Msosi anaokula pacquiao kwa mlo mmoja ni hatari.

Msosi anaokula pacquiao kwa mlo mmoja ni hatari.

Bondia wa kibongo akigonga hizo zaga lazima atapishwe ulingoni...

Akipigwa nakozi moja tu lazima arushe punje za maharage na vipande vya dagaa ulingoni...
Wabongo mna maneno kha 😅😅😅😅😅😅
 
Ngasa kafika zake London pale westham utd kaamka asubuhi kabeba bakuli eti anatafuta miogo kazurura mpaka saa saba ameitwa mazoezini wenzie wanafanya mazoezi yeye anakimbia tu akaambiwa huna stamina akarudishwa atafute stamina alichofanya sasa aibu niliona mimi

eti kaongeza mke wa pili ili atafute stamina kitandani

Hahahahaaaa mkuu umeifanya siku yangu ianze vizuri.
 
cheka wetu alikula ugali maharage kwa mwezi mzima
 
Attachments

  • 1430803089573.jpg
    1430803089573.jpg
    51.9 KB · Views: 120
Bondia wa kibongo akigonga hizo zaga lazima atapishwe ulingoni...

Akipigwa nakozi moja tu lazima arushe punje za maharage na vipande vya dagaa ulingoni...

Hahahahaha 😀😀😀😀:thumbup::thumbup::thumbup:
 
Back
Top Bottom