Msosi anaokula pacquiao kwa mlo mmoja ni hatari.

Msosi anaokula pacquiao kwa mlo mmoja ni hatari.

Kim-Jong-Un

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2015
Posts
356
Reaction score
190
Tizama msosi anaokula huyu Bondia Manny Pacquiao , hebu mlinganishe na msosi wa kina Cheka, Matumla, kaseba.
 
Attachments

  • man pacq.jpg
    man pacq.jpg
    98.9 KB · Views: 2,830
weka msosi wa the rock????
kwa siku anakula takrinabi kilo 20
 
Yule mchezaji alienda sauzi akashidwa interview ya kula nani vile?
 
Yule mchezaji alienda sauzi akashidwa interview ya kula nani vile?

Ngasa kafika zake London pale westham utd kaamka asubuhi kabeba bakuli eti anatafuta miogo kazurura mpaka saa saba ameitwa mazoezini wenzie wanafanya mazoezi yeye anakimbia tu akaambiwa huna stamina akarudishwa atafute stamina alichofanya sasa aibu niliona mimi

eti kaongeza mke wa pili ili atafute stamina kitandani
 
Huo mchanganyiko wa mazagazaga,bondia wa kibongo tumbo lazima livuruge na asipokuwa makini anaishia kuharisha.
 
Ngasa kafika zake London pale westham utd kaamka asubuhi kabeba bakuli eti anatafuta miogo kazurura mpaka saa saba ameitwa mazoezini wenzie wanafanya mazoezi yeye anakimbia tu akaambiwa huna stamina akarudishwa atafute stamina alichofanya sasa aibu niliona mimi

eti kaongeza mke wa pili ili atafute stamina kitandani

ah ah ah!
 
huo msosi mbona wa kawaida tu kuna watu wanakula wewe sema bongo huku msosi aina moja kama ni ugali kilo tatu
 
Bondia wa kibongo akigonga hizo zaga lazima atapishwe ulingoni...

Akipigwa nakozi moja tu lazima arushe punje za maharage na vipande vya dagaa ulingoni...
 
Back
Top Bottom