babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Wabongo mna maneno kha 😅😅😅😅😅😅Bondia wa kibongo akigonga hizo zaga lazima atapishwe ulingoni...
Akipigwa nakozi moja tu lazima arushe punje za maharage na vipande vya dagaa ulingoni...
Ngasa kafika zake London pale westham utd kaamka asubuhi kabeba bakuli eti anatafuta miogo kazurura mpaka saa saba ameitwa mazoezini wenzie wanafanya mazoezi yeye anakimbia tu akaambiwa huna stamina akarudishwa atafute stamina alichofanya sasa aibu niliona mimi
eti kaongeza mke wa pili ili atafute stamina kitandani
wa Yanga
unataka picha ya mihogo au ?
Bondia wa kibongo akigonga hizo zaga lazima atapishwe ulingoni...
Akipigwa nakozi moja tu lazima arushe punje za maharage na vipande vya dagaa ulingoni...