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 453
- 259
Sheria Ipi unazungumzia mkuu maana kama ni copy right act ya 1999 hakuna kitu kama hichoKisheria inaruhusiwa Ku Copy chini ya 20% ya wimbo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria Ipi unazungumzia mkuu maana kama ni copy right act ya 1999 hakuna kitu kama hichoKisheria inaruhusiwa Ku Copy chini ya 20% ya wimbo!
Wanaangalia kwenye potential"Hee mwanamama,baby mwanamama",darasa nae ajiandae,ila jamaa sijui ana bahati mbaya, bele9 na darasa wameiba vionjo vya saida ,kiba nae kairudia kimaso maso ya Issa matona lkn hawajatozwa hata shilingi, ila ndio hivyo MTU chake ngojea mahakama iamue .
Tafuta mkuu wale Hawapati hata mia msando anakula tu pesa zao burrhahaha ngoja niingie mtandaoni..................nianze kuangalia kesi
Kisa cha kuondoka nini?Kisheria inaruhusiwa Ku Copy chini ya 20% ya wimbo!
Mtu ambaye angeenda Mahakamani akalipwa angekuwa Saida Kalori ambapo 80% ya nyimbo yake iliimbwa na Diamond, na sio Msondo ambapo kipande chao hakizidi 20%......
Ndo maana unaona wasanii hata Wakubwa huweka radha ya Wasanii wa zamani hata kipande kidogo bila shida!
Emu fikiri Joe Thomas ampeleke Diamond Mahakamani kwa kile kipande chake kwenye nyimbo ya Halleluyah! Huyo Diamond hata hiyo hela ya kumlipa Joe angekua hana!
Good enough hiyo Sheria ya kuruhusu Ku copy chini ya 20% ya wimbo wa artist mwingine ni International inatambulika Worldwide!
So Wazee wetu hawatapata kitu wakienda Mahakamani.
hujui usemacho... ninachokupinga ni pale unaposema wimbo ni mali ya TUCTA... Ovaaaaaaaaaaa..sheria ya hati miliki ilikua tayari?je familia ya moshi william ikiibuka nayo kudai wimbo ni wake?
Kuna sehemu nilisoma,TX alimpa baraka zote mwanae Hassan,kudurufu au kurudia nyimbo zake zote,je WCB wakisema waliuziwa na Hassan?
Mkuu ni haki yao, kwani yawezekana kabisa mtu kununua wimbo kwa ajili ya hicho kionjo, na pia wakapiga pesa nyingi kwa ajili ya hicho kionjo, mwana fa na ay wanasubiri bilion kadhaa kutoka kampuni ya simuNjaaa hizi ni shida kionjo m300 akat haya mauzo ya wimbo og hayakufka m1 huu ungese
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji14] [emoji14] [emoji14]Msondo Ngoma maisha yao yote ya muziki hakuna aliyewahi kushika milioni ya pamoja, leo hii wamepanda bei ghafla? Haya.
Kunatofauti ya kutumia beat ya mtu na kufanya sampling, sampling kimziki sio kosa.Ni kosa kubwa sana. Hukumbuki Profesa J na Jose Chameleon wa Uganda walivyodaiana kwa Chameleon kuiba beat ya ndivyo sivyo?
Pamoja na kwamba kilichoandikwa kimeeleweka, lakini kwa nyaraka ya kisheria kuchanganya "R" na "L" huwa inaleta ukakasi kidogo i.e ajari=ajali, pray= play etc etc etc au ni wale ndugu zetu kutoka kule kwa wajuaji karibu na Uganda? Hahaha just kidding!Kutoka amplifier ya clouds fm amesikika kiongozi wa msondo ngoma akidai wcb wawalipe 300 ml kwa kosa la kutumia kionjo cha nyimbo Yao kinyume na sheria kwenye wimbo wao wa "zilipendwa" kabla ya kwenda mahakamani.
Unaweza kunionesha nilipochanganya R badala ya L au L badala ya R?Pamoja na kwamba kilichoandikwa kimeeleweka, lakini kwa nyaraka ya kisheria kuchanganya "R" na "L" huwa inaleta ukakasi kidogo i.e ajari=ajali, pray= play etc etc etc au ni wale ndugu zetu kutoka kule kwa wajuaji karibu na Uganda? Hahaha just kidding!
Hawawezi kupata kitu pale tigo walikata rufaa maana wao wimbo waliuziwa na kampuni fulan ambayo yenyewe uo wimbo walipewa mamlaka na Sony music ambao ndo wana hakimiliki ya ule wimboHivi mwanaFA na mwenzie vipi nao washapewa hela yao na tigo