Kim-Jong-Un
JF-Expert Member
- Jan 23, 2015
- 356
- 190
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hebu weka msosi wa cheka
Nataka ile anakula ugali mkuuubwa na kibuaunataka picha ya mihogo au ?
Yule mchezaji alienda sauzi akashidwa interview ya kula nani vile?
Nataka ile anakula ugali mkuuubwa na kibua
Yule mchezaji alienda sauzi akashidwa interview ya kula nani vile?
Ngasa kafika zake London pale westham utd kaamka asubuhi kabeba bakuli eti anatafuta miogo kazurura mpaka saa saba ameitwa mazoezini wenzie wanafanya mazoezi yeye anakimbia tu akaambiwa huna stamina akarudishwa atafute stamina alichofanya sasa aibu niliona mimi
eti kaongeza mke wa pili ili atafute stamina kitandani
sijaona msosi wa mwanaume hapo (ugali)
mpeni na huu tuoneView attachment 248691