Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Ndo imeisha mkuu amerudi kijijini ameapa hatarudi tena Dar!Mkuu, ndio imeisha au bado inaendelea?
Nadhani wengi tunamatarajio ya kutaka kujua mwishoni hizi harakati zote zimekufikisha hatua gani kimaisha ili somo unalotupa likamilike.
Ndio imeisha mkuu, nipo kwenye ajira niliyoisomea chuo niko vijijini najishighulisha na kilimo na ufugaji, sitaki tena kashkash za mjini, nimeelezea kwa sababu nakumbuka nilipotoka na naona vijana wanaingia mitaani wakiwa na moto na hali ya kufanikiwa, hitimisho ni kwamba niliamua kutafuta pesa kwa njia halali japo nadhani Kama ningeendelea na ile njia haramu ningekua mbali sanaMkuu, ndio imeisha au bado inaendelea?
Nadhani wengi tunamatarajio ya kutaka kujua mwishoni hizi harakati zote zimekufikisha hatua gani kimaisha ili somo unalotupa likamilike.
Ndio maana nimesema kuna vingi sitovisema hapa Mkuu, lakini ilibidi nifanye maneuver ili nichomokeWewe kwenye lile deal la mafuta kwanini uliwapa polisi pesa yote? Kwani walijua una kiasi gani?
Ni kweli pia inabidi Kama unaenda uende kwa mtu ambaye atakupa ramaniDar hakuna tatizo lakini unatakiwa uwe na ramani
Dar watu wanapambana saaanaDasaledee...
Jinsi vijana wanavyopambana kwenye huu mji najisikiaga kinyaa na hasira mtu akisema "...tatizo vijana wa siku hizi wavivu". Kuna kazi wanafanya baadhi ya watu basi tu huku ni mbali na dunia ila ilibidi amnesty int waingilie kati.
Nilinyoosha mikono boss, jiji niliwaachia wenye nalo Mimi mifumo ilinikataa.We ni jasiri changamoto ni kawaida umejitahidi kimtindo .
Kurudisha mpira kwa kipa ni mbinu za kupambana na Maisha kikubwa umepambana mpaka uwezo wako wa mwisho ndo uanaume.Nilinyoosha mikono boss, jiji niliwaachia wenye nalo Mimi mifumo ilinikataa.
Huko dar kuna watu wanapesa saana Mkuu, kwa sisi tuliotoka bush hatujayaishi maisha bado.Bora mimi niliishia darasa la saba B nikaamua kua mkulima tuu huku kwetu. Dar ningeteseka sana
Huwezi pata pesa kwa kuikimbia dar es salaam.Huko dar kuna watu wanapesa saana Mkuu, kwa sisi tuliotoka bush hatujayaishi maisha bado.
Kweli aiseeDar ukishakuwa na sehemu ya kulala ya uhakika mengine yote yatategemea
Ajira mzee, sema nilishaanza kuona channel nzuri za kupata pesaHuwezi pata pesa kwa kuikimbia dar es salaam.
"There is no success like dar success"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa ni fala sana. Nimecheka kwerikweriKama sio chai hongera ila kama chai nakuombea dushe lako lilale mazima uwe sio riziki.!!
Ushauri wangu kwa vijana graduates waache uvivu na kujiona wana elimu kubwa hivyo kuchagua kazi.Hapo ndio mwisho ninaomba watu wazima kidogo watoe ushauri kwa vijana wanaopitia kipindi kizito au kigumu au graduate kuishi kwa namna bora ya kufanya taifa letu liwe bora zaidi.
Note mpaka Leo nina alama ya sehemu ya kichwa iliyopasuka nilikia nafuga nywele lakini hiyo sehemu nywele hazioti, nimekua naona huruma kwa wapambanaji Sana maana nakumbuka nilipotokea.